simba

  1. C

    JamiiForums Tanzania Simba SC kwanini mnazubaa na kuwa wazembe hivi?

    Inasemekana yafuatayo yanaweza kutokea japo hayana uhakika wa 50%, 75% au 100% kabisa kuwa; ~ Mshambuliaji Ceaser Lobi Manzoki kutua Yanga SC na tayari Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anamalizana naye. ~ Beki Henock Inonga kwenda Amazulu FC ya Afrika Kusini au kutua Yanga SC. ~ Clatous...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Msiyempenda Kocha Msaidizi Matola bado yupo sana tu Simba SC hivyo mtanuna mno

    Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola aliyekuwa visiwani Zanzibar kusoma kozi ya ukocha Leseni A ya CAF iliyokuwa ikifundishwa na wakufunzi kutoka nje ya nchi ametua jijini Dar akiwa amemaliza siku zake 10 za kwanza darasani na kusema anakisubiri kikosi cha timu hiyo kitoke mkoani Tanga baada...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Simba tunahitaji wachezaji watatu tu Januari, 'no panic buy'

    Kwanza kabisa tunashukuru Mgunda Mnene kutufikisha hapa tulipo pamoja na mapungufu yake ya kimbinu mpaka akapata hizi droo nne ambazo zimetuweka mbali na watani zetu. Ili tukimbizane na mbio za Ubingwa plus CAF CL tufike mbali, tunahitaji wachezaji watatu bora kabisa. Tupate Striker mzoefu...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu Refa anayechezesha leo Simba vs Coastal nimempenda jinsi anavyofanya

    Ana wa frustrate sana Simba.... 😂😂😀😂 Anawanyima fouls na hata wakichezewa rough anawachunia. Yaani kifupi simba leo lazima wapigwe iwe iweje. Na anawafundisha kuwa ngangali. Anawaumia meno kinyama. Coastal wapigeni hao mapaka.... Leo wakijitahidi ni draw. Nimekaa hapa. Simba leo hashindi. Piga ua.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC kwa mlichokifanya kwa Gadiel Michael ni Udhalilishaji, Uhuni na Tusi Kwake muombeni Radhi

    Na kilichoniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba yaani mlimchagua Mchezaji ambaye mnajua hana Nafasi Kikosini na ambaye mnamuacha Dirisha hili Dogo lijalo ili mumvalishe hili Bomu hata kama atapewa Adhabu haitokuwa na Athari kwa Kikosi kizima. Na najua kuwa mlitumia Akili Kubwa ya Kumshawishi Beki (...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama ambavyo mlifurahia walipoipa Ahadi Prisons FC iifunge Simba SC nanyi mnafanyiwa hivyo hivyo

    Kampuni ya Silent Ocean imeipa Ahadi ya Tsh Milioni 20 kama itashinda na Tsh Milioni 10 kama Timu ya Prisons FC itatoka Sare dhidi ya Yanga SC Jumapili ya tarehe 4 December, 2022. Nakumbuka Kampuni hii hi ilipoiwekea Ubaoni Ahadi hii Timu ya Prisons FC ili iifunge Simba SC Watu wa Yanga SC...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Umafia huu mkubwa wa FA ya Mbeya, Ihefu FC wakisaidiwa na Watu wa Simba SC 'Unbeaten Record' ingeisha tu leo

    Kwa Kawaida Makomandoo wa Yanga SC na hasa Mganga wao Hatari hupenda Kutangulia (Kuwahi) Mkoa ambao Yanga SC inacheza kisha wanaanza Kuufanyia Umafia na Uchawi (Ndumba) Uwanja ambao Utachezewa. Hivyo basi baada ya FA ya Mkoa wa Mbeya (hasa Kiongozi wao Mmoja mwana Simba SC) Kugundua Janja ya...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Singida Big Stars,Dodoma jiji, na Toto African ni reserve teams za Yanga, wakati Azam na Coastal ni reserve teams za Simba SC

    Kule ulaya kuna kitu kinaitwa reserve teams. Mfano Real Madrid wanatimu inaitwa Real Madrid Castilla ,timu aliyochezea winger wa Brazil Vinicius Tobias ambaye jana amekiwasha kwelikweli.alicheza reseve team kabla ya kujiunga senior team Timu za Simba na Yanga kwa makusudi au kutojua huwa zina...
  9. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba kuishtaki TFF FIFA

