FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,566
1702933333008.png

leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca.

Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni.

Nini maoni yako kuhusu mchezo huu?

Ungana nami katika uzi huu ambao nitakuletea kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.

GBta2_YWcAATk7e.jpeg

Kikosi cha Simba kilichoanza
1702990167134.png

Kikosi cha Wydad kilichoanza

Mchezo umeanza kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam

Ushindani ni mkali

Timu zote zinapeana zamu kushambulia

36' GOOOOOOOOOOOOOO
Willy Essomba Onana anaipatia Simba goli la kwanza

38' GOOOOOOOOOOOOOOOO
Onana anaipatia Simba goli la pili

Kipindi cha kwanza kimekamilia

MAPUMZIKO

Timu zinarejea kwa ajili ya kipindi cha pili

Mchezo umeanza

47' Kiungo wa Simba, Muzamiru anapata kadi ya njano kwa kucheza faulo

Mpira umekwisha Simba 2 - 0 Wydad
 
Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea.

Ni mchezo muhimu kwa Simba. Ni kufa au kupona.

Simba Vs Wydad saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Live mubashara kupitia Azam Sports 3HD

Updates zote zitakuwa hapa
Mzee game inachezwa hapa Dar halafu uingalie kwenye Azam Sports?
seriously?
Wewe ni mnyama?
Twende Uwanjani bana
 
Back
Top Bottom