Kwa Simba hii ya Gadiola Mnene, muda si mrefu haitakuwa tofauti na Coastal Union au Ihefu

Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,097
3,362
Mhamasishaji Gadiola Mnene atupiwe virago fasta au apelekwe Simba C kabla mambo hayajaharibika. Timu inacheza ki- Ihefu Ihefuna bado anaachwa tu.
 
Hivi hili jambo la Kanjibai kuwanyima wafanyakazi wake mikataba ni asili yake au inatokea tu! Maana alianza kwa Manara kampigisha ukibarua, kaja Yule muuza madawa ya Kulevya, sasa kuna Mgunda yawezekana na Matola hana mkataba. Ukijumlisha na wafanyakazi wa makapuni yake wanavyolalamika unachoka.
 
Sisi mikia kwanini tusimpe mkataba deiwaka mgunda ili afanye kazi kwa utulivu?
Huyo mgunda ana gundu hajamaliza mwezi wa kuifundksha simba lakini angalia timu inavyocheza ki ihefu ihefu sasa hivi. Baada ya miezi 2 haitakuwa tofauti na black viba ya vibandani morogoro
 
Back
Top Bottom