simba

  1. R

    JamiiForums Tanzania Simba achaneni na mapinduzi cup tengenezeni timu

    Kwa mtu yeyote aliyeifatilia Simba atagundua timu haipo sawa kuanzia kiuchezaji Hadi kujituma kwa wachezaji. Pamoja na kuufurahia kuwafunga Wydad lakini timu imepoteza uelekeo, Kila mchezaji anacheza kivyakevyake matokeo timu inakosa magoli ya wazi na kufungiwa magoli ya.kizembe. Wakati huu...
  2. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba hio Nafasi ya 3 Mkikaa Vibaya Hamtoki Hapo

    Unajua haya Maisha usiruhusu kitu kikuzoeee kikikuzoea kina Jenga Makazi kina kua kama Part of your Life hata kama kulikua ni Temporary. #Simba Jiangalieni hapo Mtaa wa 3 mnaweza msitoke.
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kipigo Cha goli 5 kinaitesa Simba, Clatous Chama anaishi maisha yake.

    Kuna mtu anajifariji kwa kusema Simba ni kubwa kuliko Chama, ni sawa lakini Chama ni Bora kuliko Wachezaji wote wa Simba, Tanzania na Afrika. Chama alishaondoka Simba kwenda Uarabuni Simba ikakosa ubingwa kwa misimu 2 hadi wakaenda kumtafuta kwa hali na mali kwa udi na uvumba arudi kikosini...
  4. uran

    JamiiForums Tanzania FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

    Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC. Muda ni Saa 10 Jioni. Kila la heri mnyama. Kikosi Cha KMC Kinachoanza Kikosi cha Simba Kinachoanza Nguvumoja. Dakika ya 32' KMC wanapata goli la Kwanza Kupitia kwa Waziri. Game On. KMC 1 - 0 Simba HT...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Simba 0 - 4 Young Africans (U20) Shekhan afunga goli matata!

    Huyu dogo ni hatari! https://m.youtube.com/watch?v=g60FXyTJGWI
  6. Shark

    JamiiForums Tanzania Chama na Kapama wasimamishwa Simba

    Nyota wa Simba, Clatous Chota Chama na mwenzake, Nassor Kapama wamesimamishwa kuitumikia Klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni vitendo vya utovu wa nidhamu. Taarifa ya Simba imeeleza Wachezaji hao watapelekwa katika Kamati ya Nidhamu kwa hatua zaidi za kinidhamu. Taarifa hiyo imewakumbusha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simba wamechukia sana Diara kupangua Penati

    Hii mipira inatupeleka kusiko kabisa . Diara kupangua Penati jana eti kuna wabongo wameumia kuzidi hata Medeama. Inaelezwa chuki hii ni kwasababu AMEHARIBU VIBE LILILOKUWA LINA TREND LA AYOUB
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Simba na Yanga

    1. Simba na Yanga hongera, kujipa nguvu nyumbani Mmeonesha ubora, bara pia visiwani. Mmeionesha dira, kwamba mmekuza Fani Kaza buti msikwame, shikilia hapohapo 2. Kaza buti msikwame, shikilia hapo hapo. Msitari msihame, kwepa tabia ya popo. Kwa kabumbu mjitume, kataa kuwa makopo. Kaza...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Ayoub kiliuliwa na Cadena. Simba haina kabisa kocha wa makipa. Sasa Wanadakia uzoefu tu

    Cadena alipoachiwa timu nikajua madhaifu yake makubwa. Mechi ya kwanza timu ilicheza na asec. Wachezaji walikuwa wamejeruhiwa misuli na mazoezi ya ovyo na magumu. Walicheza dk 40 tu wakachoka haswa. Toka alipoingia Simba viwango vya makipa viliisha kabis. Sio Ayoub, Aly Salumu na Yule...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Simba na ndoto zao za Robo Fainali Mwisho leo. SImba akishinda leo ole wangu, niadhibiwe vibaya sana

    Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

    leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca. Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni. Nini maoni yako kuhusu mchezo huu? Ungana nami katika uzi huu ambao nitakuletea kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Kikosi...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nini kinakwamisha Simba na Yanga kushirikiana kimataifa?

    Moja ya mambo yanayokwamisha sana mpira wetu ni ushindani na uhasama wa Simba na Yanga unaopelekea vilabu hivi siyo tu kushindwa kushirikiana katika mashindano ya kimataifa bali wakati mwingine hadi kuhujumiana na kufanyiana fitna. Juzi juzi nilipokuwa naangalia tuzo za CAF niliona jinsi...
  13. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tabiri hapa matokeo ya mechi ya marudio kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca

    Binafsi naamini Mnyama hatari wa mwituni Simba atapata ushindi mnono wa goli 2-1. Baleke na Kibu watatupia siku hiyo. Karibuni wadau kwa utabiri wenu.
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba atafungwa kwa kuidharau Wydad

    Kama mtanzania nisingependa kuona timu yoyote ikifungwa. Ila kwa yanayoendelea wapendwa msishangae kabisa kuona simba akifungwa Kumezuka msuguano wa kwa nini huyu achezeshwi yule achezeshwe. Mkumbuke haya ndio yaliwamaliza wakanywa 5 kwa Mkapa Sasa kama unakwenda uwanjani kuishangilia Simba...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tiketi bure mechi ya Yanga inaenda kuifaidisha sana Simba

    Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana. Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kuangalia mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure...
  16. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuambulia mashabiki watatu Yanga sc waamua kuweka kiingilio bure ili wajaze uwanja kama simba sc wanavyojazaga.

    Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea. Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf champions league. Waneweka kiingilio bure kwa lengo la kuonyesha kuwa, na wao wanaweza kuujaza uwanja...
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Uhuru sio rafiki kwa simba sc kupigania ubingwa ninani aliwachagulia? Bora watumie CCM Kirumba

    Ule uwanja una mapungufu mengi hata sijui ninani alipendekeza ,uhuru ni uwanja wa mazoezi sio ligi
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Chama hana mbadala Simba. Akiondoka sasa hivi aende Yanga au Azam nahama naye na nachoma jezi ya Simba

    Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana. Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa. Katoa asist matata mechi ya Al ahly. Wanawazurumu pesa zao alafu wanamfitinisha na kocha. Naomba chama aende Azam au Yanga na...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba haikucheza vizuri, Wydad ni mbovu na kutafuta namba kwa Benchika

    Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana. Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao wangeweza kuifunga Wydad, hivyo walijitahidi tu kucheza mbele ya kocha wao mpya ili wapate matokeo pia kama...
  20. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

    Match Day. Simba Vs Kagera Sugar Time 1600. 15.12.2023. Uhuru Stadium. All The Best Mnyama. #nguvumoja#
Back
Top Bottom