simba

  1. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao mashabiki wa Simba hawataki kuukubali

    Kwa sasa mna timu ya kawaida sana, Tshabalala, Kapombe, Bocco, Nyoni na Mkude siyo wa miaka minne nyuma, Chama aliyerudi kutoka Morocco siyo yule alieondoka, pengo la Muqquison bado halijazibwa, wachezaji wenu wa kigeni ukiwatoa Innonga karibia wengine wote ni overrated. Usajili wenu ya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC tumeshachoshwa na 'Press' zenu za 'Kutuzuga'

    Tumeshawachoka sasa, yaani kila Simba SC ikifanya vibaya (ikifungwa) ili kutuzuga wapenzi (mashabiki) haraka sana kesho yake (kama hii leo) mnakuja na Press Conference (Mkutano na Waandishi wa Habari). Kama kweli Simba SC huwa mnakuwa na taarifa (jambo) muhimu kwetu mashabiki ni kwanini huwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Simba SC haimtendei haki beki wa kimataifa, Mohammed Ouatara

    Inashangaza sana mara baada ya beki aliyeisha makali yake, Joash Onyango kupeleka ombi la uhamisho kwa uongozi wa Klabu ya Simba, mambo yakaanza kubadilika kwa beki gwiji raia wa Ivory Coast Mohammed Ouatara, akaanza kusugulishwa benchi mfululizo. Yaani toka kocha "Mzawa" Juma Mgunda atue...
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ukimuangaza Manula kwa makini, kuna kitu anaiumiza Simba

    Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni. Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Simba, Yanga na Azam katika hadhi ya nchi tatu za E. Africa

    Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani. Mimi naanza hivi: Yanga = Kenya Simba = Tanzania Azam = Uganda Karibuni.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Erasto Nyoni ni bora ustaafu ili uwe 'Kit Manager' wa Simba

    Haina salamu. Hasira zote zikushukie mchezaji usieleweka unacheza namba gani uwanjani, Erasto Nyoni. Hivi unashindwa nini kuiga mfano wa beki Aggrey Morris aliyeamua kutundika daluga? Yaani sasa hivi umekuwa mchezaji kituko ndani ya Simba, wewe pamoja na hao wakuitwa legends, Jonas Mkude na...
  7. Thailand

    JamiiForums Tanzania Quattara wa Simba alichemka wapi, now hapati namba

    Quattara alianza vizuri akiwa anamuweka benchi Onyango, ila now mambo ime turn jamaa hajulikani alipatwa na nini haanzi kwenye kikosi cha kwanza
  8. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

    Ni bandika bandua leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa, pale miamba ya soka Afrika mnyama mkali mwituni wekundu wa msimbazi, watakapo karibishwa na matajiri wa Azam FC katika kuwania pointi 3 muhimu ili kujiweka vizuri kwenye msimamo wa ligi kuu! Mara baada ya mnyama kutoshana nguvu na mtani...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu uwekezaji wa Mo Dewji Simba ndiyo huu

    Kwanza suala la uwekezaji na umiliki wa hisa ni suala la kitaalamu na lina misingi yake, Simba hawaifuati. Mkutano Mkuu wa Simba uliridhia Mo kupewa 49% ya hisa za Simba. Ukototozi wa thamani ya klabu umefanyika? Bado. Wanachama wa Simba wanamiliki 51% ya hisa za Simba, kwani simba thamani yake...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Queens yalamba udhamini wa bilioni 1

    Timu yetu ya Wanawake, @simbaqueensctz leo imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya @mbet_tz wenye thamani ya Tsh. bilioni moja. Simba Queens itaanza kutumia jezi zenye nembo ya M-Bet kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake. Hii ndiyo...
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga ukomeshe waandishi uchwara madalali wa Simba ili iwe fundisho kwa wahuni wengine

    Ni dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri. Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni huu, ili kukomesha tabia hii ya unprofessional journalism Uongozi wa Yanga utowe tamko la Boycott...
  12. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Simba wakiendeleza jadi yao ya uchawi

