Big up kwa Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,531
1,733
Nampongeza Kocha wa Simba kwa kazi nzuri anayofanya hakika anastahili, Mitano tena.

Kwa falsafa yake yeye anachojali ni kuvuka stage moja na kuendelea na mashindano , hii itatufikisha mbali huenda mwaka huu tukatinga nusu fainali.

Nasema uongo ndugu zangu?

Tuleteeni utopolo mapinduzi cup

FB_IMG_1610015933663.jpg
 
mimi huwa nawahurumia sana mashabiki wa simba wanaoingia kichwa kichwa kuwaiga yanga kwa kumsema vibaya huyu kocha sven: eti hafai kweli? eti wakimlinganisha na patrick osseums wanaona huyu bado sana!! mi naona ni wagumu wa kuelewa na kupima uwezo wa makocha.. patrick alikuwa anapendwa na mashabiki kwa sababu alikuwa mhamasishaji tofauti na huyu. huyu yuko more technical ila anakosa uwezo wa kuhamasisha mashabiki kama alivyokuwa anawafanyia patrick. na ndio maana ukifuatilia simba chini ya sven huwa ubora wake uko katika level moja na mara nyingine huwa unapanda tofauti na patrick ambaye leo mnashinda nyumbani kesho mnaenda kufungwa tano ugenini kitu ambacho sven hakiwezi kutokea. anachezesha mshambuliaji mmoja mbele na kwa uhakika timu inakuwa bora kabisa na inafunga magoli mengi zaidi ukiliganisha na patrick alikuwa anachezesha washambuliaji wawili lakini timu bado ilikuwa inafunga magoli machache. kwa sven kila mchezaji ni mfungaji, mshambuliaji anabaki pale kwa ajili ya kudstab walinzi wa timu pinzani. hebu fuatilia match ya platinum waliofunga magorli ni mabeki na viungo, boko amekuja kuambulia mwishoni kwa bahati tu. tuendelee kumwamini sven mimi bado naona ni kocha bora kabisa kumzidi patrick
 
Uhamasishaji wa Haji asubuhi Ile Kwa Media ulisaidia sana.

Wachezaji walikuwa na spirit sana.

Mashabiki pia walikuwa na ari mno.

Simpendi Haji but hii mechi alisaidia sana
Sahihi.
The Boss amia Simba hata kwa mkopo basi mkuu.
 
mimi huwa nawahurumia sana mashabiki wa simba wanaoingia kichwa kichwa kuwaiga yanga kwa kumsema vibaya huyu kocha sven: eti hafai kweli? eti wakimlinganisha na patrick osseums wanaona huyu bado sana!! mi naona ni wagumu wa kuelewa na kupima uwezo wa makocha.. patrick alikuwa anapendwa na mashabiki kwa sababu alikuwa mhamasishaji tofauti na huyu. huyu yuko more technical ila anakosa uwezo wa kuhamasisha mashabiki kama alivyokuwa anawafanyia patrick. na ndio maana ukifuatilia simba chini ya sven huwa ubora wake uko katika level moja na mara nyingine huwa unapanda tofauti na patrick ambaye leo mnashinda nyumbani kesho mnaenda kufungwa tano ugenini kitu ambacho sven hakiwezi kutokea. anachezesha mshambuliaji mmoja mbele na kwa uhakika timu inakuwa bora kabisa na inafunga magoli mengi zaidi ukiliganisha na patrick alikuwa anachezesha washambuliaji wawili lakini timu bado ilikuwa inafunga magoli machache. kwa sven kila mchezaji ni mfungaji, mshambuliaji anabaki pale kwa ajili ya kudstab walinzi wa timu pinzani. hebu fuatilia match ya platinum waliofunga magorli ni mabeki na viungo, boko amekuja kuambulia mwishoni kwa bahati tu. tuendelee kumwamini sven mimi bado naona ni kocha bora kabisa kumzidi patrick
Nmekuelewa mkuu,Sven Ni vitendo dhidi ya maneno
 
Watanzania kama kawaida yenu, subiri Simba ipigwe na KMC ndo utaona rangi halisi za mashabiki wa Simba.
 
