Uchaguzi 2020 Watumishi wa Umma wapewa ruhusa ya siku 3 kwenda kupiga kura mahali walipojiandikisha

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,497
9,278
IMG_20201027_073509_654.jpg
 
Sisi walimu tunaenda na Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Mwalimu wewe.
Bodaboda wewe.
Machinga wewe.
Dada muuza wewe.
Mkulima wewe.
Bwabwa wewe.
Polisi wewe.
Mwanajeshi wewe.
Barmaid wewe.
Mpiga debe wewe.
......
......
......
......
Wewe ni .....
 
Hahahaaa,

Mh Lisu, Kura yangu huipati, na Kura yangu Mimi yeyote atakayeikosa huwa no kama laana vile, ni lazima Kwanza ashindwe kwenye ngazi yoyote Ile

Pili, umaarufu wake unaishia hapohapo na hawezi tena kuja kuwa kiongozi mkubwa ktk nchi hii
Zaidi ya huruma ya anayekuwa kiongozi wa nchi, ama amteue ktk ngazi Fulani au kumpa ubalozi!

Sikupi si Kwa sababu nakuchukia" hapana, sikupi Kwa sababu umerudi ukiwa hueleweki kabisa

Umerudi ukiwa kama si Mtanzania Mwenzetu, umerudi ukiwa umebeba mambo moyoni mwako ambayo ndiyo yanayotupa wasiwasi mwingi Sisi waona mbali

Na kitendo cha mataifa yasiyokuwa na utamaduni na Mila za kistarabu kuwa nyuma yako, ndio kabisa...yanazidi kutufanya tukuogope

Kuna kila Dalili za wewe ukiwa Raisi wetu, Tukaanza kuambiwa, vitu Fulani tunaweza kuvigusa na kuvitumia Ila vitu Fulani na Fulani haturuhusiwi kuvigusa, Kwa kuwa tukivigusa twaweza kufa""
Ingawa Sisi ni huru, na rasilimali zote ni zetu

Amri hizi za kama kipindi cha Adamu na hawa Edeni, ni kama tunaziona Sana moyoni mwako
 
Watumishi wa umma wamefurahishwa sana na hatua hii ya Serikali ya Magufuli kujali haki yao ya kupiga kura. Kila niliyeongea naye anasema kura yake anampa JPM. CCM OYEEE
 
Back
Top Bottom