simba

  1. T

    JamiiForums Tanzania Simba, achaneni na Ceazer Lobi Manzoki

    Simba wana mpango wa kumsajili siza lobi manzoki, mchezaji wa Dalian Pro ya China, kwenye dirisha dogo la usajili linaloanza December 1, 2022. Ni jambo jema. Hata hivyo, huyu Manzoki toka amejiunga na Dalian, amecheza mechi moja tu, na hajafunga bao lolote Kwa muda mrefu sasa hajapangwa kwenye...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kumroga Phiri asifunge tena wamefanikiwa, sasa wanakamilisha la Chama kuumizwa ili Simba SC idhoofike

    Nikiwa na wao hujua GENTAMYCINE ni mwenzao (mwana Yanga SC) na bahati nzuri hawajui kuwa ndiyo mimi, hivyo huweza kupata mipango yao mingi ya siri na miovu dhidi ya Simba SC. Taarifa niliyoipata na kuhakikishiwa kutoka Yanga SC ni kwamba, kwa kuona jinsi mchezaji Moses Phiri anavyokuja kasi na...
  3. Area 56

    JamiiForums Tanzania Lamine Ndiaye anaweza kutangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Simba

    Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, kocha wa Horoya anayemaliza mkataba wake, Lamine Ndiaye anaweza kutangazwa muda wowote kuwa kicha mkuu wa Simba. Ameshawahi kufundisha TP Mazembe, Cotton Sports, Leopards na hata Senegal National Team. Ngoja tuone kama watafikiana makubaliano na Simba.
  4. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

    Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira. Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko. Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwa Simba hii ya Gadiola Mnene, muda si mrefu haitakuwa tofauti na Coastal Union au Ihefu

    Mhamasishaji Gadiola Mnene atupiwe virago fasta au apelekwe Simba C kabla mambo hayajaharibika. Timu inacheza ki- Ihefu Ihefuna bado anaachwa tu.
  6. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 4-1 Singida Big Stars FC | Ligi Kuu Tanzania Bara | 17-11-2022

    90' Mpira umekwisha 85' Shuti la Kagere akiwa na kipa linapanguliwa. 82' Kisinda anakosa goli akiwa yeye na kipa, shuti lake linapanguliwa. 74' Singida wamepata uhai kidogo na wanafanya mashambulizi, Kagere anaipatia Singida goli. 65' GOOOOOOOOOOOOOO! Mayele anafunga goli la nne kwa Yanga na la...
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Simba yatambulisha Kocha Mpya wa Viungo

    Klabu ya Simba imemtambulisha Kelvin Mandla kutoka Afrika Kusini kuwa kocha wa viungo (Fitness Coach) wa timu hiyo.
  8. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

    Kama si Mbiringe bila shaka ni Patashika ya Ligi Kuu Tanzani Bara [emoji1241] kuendelea kupigwa leo Novemba 16, 2022. Mnyama Mkali Mwituni Simba SC [emoji881] kukiwasha na Wababe wa Kusini Namungo FC, katika Uwanja wa Stade de Benjamin Mkapa Dar es salaam [emoji2522] Mchezo unatarajiwa kuwa...
  9. May Day

    JamiiForums Tanzania Hili la Muharami Viongozi waSimba mpo sahihi

    Naona baadhi ya Watu ni kama wanalazimishwa kusikiliza au kuimbishwa mapambio yanayohanikiza kwamba Simba haikufanya sahihi kujiweka mbali na hili suala lililomkuta Bw Muharami. Na hata ukiwauliza ni kwa upande upi haswa wao wanaona Simba imekosea hawana hoja ya msingi zaidi ya kung'ang'ania tu...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ufanyike uchunguzi Klabu ya Simba SC ichunguzwe!