Sven, Jana ndo aliniacha hoi. Alianza na mabeki watatu akaona demla hafanyi kazi yake ya kuwalinda mabeki akabadili mfumo kutoka 3:4:3 kuja 4:3:3. Timu ikawa balanced. Baada ya kupata goli la pili akaamua kumtoa Ndemla. Akili yangu nikajua atamuingiza Dilunga. Lakini akafanya kitu kingine akabadili mfumo. Kutoka 4:3:3 na kua 3:4 3 kwa kumuingiza AME. Akaja kufunga kabsa njia za Platinum.
Kocha bora unatakiwa uwe na silaha bora. Ndicho Sven kinamsaidia. Maana sio kazi rahisi kubadilisha mfumo ndani ya mchezo
 
mimi huwa nawahurumia sana mashabiki wa simba wanaoingia kichwa kichwa kuwaiga yanga kwa kumsema vibaya huyu kocha sven: eti hafai kweli? eti wakimlinganisha na patrick osseums wanaona huyu bado sana!! mi naona ni wagumu wa kuelewa na kupima uwezo wa makocha.. patrick alikuwa anapendwa na mashabiki kwa sababu alikuwa mhamasishaji tofauti na huyu. huyu yuko more technical ila anakosa uwezo wa kuhamasisha mashabiki kama alivyokuwa anawafanyia patrick. na ndio maana ukifuatilia simba chini ya sven huwa ubora wake uko katika level moja na mara nyingine huwa unapanda tofauti na patrick ambaye leo mnashinda nyumbani kesho mnaenda kufungwa tano ugenini kitu ambacho sven hakiwezi kutokea. anachezesha mshambuliaji mmoja mbele na kwa uhakika timu inakuwa bora kabisa na inafunga magoli mengi zaidi ukiliganisha na patrick alikuwa anachezesha washambuliaji wawili lakini timu bado ilikuwa inafunga magoli machache. kwa sven kila mchezaji ni mfungaji, mshambuliaji anabaki pale kwa ajili ya kudstab walinzi wa timu pinzani. hebu fuatilia match ya platinum waliofunga magorli ni mabeki na viungo, boko amekuja kuambulia mwishoni kwa bahati tu. tuendelee kumwamini sven mimi bado naona ni kocha bora kabisa kumzidi patrick
Kweli mkuu ngajapo , kuna kipindi flani simba chini ya sven walikuwa wanashinda kwa ushindi mwembamba afu unakuta mashabiki wanasema kocha afukuzwe mara ooh atumie washambuliaji wawili...
Mwisho wa siku kocha aachwe afanye kazi yake maana timu imemuamini na imeona ana vigezo na uwezo wa kufundisha. Tuache ujuaji mwingi mashabiki
 
mimi huwa nawahurumia sana mashabiki wa simba wanaoingia kichwa kichwa kuwaiga yanga kwa kumsema vibaya huyu kocha sven: eti hafai kweli? eti wakimlinganisha na patrick osseums wanaona huyu bado sana!! mi naona ni wagumu wa kuelewa na kupima uwezo wa makocha.. patrick alikuwa anapendwa na mashabiki kwa sababu alikuwa mhamasishaji tofauti na huyu. huyu yuko more technical ila anakosa uwezo wa kuhamasisha mashabiki kama alivyokuwa anawafanyia patrick. na ndio maana ukifuatilia simba chini ya sven huwa ubora wake uko katika level moja na mara nyingine huwa unapanda tofauti na patrick ambaye leo mnashinda nyumbani kesho mnaenda kufungwa tano ugenini kitu ambacho sven hakiwezi kutokea. anachezesha mshambuliaji mmoja mbele na kwa uhakika timu inakuwa bora kabisa na inafunga magoli mengi zaidi ukiliganisha na patrick alikuwa anachezesha washambuliaji wawili lakini timu bado ilikuwa inafunga magoli machache. kwa sven kila mchezaji ni mfungaji, mshambuliaji anabaki pale kwa ajili ya kudstab walinzi wa timu pinzani. hebu fuatilia match ya platinum waliofunga magorli ni mabeki na viungo, boko amekuja kuambulia mwishoni kwa bahati tu. tuendelee kumwamini sven mimi bado naona ni kocha bora kabisa kumzidi patrick
Kinachomsaidia kocha wa sasa wa simba ni ubora tu wakikosi chake ila sio mbinu za mwalimu.Patrick alikua bora zaidi kulingana na kikosi alichokua nacho kipindi kile na washindani wake na mbinu za mwalimu zilionekana dhahiri tofauti na sasa matokeo yanaletwa na juhudi binafsi za wachezaji.Tuliona mechi za nyuma alivyokua chama hayuko timu ilivyopwaya. na mwalimu kukosa mbinu mbadala wakuifanya timu ipate matokeo chanya. kwahiyo tusubiri safari ya simba uko mbele tutaona zaidi tofauti na ubora kati ya walimu hawa wawili.
 
Back
Top Bottom