    Wakati kipindi cha pili kinaenda kuanza, Manura alielekea golini kwake na wakati anaweka taulo, kuna kitu cheupe alikitupa pale golini. Huu ni muendelezo wa matukio kibao ya Klabu ya Simba kutumia ndumba. Tufike mahali tuache mpira uchezwe, hizi kamati za ufundi hazitusaidii kwa lolote...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba walikosa umakini, hawajitumi ipasavyo

    Moja kwa moja kwa wachezaji wa Simba na bila kupepesa. Mgunda amejitahidi kuwabadilisha wachezaji watembee, mpira utembee na kuchangamka lakini bado wachezaji wanajisahau. Jana ilikuwa Yanga wanalala mapema. Hebu tazama dakika za mwanzo kasi ya Simba ilikuwa kubwa na kuwalazimisha Yanga kuacha...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni mwana Simba SC mwenye roho mbaya na ya kichawi ndiyo hatolifurahia 'Classic Goal' la Stephane Aziz Ki

    Kama mwana Simba SC ni goli ambalo limeniuma kwani amesawazisha ila kiuanamichezo na hasa nikiwa kama mdau wa soka GENTAMYCINE, nisiwe mnafiki na naomba niseme tu kuwa ni goli zuri hakuna mfano. Kwani alijiseti vyema kabisa na kunipigia 'muwa' wa maana ulioenda kule kule anakotagia mayai ndege...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC wanaongoza kwa kujitoa ufahamu na hawajitambui

    Leo hii analaumiwa Okrah, mechi iliyopita alilaumiwa Zoran, ya ngao akalaumiwa Inonga, sasa nyie kila mechi mtakuwa mnatafuta kichaka cha kufichia madhaifu yenu? Mlikuwa mnasema Juma Mgunda atainyoosha Yanga kwakuwa alipata sare moja ya nusu fainali kule Arusha, nikawauliza kabla ya mechi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mkude Simba SC imetosha, tafuta changamoto sehemu nyingine

    Amani iwe kwenu. Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo wa viungo wakabaji wa timu ya Simba SC kwa muda mrefu sasa. Nimeona mabadiliko makubwa kwa Mzamiru Yasin na Sadio Kanoute, viwango vyao vinakua siku baada ya siku ila inapokuja kwa mchezaji Jonas Gerald Mkude suala hili limekuwa ni tofauti...
  17. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Habib Kyombo apewe nafasi zaidi kucheza hapo Simba

    Katika tathmini yangu ya Habib Kyombo, namuona ni mchezaji mzuri sana anayestahili kupewa nafasi zaidi. Sitaongelea mikimbio yake wala mbwembwe zingine, ni mchezaji anayeonekana ana IQ nzuri ya soka halafu ni mpambanaji. Changamoto kubwa ya Simba pale mbele ni kasi ndogo, Okrah akitaka...
  18. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Makocha 13 kushuhudia Derby ya Simba dhidi ya Yanga leo

    Siku ya leo Derby kati ya wababe wawili Simba dhidi ya Yanga itaweka rekodi ya kushuhudiwa na kufuatiliwa na makocha wa timu 16 za Afrika. Mchezo huu muhimu utashihudiwa na Kocha wa Club Africain ya Tunisia kwani atapenda kuwajua wapinzani wake Yanga atakaokutana nao tarehe 2 November 2022...
  19. Joseverest

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

    01' Kipute kinapulizwa uwanja wa Benjamin Mkapa. 01' Simba wanakuwa wakwanza kulifikia lango la Yanga, pasi ya mwisho inakosa tija. 03' Simba wanapata faida ya faul ya kwanza baada ya Okrah kuangushwa. 04' Onyango anashindwa kuufikia mkwaju wa adhabu ndogo kutoka kwa Chama. 06' Simba...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru mechi ya Simba na Yanga imeisha muda huu, Yanga tumeshinda tena Allahamdulilah

    Ustaadhi wetu kashamaliza mchezo. Mchezo ulikuwa ngumu kutokana na Simba kuwa wana timu nzuri lakini kwa mipango hii tumewashika pabaya. Mzee Mpili alitimiza malengo akapata changamoto kidogo lakini Ustadhi wetu amekuja kumaliza mchezo. Wana Yanga tambeni, huu mchezo tumeshashinda. Tunashukuru...
Back
Top Bottom