    Ukiunganisha matukio, kuna haja ya kuchunguza hili suala kwa mapana. Mengi yamejifunika
  11. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya

    Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine. Sambamba na boss wa Cambiaso ================ Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
  12. adden

    JamiiForums Tanzania Simba Panthera - Fact File

    Simba ndiyo mnyama mkubwa kuliko wote katika jamii ya paka. Simba hupatikana Afrika na Asia, idadi yao ikitizamiwa kufikia 23000(elfu 23), huku Tanzania ikiongoza kwa kuwa na idadi ya zaidi kuliko nchi zote. Simba wako katika hatua ya kutoweka (vulnurable). Ndiye mnyama pekee jamii ya paka...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Simba kuna shida kubwa zaidi ya hiki kinachoonekana nje, mambo yanaenda kishkaji-shkaji

    Miezi kadhaa iliyopita mwekezaji wa Simba, Mo Dewji alitangaza kujiweka pembeni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya klabu hiyo, kisha ‘kishkaji’ akamkabidhi nafasi hiyo Try Again, baada ya hapo Mo akapotea, akawa anaonekana kwenye matukio machache ya klabu, ni kama aliamua 'kukata waya' na kuendelea na...
  14. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Simba yatambulisha Kocha mpya wa Makipa

    Jina: Chlouha Zakaria Utaifa: Morocco Kwa mujibu wa taarifa ambazo hazijathibitishwa na Uongozi wa Simba SC, kocha Chlouha Zakaria anaweza pia kuhudumu kama kocha wa viungo. ===== Kocha huyo ni Chlouha Zakaria ambaye ametambulishwa leo Jumanne Novemba 15, 2022 ambapo anaungana na Juma Mgunda...
  15. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kocha Mgunda nae sio mfanyakazi wa Simba kwasababu wamemweka kwa muda?

    MUHIMUL Hauhusiani ni unga Je kocha akiwekwa kwa muda sio muajiriwa wa klabu?
  16. Ng'wanamangilingili

    JamiiForums Tanzania Press ya Simba leo

    Muda huu kuna press ya kutoka club kubwa kongwe Tanzania, aka mabingwa wa kwanza baada ya Uhuru wa Tanganyika. Inavyohisiwa ni kusafisha Hali ya hewaa kwani wingu limetandwa na rainbow. Sisi wanasimba kindaki Ndaki tmetega masikio. Najua pia mtatutangazia kocha mpya sijui wa viungo na...
  17. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

    Uongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa aliyekuwa Kocha wa makipa Muharami Said Mohammed maarufu 'Shilton', hakuwa muajiriwa wa klabu hiyo na wala hakuwa na mkataba na Simba. Simba ilimuomba Muharami kuwanoa makipa wake kwa muda kwa mwezi mmoja, wakati huo klabu ikiendelea kutafuta...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ewe Kiongozi Mkubwa Mstaafu Tanzania acha kutaka kuendelea Kumpandikiza Mwenyekiti Murtaza Mangungu ndani ya Simba SC yetu

    Tunajua ulitumia Pesa zako nyingi ulizonazo na kumpa ili azitumie kupata Kura nyingi na awe pandikizi lako ( kama mwana Yanga SC) ili umtumie Kuihujumu Simba SC yetu. Tunajua Ahadi uliyompa ni kumpigia Chapuo kwa Mama Ili amteue Nafasi ya Ubunge au katika Sekta zingine za Ulaji na Kimaamuzi...
  19. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Timu ya As Vital club huko iliko inaomba isipangwe kundi Moja na mnyama mkali Simba

    Kuna jamaa yangu yupo Congo DRC amenidokeza kuwa, mpaka Sasa maombi ya wakongoman wengi ni kuomba kutopangwa kundi Moja la klabu bingwa na Simba timu Yao ya As Vital. Hii imetokana rekodi mbaya waliyonayo clabu hiyo dhidi ya Simba Sports club. Jamaa aliendelea kudokeza kuwa ingekuwa mserereko...
  20. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

    FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Ihefu FC. 90+3' kuelekea kumalizika kwa mchezo, Ihefu FC wanajitahidi kadri ya uwezo kutafuta bao, lakini muda mchache sana. 89' Akpan ameingia kuchukua nafasi ya MTUWilliam...
Back
Top Bottom