Katika hili MO anatuingizia Siasa kwenye Simba SC yetu. Tusiogope kumdhibiti

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,260
15,151
Tumepata kuisikia press ya Boss wetu Mohamed Dewji leo akiongea na vyombo vya Habari. Kilichonishtusha zaidi ni kuhusu ile Bilioni 20 aliyotuahidi wanachama kuitoa mara apatapo nafasi ya kusimikwa kama sehemu ya umiliki wa Klabu yetu. Mpaka sasa Mo ajaitoa hiyo pesa yote, huku akitoa majibu mepesi mepesi kuwa pesa hatoitoa yote kwa sasa na badala yake atatoa bilioni 3 kila msimu.

Kilichonishangaza zaidi ni kumsikia akilalamika kuwa kuna watu ndani ya Simba wana chokochoko. Yaani wanachama tunaanzaje kuwa na chokochoko kwa kuhoji masuala ya msingi?

Mategemeo yetu mpaka sasa tuwe tumeanza kujenga academy ya Simba, cha kushangaza kwenye press akawa anazungumzia habari ya kutufita vipaji mikoani. Sasa hivyo vipaji vitaenda kucheza wapi? Mchangani?

Ni muda sasa umefika viongozi wa klabu yangu tuweke kikao ili tujitafakari na kujadiri kwa kina malengo yetu kama klabu. Huu sio muda wa wanasiasa kufanya siasa zao klabu ili hali wanachama wanataka kuona maendeleo ya kweli.

Ninaamini mimi ni mmoja wa wachache niliyepata ujasiri wa kujitokeza na kuzungumza siuala hili.
 
Mnaodhani kuwa Mo anafaidika Sana na Simba kuliko Simba inavyofaidika na Mo mna matatizo, Mo anaibeba Simba katika Kila Jambo analipa wachezaji na kufanya mambo makubwa!

Akiondoka Mo Simba Ina dorola haraka sana.

Utopolo fc achaneni na Simba Sc.
 
Mimi nitamlaumu moo wachezaji wasipolipwa mishahara na wafanyakazi kazi.

Ila kwa sasa yupo sawa.

Aendeshe timu.

Mimi ni shabiki wa simba lakini hata siku moja sijawahi kununua jezi ya simba kuchangia timu.

Alafu leo nije kumlaumu mtu anayetoa mabilioni yake kunijengea timu ninayoishabikia si nitakuwa sina akili?
Mnaodhani kuwa Mo anafaidika Sana na Simba kuliko Simba inavyofaidika na Mo mna matatizo, Mo anaibeba Simba katika Kila Jambo analipa wachezaji na kufanya mambo makubwa!

Akiondoka Mo Simba Ina dorola haraka sana.

Utopolo fc achaneni na Simba Sc.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nitamlaumu moo wachezaji wasipolipwa mishahara na wafanyakazi kazi.
Ila kwa sasa yupo sawa. Aendeshe timu.

Mimi ni shabiki wa simba lakini hata siku moja sijawahi kununua jezi ya simba kuchangia timu.

Alafu leo nije kumlaumu mtu anayetoa mabilioni yake kunijengea timu ninayoishabikia si nitakuwa sina akili?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Wanaoleta hizi hadithi ni Uto tu hakuna Mwanasimba anaweza kumlalamikia Mo kwa kiwango cha Utopolo.
 
Mnaodhani kuwa Mo anafaidika Sana na Simba kuliko Simba inavyofaidika na Mo mna matatizo, Mo anaibeba Simba katika Kila Jambo analipa wachezaji na kufanya mambo makubwa!

Akiondoka Mo Simba Ina dorola haraka sana.

