siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki siku 50 Mwaka kuisha, hii ni tathmini ya matumizi yangu kwa mwaka 2020.

    Mwaka 2020 ndiyo unaelekea mwishoni, huku zikiwa zimebaki siku 50 kuisha. Watanzania hatuna mazoea ya kuandaa bajeti zetu binafsi, lakini ni tool muhimu sana kwenye maisha yetu hasa unapotaka kuona maeneo ya kupunguza matumizi kama sio ya lazima Hapa chini nimefanya tathmini ya matumizi ambayo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Sababu za Mtoto kuzaliwa Njiti

    Kila mwaka watoto takribani milioni 15 huzaliwa kabla ya miezi tisa yaani njiti na idadi hii imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Ni moja kati ya sababu inayochangia kwa wingi vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano duniani. Shirika la Afya Duniani (WHO) lilikadiria takribani watoto milioni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Siku ya Mtoto Njiti Duniani: JamiiForums na Doris Mollel Foundation waingia makubaliano

    Wakubaliana kupaza sauti kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala yamhusuyo Mtoto Njiti hususani Changamoto wanazopitia Watoto na wazazi wao. Pia, wanadhamiria kuielimisha Jamii kuhusu namna bora ya kuwalea Watoto Njiti. Kampeni hii imelenga kuifanya jamii iondokane na fikra potofu kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania Ifahamu siku ya uapisho wa Rais nchini Tanzania na maana ya ishara zinazoambatana na matukio wakati wa uapisho

    IFAHAMU SIKU YA UAPISHO WA RAIS. MATUKIO YANAYOFANYIKA. Katika hafla ya uapisho kunakuwa na matukio mbalimbali kama ifuatavyo; ✍🏽Kupigwa kwa mizinga 21. ✍🏽Ukaguzi wa gwaride. ✍🏽Salaamu kutoka katika vikosi vya kijeshi. ✍🏽Burudani. KULA KIAPO. Katika hafla ya uapisho tukio la Rais kula kiapo...
  5. JamiiForums Tanzania Siku ya kukuza Uelewa wa Tsunami duniani

    Novemba 5, Umoja wa Mataifa (UN) huadhimisha siku ya kimataifa ya kuongeza uelewa wa janga la Tsunami. Tsunami hutokea mara chache, wanaona hiyo haiondoi sababu ya dunia kujiandaa kwa janga hilo. Kwa mwaka 2020, UN inatumia siku hii kuzifanya nchi na jamii kuwa na mpango mkakati wa kupunguza...
  6. JamiiForums Tanzania UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania, hivi mnajua ya kwamba; Utakachokuwa unamsimulia sweetheart wako siku za mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya na moto moto ndio maneno hayo hayo atakayokurushia kama silaha siku ya kwanza mtakapogombana...
  7. JamiiForums Tanzania Matangazo ya BBC Swahili na Sauti ya Ujerumani mbona siyapati siku hizi kwenye Redio

    Niaje. Noamben kujua kuna tatizo gani kwa hawa wanaorusha habari za bbc Swahili na Sauti ya Ujerumani siwapat kabisa redion wamefungiwa au? Halafu pia naomba kujuzwa hawa BBC Swahili na vituo vingine vya habari vyanzo vyao vya mapato ni vipi maana nimezoe kuona huku kwetu radio station...
  8. JamiiForums Tanzania Siku ukiona Mwajiri anaomba Msamaha kwa Mwajiriwa Tambua Adhabu inapande Mbili

    Wakuu, Kama mada inavyotanabahanisha, nchi yetu ya Tanzania ina wananchi na wageni wote wanalipa kodi zote stahiki ijapokuwa wanaweza wasitambue kwamba walipa kodi hizo. Ilikupambana na maadui watatu tuliowarithi kutoka ukoloni ni watatu ijapokuwa wapo walioongezeka baada ya kupewa hati ya...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama tisa vya upinzani vyatoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

    Vyama tisa vya upinzani vimetoa tamko la kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020 na mgombea wa CCM, Dkt. John Magufuli kuibuka mshindi baada ya kupata 84.4% ya kura zote. Katika tamko lao, vyama hivyo vimempongeza mgombea huyo kwa kushinda na kusema kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Haya ni makadirio ya kutingishwa kwa uchumi kwa kufungia mitandao kwa siku 4

    Hizi ni estimates za upotevu wa mapato kwenye shughuli za kiuchumi kwa sekta zote kutokana na ufungwaji wa mitandao ya kijamii. Waathirika ni wote hakuna alieachwa, makampuni ya simu, serikali na wadau wote.
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

    Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM. Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja kuhamasisha watu kumpigia kura Ndg. Magufuli na mbaya zaidi anamkandia Mzee Mwinyi na kueleza mazuri ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Pokeeni mgeni wanaJf, hii ni siku kubwa kwetu

    Naomba mnipokee na ninawasalimu wakubwa kwa wadogo humu ukumbini. Leo ni siku kubwa kwetu nchi yetu ikiwa kwenye uchaguzi mkuu wa kitaifa, namimi nikaona niweke kumbukumbu kwa kuwa mwanachama rasmi wa jamii forum baada ya kuww msomaji kwa miaka kadhaa. Naomba mnipokee.
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom inasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuruhusu wateja wake kupiga simu mara moja bure

    Safaricom ina miaka ishirini sasa. Ili kusherehekea, Safaricom itaruhusu wateja wake kupiga simu mara moja bila malipo. Safaricom ina takriban 33 million customers hapa Kenya. Kila customer atapata hii fursa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi

    Wewe Mtanzania kesho ndio siku maalumu uliyongojea miaka 5. Hakuna siku nyingine uliyopewa zaidi ya kesho ya kuchagua kuumizwa tena 5 au kutoumizwa tena. Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu. Weka tiki (vema)...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Watumishi wa Umma wapewa ruhusa ya siku 3 kwenda kupiga kura mahali walipojiandikisha

  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kufanya kazi ya kuwakusanya wapiga kura, kuwapeleka vituo vya kupigia kura na kuwarudisha majumbani mwao bure. Inaruhusiwa?

    Wanajamvi, nimehamasika sana ktk uchaguzi huu. Kikubwa ni uhakika wa anguko kubwa la CCM ktk uchaguzi huu. Kwahiyo nataka niwe sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa. "Tundu Lisu the rescuer. From the edge of the grave to the state house" Nimeamua toka moyoni kujitolea kuwakusanya wapiga...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za uchaguzi huu zimetufundisha mengi kuhusu CCM, hata wakishinda uchaguzi kwa hila siku zao madarakani si nyingi

    CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia. Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Leo Siku ya maombi kuombea uchaguzi na kumuombea mgombea wa urais

    Kwa kuwa leo ni siku maalum ya maombi kitaifa kuombea uchaguzi huu, nairejesha tena litania hii kwa ajili ya mafanikio kwa Taifa hili teule
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA na Siku Maalum ya Dua, Sala na Shukrani nchi nzima

    Lengo kuu la jambo hili ni kumshukuru Mungu kwa wema na ulinzi wake mkubwa sana alioutenda katika kipindi chote cha kampeni.
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 ITV leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu?

    Wanabodi habari ya majukumu? Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano? ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…