Kipigo Cha goli 5 kinaitesa Simba, Clatous Chama anaishi maisha yake.

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,319
12,622
Kuna mtu anajifariji kwa kusema Simba ni kubwa kuliko Chama, ni sawa lakini Chama ni Bora kuliko Wachezaji wote wa Simba, Tanzania na Afrika. Chama alishaondoka Simba kwenda Uarabuni Simba ikakosa ubingwa kwa misimu 2 hadi wakaenda kumtafuta kwa hali na mali kwa udi na uvumba arudi kikosini. Tabia na maisha anayoishi Chama ni yaleyale na vilevile alivyokuwa anaishi tangu ajiunge na Simba. Lakini mara hii kilichobadilika kwake ni kipigo Cha goli 5 alichopigwa Simba na Chama akiwemo kwenye play list.

Chama Hana utovu wa nidhamu hata kidogo, kama timu ingekuwa inashinda mechi zote tusingesikia habari za Chama maana amekuwa akiishi na kufanya hivihivi lakini viongozi walivumilia na kuzoea kwakuwa alikuwa akiishindia timu.

Kwanini walimrudisha Chama kama Chama sio mkubwa? Maana yake walitafutaweeeee Wachezaji wengine walikosa hadi wakarudi kuwapigia magoti Chama na Miquison warudi kuinusuru Simba. Shida sio Chama bali uzee wa Wachezaji muhimu Simba. Kipigo Cha goli 5 kitawasambaratisha kama hamtakubali haraka kama imetokea.

Mlimlea hivyo Wacha awe hivyo, hakuna utovu wa nidhamu ila Kuna kipigo Cha goli 5.
 
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
Mlivyomrudisha Makambo ilikuwa ni kwa sababu makambo ni mkubwa kuliko yanga?
Umeandika upuuzi...
 
Mashabiki wa simba unganeni kuhakikisha Chama anarejeshwa kikosini. Yule Onana hawezi kuwafikisha kokote na yale magoli yake mawili ya kubahatisha kwenye ile mechi dhidi ya Wydad.
Kama nyinyi mlivyoungana kumrudisha Feitoto
 
5g it is the history. Hakuna mchezaji mkubwa kuliko club. Chama go to the fucken hell.
Kama sio mkubwa kwanini mlimrudisha tena? Matokeo na KMC ni sehemu ya ukubwa wa Chama. Onana aliweka kifurushi kwaajili ya Benchika kumuona, Sasa kifurushi kimekwisha amerudi onana yule
Mlivyomrudisha Makambo ilikuwa ni kwa sababu makambo ni mkubwa kuliko yanga?
Umeandika upuuzi...
KMC ni ushahidi wa ukubwa w Chama. Hata makambo alikuwa mkubwa kwa Yanga katika kipindi (segment) fulani ndani ya Yanga. Mayele hivyohovyo.
 
Ifike muda mambo yaende mbele na muda usogee

Hata yanga mayele aliondoka

Cha msingi ni dirisha dogo lifunguliwe wafanye marekebisho
 
Kama Chama ni Mchezaji mzuri kwanini Yanga msimchukuee??

Halafu hili sakata la Chama inashangaza Sana kwamba wanaoteseka ni mashabiki mbumbumbu wa Yanga.

Sawa Chama alirudishwa baada ya sisi kukosa ubingwa miaka miwili.Je aliporudi huo ubingwa tulichukua?

Sema tu ni kwa sababu Simba hakuna Viongozi,huyo Chama wangemtimu bila kujalisha historia yake ndani ya klabu
 
Dirisha dogo wachezaji Bora hawapatikani, na ukiwapata watakuwa ghali sana, utaishia kuwapata akina onana na sawadogo wengine tu.
Wanapatikana wa kuweka kikosi sawa

Halafu onana is not a bad player ni mchezaji mzuri sema hachezi mpira tunaoutaka sasa same goes to phiri na miqquison

Tunahitaji possesion ili wale vijana waperform timu imegawanyika kuna wachezaji hawafit mfumo
 
Utopolo mlipopigwa 5 si mlifukuza kikosi kizima na mlipopigwa 4g SI kina shishimbi mliwatimua wote
5 za mchongo kwa kadi nyekundu 2 na penati 3 hata sisi Makolokolo wenzio hatukufurahia ule ushindi kuliko 5G za sasa za Yanga walizotupiga 05/11/2023 na kupewa ng'ombe watano.
JamiiForums1222824732.jpg
JamiiForums-312072181.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom