simba

  1. JamiiForums Tanzania Dakika ya 70 yanga 3 simba 0

    Mechi hii imechezwa jana majira ya saa 11 alfajir mechi ilianza kwa kasi na toka mwanzo mwa mchezo Yanga ilitaka kuonyesha umwamba wake mbele ya simba na wakajipatia goli la mapema dakika ya 2 kupitia kwa Bernad Morrison.llilkuwa moja ya magoli matamu kabisa kushuhudiwa ndani ya uwanja wa taifa...
  2. JamiiForums Tanzania Virusi vya corona: Simba sasa wanapumzika barabarani Afrika Kusini

    Wakati huu ambapo baadhi ya mataifa ya Afrika yameweka marufuku ya kutotoka nje ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corano, bila shaka wanyamapori wamegundua kuwa watu wameondoka. Katika moja ya hifadhi kubwa ya wanyama pori barani Afrika Simba wameamua kuchukua fursa hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Simba yaelekea kupata aibu kwa Mwakalebela

    Hivi mtu akisema nimeua mtu hafalu hakuna mtu aliyeuawa wala ushahidi wa kuua mtu huyo mtu anaweza kutiwa hatiani kwa kosa la kuua mtu? Hivi mtu akisema nimemuua Bwana Mateso Kamau halafu Bw. Mateso Kamau anaonekana mitaani yuko hai na anakanusha kuuawa na huyo Bwana mahakama inaweza kumnyonga...
  4. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club yangu ole wenu ' Mumsamehe ' Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela nitawalaani na kuwachukieni Milele

    SAKATA LA CHAMA: MWAKALEBELA AWAOMBA RADHI SIMBA Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela ameomba radhi kufuatia kauli yake kuwa ameshaanza mazungumzo na kiungo wa Simba, Clatous Chama. Mwakalebela amesema alitoa kauli hiyo kama sehemu ya utani wa jadi dhidi ya Simba baada ya kuwepo kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Simba Sc:Chat na #

    Simba kupigia page zao za mitandao ya kijamii wameanzisha program ta kuuliza maswali na mchezaji anajibu papo hapo live Hiki kitu ni kizur na ni ubunifu mzuri chini ya senzo Vipi wadau wa soka hapa nchini mmeuelewa? Je maswali nkonki yanajibiwa? Nawasilisha Mugah M
  6. JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha Simba SC 1990-2010

    1. MOHAMED MWAMEJA 2. SAID SUED 3. ALPHONCE MODEST 4. VICTOR COSTA NAMPOKA "NYUMBA" 5. GEORGE MAGERE MASATU 6. SELEMAN MATOLA 7. STEPHEN MAPUNDA "GARINCHA" 8. HUSSEIN MARSHA 9. ATHUMANI MACHUPPA 10. MADARAKA SELEMAN 11. NTEZE JOHN "LUNGU'
  7. JamiiForums Tanzania Msemaji wa zamani wa Simba Asha Muhaji amefariki dunia

    Aliyekuwa msemaji wa Simba miaka ya 2010-12 Asha Muhaji ametangulia mbele ya haki mchana huu. mungu amrehemu Asha Muhaji enzi za uhai wake ====== Dar es Salaam. Aliyekuwa afisa habari wa Simba SC na mwandishi wa habari za michezo, Asha Muhaji amefariki dunia mchana wa leo, Jumatano. Asha...
  8. JamiiForums Tanzania Simba wataendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu

    Klabu ya Simba itaendelea kuwa kichwa cha Mwendawazimu, kufungwa na kutofanya vizuri katika michuano ya Afrika iwapo itaendelea kushikiria akili na tamaduzi hizi, Taarifa zinasambaa Papy Kambamba Tshishimbi anaondoka Yanga kuelekea Simba, taarifa hii imesambaa kwenye vyombo vya habari, pia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC

    Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba Leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC
  10. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Uhuru | Vodacom Premier League (VPL), Simba SC dhidi ya Singida United

    Patashika ya Ligi Kuu kuwania Taji la Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kupigwa leo Jumatano ya March 11, 2020 ambapo Mabingwa wa Nchi, Simba SC, ambao ni vinara wa VPL, wakiwa na alama 68 kwa michezo 27 wanapambana na Singida United ambao wanashika nafasi ya 20 kwa alama 12 wakiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

