Hivi kwanini Jezi za Simba SC mara zote ni kichekesho?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Hivi kwanini hawa jamaa hawajawahi kuwa na uzi mzuri hata kumshinda Azam FC? Kwanini wasifanye mpango wa kujifunza kwa wataalamu wa KIT kutoka Dar es Salaam Young Africans SC?

Maana walitengeneza hulka kubwa sana kuhakikisha watu wawe makini na uzi ujao, uzi ulivyotangazwa tu kila mtu akaishiwa nguvu.

Halafu kwanini wanawang'ang'ania hawa UhlSport. hawa jamaa hawajawahi kubuni jezi. Wanachofanya ni kuiga bunifu za kit producer wengine.

1.jpg
2.jpg

Haina tofauti na ya msimu uliopita.

3.jpg
 
Hivi kwanini hawan jamaa hawajawahi kuwa na uzi mzuri hata kumshinda Azam FC? Kwanini wasifanye mpango wa kujifunza kwa wataalamu wa KIT kutoka Dar es Salaam Young Africans SC?

Maana walitengeneza hulka kubwa sana kuhakikisha watu wawe makini na Uzi ujao, Uzi ulivyotangazwa tu kila mtu akaishiwa nguvu.

Halafu kwanini wanawang'ang'ania hawa UhlSport. hawa jamaa hawajawahi kubuni jezi. Wanachofanya ni kuiga bunifu za kit producer wengine.
Hahahaha

Uhsports = Kasssim Dewji
Kassim Dewji = ?

Halafu feki nyingi kuliko original ,sijui km wanapata faida vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini hawan jamaa hawajawahi kuwa na uzi mzuri hata kumshinda Azam FC? Kwanini wasifanye mpango wa kujifunza kwa wataalamu wa KIT kutoka Dar es Salaam Young Africans SC?

Maana walitengeneza hulka kubwa sana kuhakikisha watu wawe makini na Uzi ujao, Uzi ulivyotangazwa tu kila mtu akaishiwa nguvu.

Halafu kwanini wanawang'ang'ania hawa UhlSport. hawa jamaa hawajawahi kubuni jezi. Wanachofanya ni kuiga bunifu za kit producer wengine.View attachment 1536885View attachment 1536886View attachment 1536887
Simba ni vichekesho kuanzia Msemaji wao hadi Ng'ombe Mnyama Mooooo!!
 
kajaribu kuangalia jersey za timu kadhaa za misimu tofauti inayofatana mfano 2017/17 2017/18 2018/19 .ukimaliza urudi hapa
 
Hao jamaa huwa ni washamba Sana sema kwa kua soka la kibongo hua ni zamu kwa zamu nahamini zamu yao imeisha kwani naiona ile yanga ya kampa kampa tena ni suala la muda tu
 
Unataka washonewe zile blauzi za Yanga?
Tatizo la yanga wapenzi wao wengi rizki
Hivi kwanini hawa jamaa hawajawahi kuwa na uzi mzuri hata kumshinda Azam FC? Kwanini wasifanye mpango wa kujifunza kwa wataalamu wa KIT kutoka Dar es Salaam Young Africans SC?

Maana walitengeneza hulka kubwa sana kuhakikisha watu wawe makini na uzi ujao, uzi ulivyotangazwa tu kila mtu akaishiwa nguvu.

Halafu kwanini wanawang'ang'ania hawa UhlSport. hawa jamaa hawajawahi kubuni jezi. Wanachofanya ni kuiga bunifu za kit producer wengine.

View attachment 1536897View attachment 1536898

Haina tofauti na ya msimu uliopita.

  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom