Nikiwa nasema Simba SC kuna Tatizo, Mgunda siyo Kocha na Yanga SC Bingwa tena Msimu huu muwe mnanielewa sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Leo katika Uzi huu nawaomba wale Mashabiki Mbumbumbu ( Fools ) wa Simba SC ambao kila mara GENTAMYCINE nikianzisha hapa Threads za Kuyasema yanayoitafuna Simba SC yetu ( yangu ) huwa Wananishambulia waje tena na leo waniambie je, yale ambayo Malaika Mimi wa Kizanaki, Kitutsi na Kimakuwa GENTAMYCINE niliyoyasema kuhusiana na Simba SC yanatokea au hayatokei?

Bado siku chache tu Nyote mtakuwa ni Team GENTAMYCINE na mtakuwa mnanipigia Salute kwa Taarifa zangu na Chambuzi zangu za Kina kuhusiana na Mpira ( Soka la Tanzania ) na Masuala Mtambuka ya Taifa letu hili la Tanzania.

Ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa kunifanya GENTAMYCINE niwe 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Wasipokupopoa kwa matusi kedekede kuwa umetumwa na Yanga kuja kuwaeleza vibaya wana Simba nimekaa pale
 
Argentina kafungwa tena katika fainali za world cup ikiwa na messi ndani
Germany kafungwa na Japan hujasikia mashabiki wameng'oa viti au wamesema kocha ajiuzulu ila bongo yanga ikitoa sare au simba ikifungwa utasikia kelele kibao kweli soka letu kivyetu kuna team duniani haifungwi
 
Pumbavu.
 
Leo katika Uzi huu nawaomba wale Mashabiki Mbumbumbu ( Fools ) wa Simba SC ambao kila mara GENTAMYCINE nikianzisha hapa Threads za Kuyasema yanayoitafuna Simba SC yetu ( yangu ) huwa Wananishambulia waje tena na leo waniambie je, yale ambayo Malaika Mimi wa Kizanaki, Kitutsi na Kimakuwa GENTAMYCINE niliyoyasema kuhusiana na Simba SC yanatokea au hayatokei?

Bado siku chache tu Nyote mtakuwa ni Team GENTAMYCINE na mtakuwa mnanipigia Salute kwa Taarifa zangu na Chambuzi zangu za Kina kuhusiana na Mpira ( Soka la Tanzania ) na Masuala Mtambuka ya Taifa letu hili la Tanzania.

Ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa kunifanya GENTAMYCINE niwe 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Mkuu siku hizi umebadilika sana, unanyoosha sana mstari.
 
Tangu lini mtu kajisifia mwenyewe?!
 
Sisi mashabiki wa simba tuna imani kubwa na wachezaji wetu, kocha wetu Juma Mgunda, Mwenyekiti wetu Murtaza Mangungu, CEO wetu Barbara, na mwekezaji wetu Mo!

Na msimu huu lazima tuwe tena mabingwa wa kombe la Mapinduzi kule Zanzibar, tutakuwa mabingwa wapya wa Ligi kuu, na pia lile kombe la shirikisho la Azam.

Mtoa mada jiandae tu kuhama nchi kutokana na aibu utakayo ipata!
 
Na kweli..... hahahaha hahaaaaaaaaaaaa..
 
Back
Top Bottom