Mbeya vs Simba: Leo tena maigizo yanaendelea!

Malata Junior

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
3,102
2,540
Heshima kwenu wakuu.
Kama tunavyojua wote, Spika wa Bunge Tulia Ackson ni mwanachama na shabiki lia lia wa Simba Sports Club.Mh Tulia pia ni mbunge wa Mbeya mjini na ni mlezi na mafadhili wa Mbeya City FC lakini mapenzi yake yamelalia zaidi kwa Simba kuliko Mbeya City.Hivyo basi mechi ya leo ni maigizo tu mechi ilishamalizika kwa maelekezo ya mheshimiwa kwamba Mbeya City wamwachie Simba ushindi tena Phiri afunge hat trick ili ampite Mayele kwenye msimamo wa mfungaji bora.Huu ni ujinga uliopitiliza!
 
Haihitaji elimu ya juu kuzibaini akili zilizochanganyika na kinyesi
 
Heshima kwenu wakuu.
Kama tunavyojua wote, Spika wa Bunge Tulia Ackson ni mwanachama na shabiki lia lia wa Simba Sports Club.Mh Tulia pia ni mbunge wa Mbeya mjini na ni mlezi na mafadhili wa Mbeya City FC lakini mapenzi yake yamelalia zaidi kwa Simba kuliko Mbeya City.Hivyo basi mechi ya leo ni maigizo tu mechi ilishamalizika kwa maelekezo ya mheshimiwa kwamba Mbeya City wamwachie Simba ushindi tena Phiri afunge hat trick ili ampite Mayele kwenye msimamo wa mfungaji bora.Huu ni ujinga uliopitiliza!
Dodoma Jiji mlezi wao ni Anthony Mavunde utopolo kindakindaki. Matokeo ya jana yalikuwa maelekezo yake pia.
 
Back
Top Bottom