Siku ya kukuza Uelewa wa Tsunami duniani

Siku ya kukuza Uelewa wa Tsunami duniani

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Novemba 5, Umoja wa Mataifa (UN) huadhimisha siku ya kimataifa ya kuongeza uelewa wa janga la Tsunami. Tsunami hutokea mara chache, wanaona hiyo haiondoi sababu ya dunia kujiandaa kwa janga hilo.

Kwa mwaka 2020, UN inatumia siku hii kuzifanya nchi na jamii kuwa na mpango mkakati wa kupunguza hatari za janga hilo ili kuokoa maisha ya watu.

UN imekadiria kuwa hadi mwaka 2030, 50% ya watu watakuwa wanaishi karibu na mwambao ambayo yana hatari ya mafuriko, dhoruba na Tsunami. Hivyo ni muhimu kuwa na mpango wa kujilinda dhidi ya majanga ho.

UN inaelimisha na kutengeneza njia za kujiokoa na kufanya kila linalowezekana ili janga likitokea maisha ya watu yasiwe hatarini.

1604554381243.png
 
Nilifikiri umetuletea na elimu ya nn, Wamakonde, Wamakua, Wazaramo, Wandengereko, Wamatumbi, Wapemba, na jamii zinazoishi mwambao, jinsi ya kujiokoa na jinsi gani serikali makini, ilivyo na mipango kabambe ya kuwanusuru endapo janga litatokea!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Yaan nikafungua fasta kupata elimu
 
Nilidhani nitakuta mambo ya tectonic plates yakifanya yao, kumbe ni taarifa tu.
 
Back
Top Bottom