    Hello Tanzania na kando ya Tanzania Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kutimua vumbi leo Jumapili ya March 8, 2020 kwa kuwakutanisha watani wa Jani katika jiji la Dar es salaam, ambapo Yanga African SC, Wananchi wa Jangwani wanawakaribisha Simba SC, Wekundu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Uganga wa Mshana Jr. unapofeli; Yanga 1 Simba 0

    Ama kwa uhakika mkuu Mshana jr leo umetuangusha bhana. Baada ya kukusoma katika ule uzi wa Bawacha pale Mlimani City kwamba leo Mnyama hapakatwi bali anauwa, si ndio nikaagiza bia zangu kusherehekea ushindi lakini yaliyojiri wewe mwenyewe umeyashuhudia. Kamanda mshana jr leo umeniangusha!
  13. JamiiForums Tanzania Nitajiunga CCM Simba akishinda leo

    Nitajiunga na CCM endapo Simba watashinda mechi ya leo bila kubebwa na marefa sioni beki za kuwazuia washambuliaji wa Yanga wasipate matokeo gemu ya leo.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Game ya Yanga vs Simba itakuwa ngumu Sana

    Mashabiki wengi wa Simba wameshatengeneza mentality ya wao kushinda dhidi ya Yanga Tena kwa magoal mengi kwa kuamini Yanga ni mbovu.Me ni mshabiki wa Simba lakini kwenye derby chochote kinaweza kutokea kwa team zote mbili kitendo Cha Yanga kuaidiwa mil 200 na uongozi wao Kama wakishinda...
  15. JamiiForums Tanzania Vilabu vya Simba na Yanga vivunjwe?

    Kuna mdau mmoja wa michezo ameomba nimuwekee mawazo yake hapa! Naomba kuwasilisha!
  16. JamiiForums Tanzania Chonde Chonde kwa aliye karibu na uongozi wa Simba Sports Club au msemaji wao Manara aifikishe kwao taarifa hii muhimu sana

    Nimetonywa na watu wa ndani kabisa kutoka katika klabu ambayo Simba Sports Club inaenda kucheza nayo tarehe 8 March 2020 ambayo hadi hivi sasa Mzukulu naona kuna Goli Mbili (2) ambazo zote zitafungwa katika kila kipindi kwa hiyo Klabu kuwa kuna hujuma kubwa (umafia) ambao wanapanga Kufanya hasa...
  17. JamiiForums Tanzania Simba / Serikali mdhibitini Haji Manara kabla hajaleta madhara Kwa Taifa

    We Haji Manara unapenda Sana kutania na.kukashifu wenzako lakini wewe ukitaniwa unakuwa mkali, hizo NI Double Standard. Jerry Muro.kaongea Kwa utani Tu " Haji Manara arudi kwenye kazi ya ualimu WA madrassa" wewe umefanya press conference unalalamika eti Uislamu umekashifiwa na umeenda mbali...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Simba, tafadhali mtoeni Said Ndemla kwenye kifungo hiki

    Kwa kiwango cha uchezaji cha kiuongo mahiri Said Ndemla hastahili kufanyiwa haya anayofanyiwa. Kumuweka benchi kijana huyu kwa miaka mitatu (03) haiko sawa na kuto mtendea haki. Inanawezekana yeye ameridhika na malipo anayopata Simba, ila atambue kuwa mpira ni kazi inayodumu kwa miaka michahche...
  19. JamiiForums Tanzania Liparamba: Pori lenye simba weupe na tembo ‘wakimbizi’

    PORI la Akiba la Liparamba linalopita katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, limejaaliwa kuwa na vivutio ambavyo havipatikani katika hifadhi nyingine nchini. Liparamba ni hifadhi iliyopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji ambayo ina wanyama aina ya tembo ambao ni wakimbizi ikiwa na maana kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD):Alipokuwa mchezaji wa Yanga, Simba walimsema ni bomu (dhaifu) na hana lolote

    Alipokuwa mchezaji wa Yanga, Simba walimsema ni bomu (dhaifu) na hana lolote. Amejiunga na Simba, sasa Simba wanasema wamesajiri jembe la uhakika. Nao Yanga wanasema Simba wamechukua bomu ambalo litawalipukia. Mchezaji mwenyewe alipokuwa Yanga, alisema yeye ni Yanga na Yanga ni yeye. Hata damu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…