simba

  1. JamiiForums Tanzania Yanga SC ina kitu nasema ukweli kama mwana football bila kujali Mimi mwana Simba SC

    Ukiwa mtu wa Mpira na umecheza mpira na unaelewa mpira na unaenjoy mpira ni raha sana, leo nimefurahi, nimeshangilia, nimechambua, na raha nimeipata. Hongera Yanga SC hongera wana Yanga SC football ni raha sana. Mungu ibariki Tanzania Ni hayo tu 🙏🙏🙏 Wadiz
  2. JamiiForums Tanzania Yanga katika ubora wao wa sasa na Simba ya Kipindi kile, Bado Yanga hii ya Moto Imepiga Team kubwa kuzidi Simba Ile.

    Kiukweli yanga imeiva sana..huwez ilinganisha na Simba ya Kipindi kile katika ubora wao. Yanga hii inapiga Vigogo kwelikweli. Ila we Simba ya Kipindi kile inafunga Team kama NKANA serious!!! Hii Yanga imebakiza Team Mbili tu kuzipasua nazo ni Mamelodi na Al Ahly ambazo naamin Next round yanga...
  3. JamiiForums Tanzania Kama unamini Mungu huwa anasikiliza na kujibu dua nzuri tu basi amini dua mbaya ya kuombea Simba ifungwe leo haitosikilizwa

    Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi. Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi. Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁
  4. JamiiForums Tanzania FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo Mchezo umeanza Dakika...
  5. JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba na Yanga wote watasare michezo yao ya CAF champions league

    Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu. Asec vs simba 0 - 0ft Yanga vs belouzdad 1 - 1 ft
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuelekea mechi ya mnyama Simba

    Kwa mtazamo wangu kelekea mechi ya kesho naona kabisa mnyama naenda kutoa sare kwasababu Misosa watacheza wamerelax kwakuwa hawana cha kupoteza na Simba watacheza kwa umakini mkubwa kuogopa kupoteza poits tatu. Lakini Mimosa hawajawahi kupoteza kwenye uwanja wao wa nyumbani, so ni ngumu sana...
  7. JamiiForums Tanzania Mechanical Supervisor at Simba Cement February, 2024

    Position: Mechanical Supervisor Requirements 8 years in mechanical repair and maintenance, with 1+ year in supervision. Proficient in SAP,MS Office, and computer skills. Must have Experience in maintenance supervision in the cement or equivalent industry. Strong troubleshooting skills...
  8. JamiiForums Tanzania Benchikha: "Sisi Waalgeria hatumuogopi mtu"

    Wakati Deportivo de Utopolo wakijiandaa kukipiga dhidi ya C.R Belouizdad, tujikumbushe kauli moja ya Super Coach, Abdelhak Benchikha alipokuwa anafundisha USM Algiers. Benchikha alitoa kauli hiyo wakati USMA walipokuja kucheza na Deportive de Utopolo katika mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Anahoji Mshabiki wa Simba: Tulikula 5 mayele alikuwepo ?

    Kumbe bado wapo mashabiki wenye uelewa . Nenda Instagram kwa maelezo zaidi . Nafikiri pamoja na kuto perform pyramid mayele Ana frustration na ile mechi ya Tanzania v DRC alikamatwa vizuri na beki ya stars ya kina mwamnyeto na bacca vijana wa yanga haku score.
  10. JamiiForums Tanzania Uchawi waiponza Simba

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeipiga faini ya milioni 1 klabu ya Simba SC kwa kosa la mashabiki wake kumwaga vitu vyenye asili ya unga katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kabla ya wachezaji hawajaanza kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo. Tukio hilo limetafsiriwa kama vitendo...
  11. JamiiForums Tanzania F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

    Match Day! JKT Tanzania, Wanaialika Simba SC leo kwenye uwanja wa Mej. General Isamuhyo, -Mbweni Dar es Salaam. Mechi itachezwa Majira ya Saa 10:00 Jioni. Jkt wanaingia kwenye huu mchezo wa kukamilisha Mzunguko wa kwanza wakiwa na Points 16. Nafasi ya 12. Wameshinda Michezo 4, Wametoka Sare...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba SC mbona akili zenu zimelala sana?

    Hii timu ina viongozi wasiokuwa na maono kabisa na upigaji uliokithiri, pale mo arena tayari pana pitch nzuri tu. Kilichobakia hapo ni maboresho madogo tu. Vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji pamoja na vyoo, majukwaa mtaweka baadhi tu kwa kuwa mnaanza kidogo kidogo. Mkipata 1b hata kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa Simba kuhamia moja kwa moja uwanja wa Mej. General Isamuhyo ulioko Mbweni?

    Nimewaza na kuwazua, kwa muda sasa Simba imeweka kambi yake maeneo ya Mbweni na ni umbali mdogo sana kutoka uwanja wa Meja Generali Isamuhyo ulipo. Yaani umbali wake ni mdogo kiasi kwamba katika mechi inayokuja ya JKT vs Simba, Simba wanaweza kuamua siku ya mechi kutembea kwa miguu kutoka...
  14. JamiiForums Tanzania Uwanja wa JKT Tanzania pale Mbweni

    Nasikia simba watacheza apo sasa kama huo uwanja unaweza kuchezewa ligi kuu kwa nini na sisi tusicheze pale bunju upi mzuli kati ya uwanja wao na wetu
  15. JamiiForums Tanzania Kilio cha Simba chasikika. Kayoko kuwekwa kikaangoni

    MWENYEKITI wa Kamati ya Waamuzi, Nassor Hamduni, amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba kuwa wamesikia kilio chao dhidi ya mwamuzi Ramadhani Kayoko na jambo hilo litakwenda kufanyiwa kazi na Kamati na Nidhamu na anaweza kuadhibiwa iwapo itathibitika kuwa alikuwa na mapungufu kwenye uamuzi...
  16. JamiiForums Tanzania Tanganyika Majimaji, Congo Mayimayi, Kenya Maumau. Mjue Mama Onema wa kundi la SIMBA WA MULELE

    Magwiji wa Afrika walikuwa wengi tu wa aina ya Kinjekitile Ngwale... Soma historia ya huyu mama anaitwa Mama Onema ambaye aliishi Congo na ndio alikuwa akiwakinga na Risasi waasi wa kundi la SIMBA MULELE wakipigania ardhi yao dhidi ya wavamizi Marekani na kibaraka wao Mobutu. Mama Onema...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini simba mfalme wa nyika hawezi kumdhuru fisi?

    Wakuu habari za uzima? Wengi tunafahamu simba ni mfalme wa nyika na anapo unguruma wanyama wengi hukimbia mbali nae. Kwanini simba huyu mwenye nguvu na spidi hawezi kufua dafu kwa fisi mnyama mdogo kiumbo? Wataalamu Embu mtupe elimu kama ni kisayansi au kwa namna yoyote tujifunze.
  18. JamiiForums Tanzania FT: Geita Gold FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Kirumba Stadium | 12.02.2024

    Match Day.... #nguvumoja# Kikosi Cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Geita Kinachoanza. Updates... Mpira Unaendelea 06' Simba wanafanya mashambulizi yakushtukiza kwenye lango la Geita Gold 08' Simba wanapata faulo karibu kabisa na lango la Geita. Inapigwa inakuwa goli kick 15' Simba...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hawa marefarii watatu hawastahili kuamua tena mechi za Simba au Yanga

    Siyo kwa ubaya, wala si kwamba hawajui kazi ya urefarii! Lakini ukweli ni kwamba maamuzi yao yamekuwa yakigumbikwa na makandokando mengi kwenye mechi zinazovuta masikio ya wapenzi wrngi! Ukiona marefarii wafuatao wamepangwa kuamua mechi kubwa nakushauri zima TV ukalale! 1. Jonesia Rukya Huyu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Asec Mimosas imeomba mechi ya marudiano na Simba ifanyike kwa Mkapa

    Wakuu habari, Hii habari ya Asec Mimosas kuomba kutumia uwanja wa Mkapa kwenye mechi yao ya marudiano dhidi ya Simba kwenye ligi ya mabingwa Afrika ina ukweli wowote?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…