    Inasemekana club ya soka ya Simba inaandaa mashtaka dhidi ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, lengo ni kuwasiliaha malalamiko kuhusu mwenendo wa mechi 4 zamwisho za club ya Azam. Tayari ushahidi wa video umekusanywa, sasa viongozi wawili wa juu wamepewa majukumu ya kutafuta uungwaji...
  10. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Simba achaneni na Pablo

    Wakuu nimesikia tetesi kwamba Kocha wa 2020 - 2021 Pablo Flanko Martine yupo Tanzania. Pablo alikuwa akizira zira, alikuwa akigombana na akina Wawa, anapigapiga Machupa, hajawahi kuwa na ubingwa wowote. Na limpira lake la kukimbia kimbia. Kuna tetesi kwamba huenda akamalizana na Uongozi wa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tarehe ya Uchaguzi Mkuu Simba SC kutangazwa, tegemeeni Simba SC Kushinda mfululizo hadi January 2023

    Baada ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC Kutajwa rasmi leo kuwa ni January 2023, tegemea kuanzia sasa kuiona Klabu ya Simba ikishinda tena kwa Kishindo kabisa Mechi zake zote. Ni kwamba karibu Wagombea Wote (Watamani Uongozi ndani ya Simba SC) ndiyo wamekuwa Wasaliti Wakuu wa Matokeo ya...
  12. Kachina95

    JamiiForums Tanzania Simba SC pesa ziko wapi?

    Kama M bet kukaa kifuani pekee wanalipa bil 26 kwa miaka 5, wastani wa bil 5 kila mwaka, Mo anatoa billion ngapi kila mwaka kulipia matangazo yake yaliyojaa kwenye jezi ya simba. Je, billion 20 zipo kwenye account ya Simba? Je, pesa hizi zote zinaenda wapi? Kwanini hatuzioni kwenye usajiri...
  13. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Simba hatuna timu ya kushindana na Yanga msimu huu

    Nawashauri Simba wenzagu, kwenye dirisha dogo tusajili wachezaji watakaotusaidia zaidi katika kombe CAF club championship, NBC kwa vyovyote we can't compete with Yanga labda Azam Confederation. Mnakaribishwa kuchangia hoja.
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

    Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha. Ni mtindo ambao ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo...
  15. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba acheni kuwadharau mashabiki wa mikoani

    Nimetafakari kwa uwezo wangu na kutazama kinachoendelea kwa timu yetu ya Simba katika michezo yake mikoani na nimejiridhisha bila shaka kuwa dharau za viongozi wetu zinatugharimu. Kila sehemu ina mila na tamaduni zake. Ni kwa kuwashirikisha na kuwathamini tu wenyeji wa eneo husika ndiko huleta...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Simba SC Kuchemka kwa Mbeya City FC leo tegemeeni yafuatayo ili kuwazuga mashabiki wa Msimbazi

    Wameshajua tayari kuwa sare ya leo imewakwaza wana Simba SC wengi kwani sasa pengo kama Yanga SC itashinda mechi zake na kuwa sawa kimichezo na Simba SC itakuwa ni alama (Points ) saba (7) kamili. Hivyo basi GENTAMYCINE natabiri kuanzia kesho Alhamisi ili kutuzuga wana Simba SC (Mbumbumbu Ngada...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nasema Simba SC kuna Tatizo, Mgunda siyo Kocha na Yanga SC Bingwa tena Msimu huu muwe mnanielewa sawa?

    Leo katika Uzi huu nawaomba wale Mashabiki Mbumbumbu ( Fools ) wa Simba SC ambao kila mara GENTAMYCINE nikianzisha hapa Threads za Kuyasema yanayoitafuna Simba SC yetu ( yangu ) huwa Wananishambulia waje tena na leo waniambie je, yale ambayo Malaika Mimi wa Kizanaki, Kitutsi na Kimakuwa...
  18. Execute

    JamiiForums Tanzania Simba kama hatutasajili wachezaji wa maana Januari basi turuhusu Yanga acheze nafasi yetu makundi ya CAFCL

    Mwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo. Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya vs Simba: Leo tena maigizo yanaendelea!

    Heshima kwenu wakuu. Kama tunavyojua wote, Spika wa Bunge Tulia Ackson ni mwanachama na shabiki lia lia wa Simba Sports Club.Mh Tulia pia ni mbunge wa Mbeya mjini na ni mlezi na mafadhili wa Mbeya City FC lakini mapenzi yake yamelalia zaidi kwa Simba kuliko Mbeya City.Hivyo basi mechi ya leo ni...
  20. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Simba ikiondoka Mbeya na alama tatu naomba nifukuzwe rasmi Jukwaa la Michezo

    Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi. Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
Back
Top Bottom