Utopolo fc achaneni na Simba Sc.
team imetulia na heshima ni kubwa sana nina marafiki kenya uganda rwanda burundi congo wanatuheshimu sana
 
Tumepata kuisikia press ya Boss wetu Mohamed Dewji leo akiongea na vyombo vya Habari. Kilichonishtusha zaidi ni kuhusu ile Bilioni 20 aliyotuahidi wanachama kuitoa mara apatapo nafasi ya kusimikwa kama sehemu ya umiliki wa Klabu yetu., mpaka sasa Mo ajaitoa hiyo pesa yote, huku akitoa majibu mepesi mepesi kuwa pesa hatoitoa yote kwa sasa na badala yake atatoa bilioni 3 kila msimu.

Kilichonishangaza zaidi ni kumsikia akilalamika kuwa kuna watu ndani ya Simba wana chokochoko. Yaani wanachama tunaanzaje kuwa na chokochoko kwa kuhoji masuala ya msingi?.

Mategemeo yetu mpaka sasa tuwe tumeanza kujenga academy ya Simba, cha kushangaza kwenye press akawa anazungumzia habari ya kutufita vipaji mikoani. Sasa hivyo vipaji vitaenda kucheza wapi? Mchangani?

Ni muda sasa umefika viongozi wa klabu yangu tuweke kikao ili tujitafakari na kujadiri kwa kina malengo yetu kama klabu. Huu sio muda wa wanasiasa kufanya siasa zao klabu ili hali wanachama wanataka kuona maendeleo ya kweli.

Ninaamini mimi ni mmoja wa wachache niliyepata ujasiri wa kujitokeza na kuzungumza siuala hili.
Sisi mashabiki wa Simba tunajua hiyo pesa hajaiweks kwa sababu mchakato haujakamilika na nakumbuka Haji manara alielezea vizuri Sana jinsi mchakato unavyokwenda hasa kwa upande wa serikalini.

Lakini tunatambua pia kwamba mo anatoa pesa nyingi Sana kwa klabu yetu kwa Sasa na ndiyo maana mishahara na bonasi vinapatikana kwa wakati, tunasajili wachezaji kwa pesa kubwa Sana.

Pia mo anautajiri wa zaidi ya trilioni 1. Sasa akashindwa vipi kutoa 20b.

Hivyo sisi mashabiki wa SIMBA hatuna wasiwasi Ila nyie mashabiki wa utopolo ndio mnaochokonoa
 
Tumepata kuisikia press ya Boss wetu Mohamed Dewji leo akiongea na vyombo vya Habari. Kilichonishtusha zaidi ni kuhusu ile Bilioni 20 aliyotuahidi wanachama kuitoa mara apatapo nafasi ya kusimikwa kama sehemu ya umiliki wa Klabu yetu., mpaka sasa Mo ajaitoa hiyo pesa yote, huku akitoa majibu mepesi mepesi kuwa pesa hatoitoa yote kwa sasa na badala yake atatoa bilioni 3 kila msimu.

Kilichonishangaza zaidi ni kumsikia akilalamika kuwa kuna watu ndani ya Simba wana chokochoko. Yaani wanachama tunaanzaje kuwa na chokochoko kwa kuhoji masuala ya msingi?.

Mategemeo yetu mpaka sasa tuwe tumeanza kujenga academy ya Simba, cha kushangaza kwenye press akawa anazungumzia habari ya kutufita vipaji mikoani. Sasa hivyo vipaji vitaenda kucheza wapi? Mchangani?

Ni muda sasa umefika viongozi wa klabu yangu tuweke kikao ili tujitafakari na kujadiri kwa kina malengo yetu kama klabu. Huu sio muda wa wanasiasa kufanya siasa zao klabu ili hali wanachama wanataka kuona maendeleo ya kweli.

Ninaamini mimi ni mmoja wa wachache niliyepata ujasiri wa kujitokeza na kuzungumza siuala hili.
Kumbe kuitwa Nyani nako ni sifa?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Unazungumziaje suala la kusubiri mchakato ukamilike ikiwa ni miaka mitatu sasa tangu MO awepo pale.

Kila mwaka yeye anatoa ruzuku ya Bilioni 3. Je Tutazidai vipi hizo bilioni 20, baada ya miaka 7?
 
Back
Top Bottom