Simba problems are deeper than leadership

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,000
1,987
i will be short,

1. KATIBA
ina mpa too much power muwekezaji to the point average person ambaye ni mwanachama can't have a say. Manchester United and alot of monopoly teams face the issue, as a club you can't progress with no external contributions from people who care about the club and not money.
WORSE
katiba ailuhusu muwekezaji mwingine except mo, which is bad. simba ni team ya mo with friends & family , wanachama are wasting there time and energy unless changes are done.

2. WEWE KAMA MWANACHAMA NI USELESS PALE SIMBA. STOP WASTING YOUR MONEY AND TIME. YOU HAVE NO SAY.
ukibisha angalia your limitations, you have no say kabisa. MO LEO AKISEMA mangungu out, he will probably leave . almost all board members are MO yes men, No changes can be done. also mmechangia millions where are they, amna hata report feki ya ku review ur contributions. they dont even add new wanachama anymore. they don't need you.

THE REST NITAONGEZA WITH TIME.
 
Tatizo siyo Katiba Bali Wana Simba wenyewe.

Mambo mengi umeyaandika kihisia zaidi kuliko Uhalisia. Katiba ya Simba haimpi Mo hayo madaraka unayoyasema.

Kwani Mo keshawekeza Simba au wanasimba wanaishi kimazoea tu!!
 
Tatizo siyo Katiba Bali Wana Simba wenyewe.

Mambo mengi umeyaandika kihisia zaidi kuliko Uhalisia. Katiba ya Simba haimpi Mo hayo madaraka unayoyasema.

Kwani Mo keshawekeza Simba au wanasimba wanaishi kimazoea tu!!
lack of follow up. so far and i think if they do follow up. wameisha
 
lack of follow up. so far and i think if they do follow up. wameisha
Kwa ivo tatizo siyo Katiba ya Simba Bali wanachama wa timu hiyo ya Kariakoo.

Mpaka Sasa haijulikani hisa za Simba zitaanza kuuzwa lini na Klabu yenyewe ina thamani ya shilingi ngapi!!

Tatizo zote mbili timu za Kariakoo zinaendeshwa sana Kwa kufuata maslahi ya walioko madarakani.
 
Siasa tu sio Simba Wala yanga Wala tff,

Toka aletwe manzoki kwenye kampeni za uchaguzi , na ndio ukawa mwisho wangu kuumia kuhusu hizi club.
 
Hili ni tatizo kwa vilabu vyote nchini upande ule mwingine raisi wao ni mtendaji mkuu kwe makampuni ya mwekezaji so unazani mwanachama utasema nn ukipiga kelele sana watakwambia tim haikuhusu w mla mihogo unajua hasara ambayo tunaingia.
Ata makampuni mengine yanayo wekeza humo ni yao au rafiki zao au wafanya biashara wenza.
In short tunashabikia mpira wa tanzania kwa vile tumezaliwa tu humu ila hakuna kitu too worse hakuna simba wala yanga zote n takamwili na mashabiki yao ni ma mbumbumbu dunia nzia mtu anae kaa Tz hajijui kuanzia politicali had social apo hakuna simba wala yanga msije danganya watu matimu yote ni uozo tu
 
Back
Top Bottom