simba

  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Simba wana hofu ipi? Yanga ikipoteza mechi 2 tu watalingana points lakini simba ataongoza kwa magoli

    Katika mechi 10 zilizobaki, pale kwa Mkapa siku ya derby mnyama anashinda na kuna mechi nyingine ipo tunajua kabisa Yanga hatoboi.
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba funueni timu yenu ya vijana itawasaidia

    Ninapoona Simba wanahangaika kusajili wachezaji wa kigeni ambao ni dhahiri wanakuja kuwa wachezaji wa akiba maana namba zao tayari zina wachezaji tegemeo, naona ni matumizi mabaya ya rasilimali. Hawa wachezaji wa akiba kwa kiasi kikubwa wangekuwa ni wazawa na wale wenye uwezo wapewe nafasi timu...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Karma ndiyo inamtesa Okrah Simba SC na itamtesa mno hadi akamwombe Radhi Mzungu Dejan kwao aliko

    Okrah ndiyo kwa 99% alisababisha Mzungu Wetu Dejan asiwe na Furaha ndani ya Simba SC mpaka Kukereka na kufikia Kuchukua yale Maamuzi aliyoyachukua ya Kuondoka. Okrah huyu huyu ndiyo alikuwa akimtukana Mzungu wa Watu Dejan na Kubwa zaidi akiwashawishi Wachezaji wenzake Waswahili wamtenge...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilipotabiri Ujio wa Kocha Olivieira Simba SC na ikatokea na Kushauri yafuatayo nilikuwa namaanisha

    Nilisisitiza mno kama siyo sana kuwa Kocha Mpya Simba SC Roberto Olivieira akitua Simba SC aje na Watu wake anaowaamini na kamwe asiendelee na Hawa akina Mgunda, Matola na Meneja Rweymamu aliowakuta GENTAMYCINE nilimaanisha na kuna Hatari niliiona na leo imejidhihiri. Nawaombeni rejeeni marejeo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Yanga bingwa 2022/2023 Simba tujikite CAF na mwakani

    Kwa hali ilivyo Jana Yanga kushinda mechi Ngumu dhidi ya IHEFU ambapo haikuwa na nyota wao wengi hii imefuta ndoto za SImba kuwa bingwa Msimu huu. Yanga wana mechi Tatu za Ugenini Singida ambapo ni timu nyepesi sana kwa Yanga. Wana Mbeya CIty na Prison mechi hizi hawawezi kupoteza mechi...
  6. utopolo og

    JamiiForums Tanzania Simba SC yamsajili Mshambuliaji wa Malindi, Mohamed Mussa "Manzoki wa Zanzibar"

    Klabu ya Simba almaarufu Wekundu wa Msimbazi leo imetangaza kumsajili Mshambuliaji kutoka Malindi ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo anayefahamika Kwa jina la Mohamed Mussa au Manzoki wa Zanzibar ndio kinara wa mabao kwenye ligi ngumu huko visiwani Zanzibar na inasemekana...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba SC yatumia zaidi ya 1.8 Billioni kuweka kambi Dubai

    Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B. Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wote twendeni na Wakili Moses Stewart Kalua kwa nafasi ya Uenyekiti katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC

    Wana Simba SC wote (hasa Wanachama) mkikosea tena, mkarubuniwa na Kuhongwa Pesa za Msoga na Salamander na Kumrejesha tena Uongozini Murtaza Mangungu (Mwenyekiti anayemaliza muda wake) nitawadharau na nitaichukia Klabu Daima kwani nitaamini kuwa mtakuwa mmekubali Kuuhalalisha Ubingwa wa Yanga SC...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi EFM na Rais wa Wapanda DalaDala Wilson Oruma: Simba wamesajili vyema kuliko Yanga

    "Katika dirisha hili dogo Simba SC wamesajili vyema na kiufundi kuliko Yanga SC," Wilson Oruma Mchambuzi wa Michezo EFM na Rais wa Wapanda DalaDala (Bayankata) Tanzania nzima. Chanzo: EFM Sports Headquarters dakika chache zilizopita. Ombi langu kuu GENTAMYCINE kwa Serikali yangu ni Kujenga...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC hatujamaliza, tunashusha mchana vyavu usiku huu

  11. H

    JamiiForums Tanzania FT || Simba Sc 2 Vs 2 CSKA Moscow

    Fuatilia live mtanange huu kwa link hii
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

    Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu. Halafu tukisema kuwa Yanga SC...
  13. Sesko

    JamiiForums Tanzania Simba kumtambulisha mchezaji mpya leo usiku

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah 'Try Again' ametuma ujumbe kwa mashabiki wa timu hiyo kupitia mitandao ya kijamii akiandika; "Wa mwisho kufurahi, hufurahi zaidi. Mtafurahi kwelikweli," Simba itatangaza mchezaji mwingine mpya leo saa 5 usiku zikisalia saa chache kabla ya...
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba bingwa wa CAF 2023

    Natoa utabiri huu nikiwa na akili zangu timamu na upeo wa kutosha kuhusu mpira wa miguu. Mwaka huu 2023 ndiyo mwaka historia mpya inaenda kuandikwa kwa Simba kuchukua kombe la CAF Champions League. Najua kuna wapenzi wa Simba bado wanalilia kuona usajili mpya ili kuboresha timu ila ngoja...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Mo kajisogeza simba tena baada ya kuona pesa zinakuja

    Huyu jamaa ni tapeli Sana baada ya kuona pesa zinakuja anajua kabisa simba ikienda robo fainali atapiga Ile pesa kwa 49% Huyu jamaa ukitaka kujua ni tapeli mwangalie timu ikianza kushinda mechi zake anakuwa active kwenye mitandao ikichapwa anasepa. Sasahivi anapigia mahesabu pesa ya simba...
  16. vibertz

    JamiiForums Tanzania Safari ya Simba kwenda Dubai haipo kiuweledi

    Habari..... Simba baada ya kutolewa kwenye michuano ya Mapinduzi wakapanga safari ya Dubai. Hii safari ipo kisanii sana, kiukweli kutokana na ufinyu wa muda sidhani kama ilikuwa sahihi kwa Simba kwenda Dubai. Wachezaji hawana miili ya chuma kuna wasaa wanahitaji kupumzika lakini unawasafirisha...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kocha Robetinho wa Simba ataka Mshambuliaji

    Baada ya kufanya mazoezi na kikosi kwa siku mbili katika kambi waliyoweka nchini Dubai Kocha Mkuu Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amejiridhisha kuwa anahitaji mshambuliaji mwingine. 🔹 Robertinho amesema kikosi chake kina washambuliaji wazuri huku akimwagia sifa Nahodha John Bocco lakini ameweka...
  18. utopolo og

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kuweka kambi Dubai ingetumika kusajili wachezaji bora

    Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli? Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri? Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku...
  19. Labani og

    JamiiForums Tanzania Musonda: Mfahamu mshambuliaji hatari kutua Yanga wiki ijayo

    Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo kujiunga na Yanga, Kitenge (2023). Sifa za huyu mwamba; ~ Unaambiwa huyu...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga wawaombe radhi Wazanzibari

    Mashindano na sherehe za mapinduzi cup yamedoda kutokana na Simba na Yanga kutolewa kwenye hatua za awali za mashindano. Wanasiasa, wanamichezo, wadhamini na wazanzibar wote hawakutendewa haki na Simba na Yanga kupeleka timu dhaifu kwenye mashindano. Shamrashamra hazitauwepo kamà nusu fainali...
Back
Top Bottom