Matangazo ya BBC Swahili na Sauti ya Ujerumani mbona siyapati siku hizi kwenye Redio

I AM NO ONE

JF-Expert Member
Aug 7, 2020
389
576
Niaje.

Noamben kujua kuna tatizo gani kwa hawa wanaorusha habari za bbc Swahili na Sauti ya Ujerumani siwapat kabisa redion wamefungiwa au?

Halafu pia naomba kujuzwa hawa BBC Swahili na vituo vingine vya habari vyanzo vyao vya mapato ni vipi maana nimezoe kuona huku kwetu radio station nyingi zina matangazo.

Hivyo kupitia matangazo wanapata pesa na matangazo yenyewe huwa tunayasikia kama tigo pepsi coca mara voda ila hawa bbc dw naona nikisilikiza huwa sipati tangazo hata moja kulisikia sasa swali langu hawa wanarun vip hizo taasisi funds zao wanatoa wap mpka kuweza kutuma wanahabar sehem mbali mbali kusaka habari.
 
Ndgu hizo media Kama Dw ,Bbc, VOA nk ni za umma( public ) hazifanyi biashara ya matangazo yoyote kwa asilimia 100 zinaendeshwa na serikali zao husika mambo ya mishahara na gharama zingine zote huwa zinalipwa na serikali zao kwhyo hawana matangazo kabisa hata TBC ilitakiwa isiwe na matangazo kwa sababu ni shirika la Umma
 
Mpaka umeweza kutumia VPN na kuaccess hii app, unashindwaje kutuambia kwamba local media tu zimeshabinywa sembuse hizo za mabeberu?
 
Noamben kujua kuna tatizo gani kwa hawa wanaorusha habari za bbc Swahili na Sauti ya Ujerumani siwapat kabisa redion wamefungiwa au?
Jibu: Marufuku ilishatoka kujiubga na hiz hidhaa...

Halafu pia naomba kujuzwa hawa BBC Swahili na vituo vingine vya habari vyanzo vyao vya mapato ni vipi maana nimezoe kuona huku kwetu radio station nyingi zina matangazo.
Jibu: Ni wewe ndiyo unahisi kama unaingalia bure sababu stations zako za ndani zishakulipia... Ila duniani kote hizi hidhaa kuziona lazima ulipie.

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom