Chama na Kapama wasimamishwa Simba

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,157
Nyota wa Simba, Clatous Chota Chama na mwenzake, Nassor Kapama wamesimamishwa kuitumikia Klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni vitendo vya utovu wa nidhamu.

Taarifa ya Simba imeeleza Wachezaji hao watapelekwa katika Kamati ya Nidhamu kwa hatua zaidi za kinidhamu.

Taarifa hiyo imewakumbusha Watumishi wake wote kuzingatia misingi ya maadili na nidhamu kwa kuwa Klabu haitasita kumchukulia hatua yeyote atakaethibitika kwenda kinyume na utaratibu huo.

1703169401610.jpg
 
Back
Top Bottom