BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA.
📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana.
📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani.
📌 Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya...
Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!!
Ila ona huku mpaka leo kimya..
Tujikumbushe hapa
Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
Habari ya wikiend wadau..
Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida.
Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa.
Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao
Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye birthday yake malaya hamnunulii zawadi yoyote. Anaishia tu kumuwish bday then she only opens legs for...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni
Jim reeves:
•Seno Santa Claus
•Jingle bells
•Silent night
•Mary's boy child
SILVER BELLS:
"City sidewalks, busy sidewalks
Dressed in holiday style
In the air
There's a feeling
Of Christmas
Children laughing
People passing
Meeting...
Kwakuwa hakuna nchi inayoutwa Tanganyika, serikali isipoteze fedha kila mwaka kuandaa sherehe za uhuru wa nchi hewa.
Pia wafanyakazi waende kazini kama kawaida maana kukaa nyumbani kwa kisingizio cha sikukuu ya uhuru wa nchi ambayo haipo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Leo ni 9 December ni sikukuu ya uhuru wa nchi yetu Tanzania ni sikukuu ambayo tunakutana watu wote kwa dini zote na sio sikukuu ya kidini hii ni ya wananchi wote.tofauti kabisa na ilivyo unakuta kila mtu anaendelea na shughuli zake na inabaki kama mapumziko tu ni sio siku ya kufalia.
Kwa wale...
Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
ONGEZEKO SAFARI ZA TRENI NA NAULI
Dar es Salaam, Tarehe 07 Disemba 2024.
Shirika la Reli Tanzania - TRC linauarifu umma kuwa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, kutakuwa na ongezeko la safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha.
Siku ya Jumatano itaongezeka kujumuisha...
Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani.
Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa.
Ila ikifika March 8, utashangazwa.
SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Suleiman...
Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Wadau hamjamboni nyote?
Ukitaka ukosane na Ndugu zetu Wasabato wewe...
Wasalaam JF
Nimejaribu kufuatilia vituo vingi vya habari na hata mazungumzo ya baadhi ya maeneo niliyopo na kushtushwa na kupotea kwa umaarufu ya sikukuu ya wakulima 8/8.
Katika fuatiloa yangu nimegundua kuwa mechi ya juzi ya watani wa jadi ni kama nayo imepigilia msumari wamoto kwenye...
Sikukuu ya wakulima inayofahamika kuwa Nanenane ina sherekewa nchini kote tarehe 8 Agosti kila mwaka. Sherehe hiyo inatayarishwa na kuratibiwa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Shirika la Chama cha Kilimo Tanzania (TASO) na kuhusisha Taasisi, Wizara na mtu mmoja mmoja wanaoshughulika na...
Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi.
Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
Kulingana Na Historia Ndogo Kutoka Kwa Walimu Wetu wa Historia... Sikukuu Ya Wafanyakazi Ni Matunda Ya Mapinduzi Yaliyochochewa na Unyonywaji (Excessive Exploitation) Waliopitia Wafanyakazi Wakiwa Kazini, Mfano;
Kufanya Kazi Kwa Saa Nyingi Na Kulipwa Kidogo, Kufanya Kazi Katika Mazingira...
New Year
Mapinduzi
Karume Day
Muungano Day
Mei Mosi
Saba Saba
Nane Nane Day
Nyerere Day
Christmas Day
Boxing Day
Good Friday
Easter Monday
Eid El Fitr[Shehe atavyoamua kutangaza]
Mauli day
id El Hajji[siku mbili]
Mapinduzi
Uhuru
ZIJAZO
1. Magufuli Day.
2. Mama Day
SIKUKUU ZA WANAOTUKOPESHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.