Mtazamo wangu: Simba wampe timu Zahera aifikishe mwisho wa msimu wakati wakitafuta kocha wa muda mrefu

Goguryeo

JF-Expert Member
May 17, 2019
2,503
4,502
Binafsi nashauri timu apewe Mwinyi Zahera aisaidie kuifikisha mwisho wa msimu wakati Simba wakitafuta mbadala wa Sven ambaye atakua ni wa muda mrefu.

Mwinyi si kocha mbaya japo anaongea mno kitu ambacho akipewa anagalizo anaweza kujirekebisha au wadau mnasemaje?

Wewe kama mdau wa mpira, unapendekeza kocha gani apewe mikoba hii Kwa muda huu ambapo anatafutwa kocha mkuu wa muda mrefu?

Mimi naona matola kama hatoshi hivi jumlisha na tetesi nilisikia anataka kutimkia Kenya akawe kocha mkuu huko.
 
Ukweli ni kwamba group stages ni mwezi ujao tu,akiletwa mzungu hapa itakuwa balaa sana mda wa kuanza kuisoma team tutalaumiana ,zahera anaijua simba anajua hata tabia za wachezaji wa simba.

Kuna kocha yule mdachi aliyekuwa leopards naona anapigiwa debe lakini hivi jamani hamjawahi kufikiria kuna suala la lugha linatatiza wachezaji?

Jana nilikuwa naanglia clips za kwenye boats wakienda zanzibar,Morrison anataniana na wenzake wanakula karanga za nganda halafu wakamuita wanamumbia akawatafutie dust bin jamaa kuzenguana akamuambia dilunga na Ajib kwamba hawana lolote kuliko yeye yeye ndo messi(alisema kwa english)huku zimbwe akiwa anacheka akasema kasoro huyu(yaani zimbwe jr)dilunga na ajib wakabaki wanatoa macho ,nilijiuliza sana kuna uwezekano hawajamuelewa au ile heavy accent ya ki west africa ni shida kwao kuisikia.

Wachezaji wa utopolo leo hawana shida ya lugha mburundi wanamuelewa,wanaozungumza kifaransa wanaumelewa pia hat wa English
TAFDHALI MPENI TEAM MWINYI ZAHERA...siku 3 tu itacheza anavyotaka yeye.Huku hakuna shida ya hela aliyokumbana nayo yanga na kuhusu nidhamu tunajua kina mkude wenyewe watanyooka kwa huyo mkongo
 
Hapana aisee! Tutaambia nini watani? Kila aina ya matusi tulimtukana huyu kocha, mpaka mengine ambayo utopolo walikuwa hawayajui tukayafukunyua!

Sasa tukimchukua si tutakuwa tumejigeuzia mtutu wa bunduki?
Ha ha ha ......
 
Tatizo tutaweka wapi sura zetu?Maana tulimtukana sana huyu kocha Kipindi anaifundisha Yanga mpaka kumbandika jina Komando kipensi!
 
Tatizo tutaweka wapi sura zetu?Maana tulimtukana sana huyu kocha Kipindi anaifundisha Yanga mpaka kumbandika jina Komando kipensi!
kawaida tu unadhani utopolo leo wakimpta Hajj manara hawatampamba?shughuli itakuwa kwa yanga kumtukana maana aliwabeba sana na bado anawadai hela
 
Ukweli ni kwamba group stages ni mwezi ujao tu,akiletwa mzungu hapa itakuwa balaa sana mda wa kuanza kuisoma team tutalaumiana ,zahera anaijua simba anajua hata tabia za wachezaji wa simba.

Kuna kocha yule mdachi aliyekuwa leopards naona anapigiwa debe lakini hivi jamani hamjawahi kufikiria kuna suala la lugha linatatiza wachezaji?

Jana nilikuwa naanglia clips za kwenye boats wakienda zanzibar,Morrison anataniana na wenzake wanakula karanga za maganda halafu wakamuita wanamumbia akawatafutie dust bin jamaa kuzenguana akamuambia dilunga na Ajib kwamba hawana lolote kuliko yeye yeye ndo messi(alisema kwa english)huku zimbwe akiwa anacheka akasema kasoro huyu(yaani zimbwe jr)dilunga na ajib wakabaki wanatoa macho ,nilijiuliza sana kuna uwezekano hawajamuelewa au ile heavy accent ya ki west africa ni shida kwao kuisikia.

Wachezaji wa utopolo leo hawana shida ya lugha mburundi wanamuelewa,wanaozungumza kifaransa wanaumelewa pia hat wa English
TAFDHALI MPENI TEAM MWINYI ZAHERA...siku 3 tu itacheza anavyotaka yeye.Huku hakuna shida ya hela aliyokumbana nayo yanga na kuhusu nidhamu tunajua kina mkude wenyewe watanyooka kwa huyo mkongo
 
Hivi kwanini kishingo kamwaga manyanga?!

Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app
inasemekana raja casablanca wanamtaka lakini pia inawezekana alikuwa anajua haaminiki hivyo kawaonyeshea kwamba kaingiza team group stage halafu kaamua kusepa sababu official ni matatizo ya kifamilia,atakuw akapata team inayolipa zaidi au team ya taifa
 
Ila inawezekana kweli, his profile is better now

Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kwamba group stages ni mwezi ujao tu,akiletwa mzungu hapa itakuwa balaa sana mda wa kuanza kuisoma team tutalaumiana ,zahera anaijua simba anajua hata tabia za wachezaji wa simba...
Mkuu binafsi nakuunga mkono .....kumleta mzungu saivi mpaka wachezaji wakazoee mifumo Yao hiyo ni issue Sana ......

Najua hapa watu watapinga lakini Zahera ana vitu fulani binafsi namkubali ...hawa tunaowaona flop anaweza akawafanya tuwaone sasa ubora wao.

Zahera alikua na timu Tia maji Sana lakini uliona matokeo alokua anayapata ? sembuse Simba hii ambayo ati bwalya ,ajibu, gadieli wanaonekana flop wakati Zahera alikua na akina yikpe , ngasa na aliisaidia sana Yanga.

Kwa muda huu mfupi wakati wanatafuta kocha wa muda ...wasilete mzungu aloo tutachakaa
 
Ukweli ni kwamba group stages ni mwezi ujao tu,akiletwa mzungu hapa itakuwa balaa sana mda wa kuanza kuisoma team tutalaumiana ,zahera anaijua simba anajua hata tabia za wachezaji wa simba...
Mzungu pekee ambaye atleast atakuwa na uhalisia ni UCHEBE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom