Simba wana mpango wa kumsajili siza lobi manzoki, mchezaji wa Dalian Pro ya China, kwenye dirisha dogo la usajili linaloanza December 1, 2022. Ni jambo jema.
Hata hivyo, huyu Manzoki toka amejiunga na Dalian, amecheza mechi moja tu, na hajafunga bao lolote
Kwa muda mrefu sasa hajapangwa kwenye 1st 11 wala kuwa kwenye benchi la subs.
Kuna mambo mengi yanaweza kuchangia kwake kutokucheza: kiwango duni, kuumia, kushindwa kuendana na mpira wa kichina, au chakula, au mazingira.
Ni vyema Simba kabla ya kumsajili ijiridhishe ni nini kimemsibu. Vinginevyo watamsajili dejan jojevichi wa kiafrika.