Simba / Serikali mdhibitini Haji Manara kabla hajaleta madhara Kwa Taifa

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,110
27,092
We Haji Manara unapenda Sana kutania na.kukashifu wenzako lakini wewe ukitaniwa unakuwa mkali, hizo NI Double Standard.

Jerry Muro.kaongea Kwa utani Tu " Haji Manara arudi kwenye kazi ya ualimu WA madrassa" wewe umefanya press conference unalalamika eti Uislamu umekashifiwa na umeenda mbali zaidi kuwa mobilise waislamu wote nchini bila kujali wapo Simba au Yanga waungane na wewe.
Huo NI utoto chief.

Acha hizo mkuu . Mimi NI Muislamu kama wewe na nimesoma madrassa Ile Ile uliyosoma wewe pale Kariakoo Kwa Ustadh Rama.but sijaona tatizo lolote Kwa muislamu kuambiwa wewe ulikuwa mwalimu WA madrassa.

Kauli yako inaweza kuleta machafuko nchi nzima.

Ishu yenyewe NI Osh Kosh B'Gosh. Mambo ya udini NI hatari Sana. Uzembe kidogo Tu watu wanapeleka ngariza. Mzee Kanyaga lakini taratibu.

Hakukuwa na ulazima wowote kufanya press conference kuzungumzia kuhusu suala la udini.

Vita ya udini NI mbaya Sana shekhe wangu.

Uislamu unafundisha kuwa na busara na busara ni kukaa.kimya.

Simba mdhibitini Kijana wenu maana his mouth is free like Nelson Mandela. He can just open up his mouth and talk anyhow. Hapana sio Sawa hata kidogo.

Haji usituletee mambo ya udini kwenye Mpira.

Kama unajijua Ur short tempered basi punguza utani Kwa watu.

Afande Sele aliwahi kukuchana kejeli zako Kwa Yanga zimekuwa too much kiasi kwamba unaweza kumsababidhia Mo hasara cause mashabiki WA Yanga wanaweza Ku boycott kununua bidhaa za Mo.

Guide Ur mouth pls

# Ur a much know.
# u know everything.
# hupendi kukosolewa.

# Una kejeli wenzako wewe ukikejeliwa unakuwa mkali.

# Unadeka Sana . Baba ako alikudekeza mno. Nakumbuka Enzi hizo ukiwa bado Bwana mdogo Baba ako alikuwa anakuja mazoezini amekupakia kwenye gari watoto tukawa tunasema Manara ana mtoto WA kizungu.

# kikubwa zaidi ur suffering from a very dangerous disease known as " INFERIORITY COMPLEX".

# SIMBA SC ITS HIGH TIME NOW U GUYS START TO TEACH UR GUY HOW TO SPEAK FROM BOTH SIDES OF HIS MOUTH BEFORE IT IS TOO LATE.

# Sheikh Mohamed Yusuf alianzaga hivi hivi and now his powers are uncontrollable and cannot be shaken like the Mount zion
 
Na huyo Jenny Muro nae mwambie achague maneno ya kuongea, sio kuropoka hovyo tu kila wakati, alishawahi mkashifu Manara, vyema arudi kwenye ukuu wake wa wilaya aache kuhangaika na visivyomuhusu, kama anataka kuwa msemaji wa Yanga aache ukuu wa wilaya aombe kazi Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Namuomba Muheshimiwa sana, Bwana Bashite, amfurushe kwenye u - DC!
 
Ualbino unamsumbua Manara amekuwa na inferiority sana!!

Namuonaga ni kijana mpumbavu sana asiye na akili kichwani.

Wengi wa dini yake wapo hivyo ni mpumbavu na anapaswa kupuuzwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom