Siyo kwa ubaya, wala si kwamba hawajui kazi ya urefarii!
Lakini ukweli ni kwamba maamuzi yao yamekuwa yakigumbikwa na makandokando mengi kwenye mechi zinazovuta masikio ya wapenzi wrngi!
Ukiona marefarii wafuatao wamepangwa kuamua mechi kubwa nakushauri zima TV ukalale!
1. Jonesia Rukya
Huyu mama ni bonge la refa lakini siku za hivi karibuni tayali kashaingia kwenye mfumo! Hutumika sana kuamua mechi kubwa za maelekezo.
2. Ahmed alajiga
Huyu mnyaturu ni refa mzuri lakini mfumo unamtumia sana kuamua mechi
3. Kayoko!
Huyu naye kashaingia kwenye mkeka hatakiwi kuamua mechi kubwa!
Mbinu wanazozitumia kuharibu mchezo
1. Kuwapa Yellow card mapema key player wa timu inayotakiwa kufungwa
2. Kuwa frastulate wachezaji pasiposababu ya msingi!
(Yaani katika watu ambao huwa wanagundua mapema kwamba refa kapangwa huwa ni wachezaji, mchezaji anapewa kadi ya kuonewa huwa inamkata kabisa stimu ya kucheza, Filimbi kupulizwa wakati wa move ya kushambulia hii nayo huwatoa mchezoni wachezaji
3. penati za kuforce na offside za kinyonyaji
Nashauri TFF mechi zote za Derby ziamuliwe na marefarii kutoka inje ya nchi!
Naomba kuwasilisha