siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Hell is real

    JamiiForums Tanzania Ipo siku upinzani utachukua nchi hii, CCM siku zinahesabika

    Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Tanzania itapata haya...

    Kuna siku Tanzania itampata DPP anayeweza kujisimamia Kuna siku Tanzania itanpata IGP anayejitambua na kutumia akili zake mwenyewe Kuna siku Tanzania itaongozwa na Mkurugenzi wa TISS mwenye uwezo wa kusimamia maslahi ya Taifa Kuna siku Tanzania itampata Msajili wa vyama mwenye akili timamu...
  3. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Je unaweza kuhisi una siku ngapi zimebakia za kuishi hapa duniani???

    Swali tata...wengi najua wataogopa kulijibu..lakini ukweli unabaki pale pale lazima wote tutaiacha dunia.. Je una siku ngapi zimebaki?? Na kwanini unahisi zimebaki siku idadi hiyo?? Je umejiandaaje.? Je kabla hujaiaga dunia ungependa ukamilishe jambo gani.? Je kabla hujaondoka ungependa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Siku ambayo askari MP alipojitayarisha kumpiga risasi askari Sajenti kwa amri ya Mkuu wa Kambi ya Mgambo JKT

    Ni jambo ambalo sintalisahau maishani mwangu, japo lilitokea zaidi ya miaka 20 iliyopita. Leo nimeamua kulisimulia kwa kuwa nadhani kwa sasa limefikia hatua ya kuwa "declassified" hata kama lilikuwa ni siri, ila sintataja majina ya wahusika. Ilikua usiku mmoja katika kambi ya JKT Mgambo, katika...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama atatoa Siri za nchi kwa maadui, Sabaya katufungua macho

    Mkuu wa Wilaya Ni mwenyekiti wa ulinzi na Usalama, unapokuwa na DC anayeweza kumchafua au kutoa Siri za Rais na viongozi wa juu kwa public kisa tu amebanwa kwa makosa aliyoyatenda ipo siku au yawezekana hata Sasa baadhi ya Taarifa za nchi hazipo salama. Most of DC na RC wamepewa hiyo kazi kwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Lazima kuna sababu za msingi sana kwa Msumbiji kuomba msaada wa kijeshi Rwanda kukabili waasi badala ya Tanzania ambao wana undugu nao wa damu

    Kuna wakati Tanzania ilijulikana kwa umahiri katika mapambano ya kivita, na jeshi letu JWTZ liliaminika sana katika uwanja wa mapambano. Hata waasi sehemu kama DRC walikuwa wakisema wazi, kwamba hawakuogopa kukabiliana na jeshi jingine lolote isipokuwa JWTZ ndio waliwaogopa sana. Tulijenga sifa...
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa kike siku hizi wanapiga sana picha za utupu?

    Wasalaam Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao. Na hii imeleta usumbufu mkubwa kwa wazazi na familia mara tu zinaposambaa hizi picha. Wazazi tatizo ni malezi au ndo utamaduni wetu unayumba. Niliwahi kwenda India...
  8. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Binadamu huzungumza wastani wa maneno 16,000 kwa siku

    Binadamu mtu mzima angalau kwa siku anazungumza maneno 16,000 kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mwanazuoni (Neuman, 2012) The human adult utter at least 16,000 words a day, mostly through verbal exchange (Neuman, 2012). Sasa sijui huu utafiti unawahusu na wale wasutaji wa mitaa yetu pendwa...
  9. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Siku ya kuzaliwa yenye furaha kwako Eric Shigongo

    Leo ni siku muhimu katika historia ya Maisha yangu, ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu alinileta duniani kupitia wazazi wangu Bi. Asteria Kapela na Mzee James Bukumbi (wote marehemu). Napenda kumshurku Mungu kwa kuendelea kunipa uhai, afya, nguvu na maarifa ili kuendelea kutimiza dhumuni lake la...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya 191 kwenye mwaka huu, kitu pekee walichofanikiwa Chadema ni kuanzisha mikutano Twitter

    Hamna CCM imara kama upinzani ni dhaifu, Chadema fanyeni kujitahidi hili kuleta amsha amsha ndani ya nchi. Kwa kifupi mtu akisema Chadema imepoteza dira anakuwa yuko sahihi sana. Ebu tujikumbushe baadhi ya vitu vilivyofanywa na Chadema mwaka huu. Kuwatoa wabunge 19 bungeni (hapa chadema...
  11. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Siku yangu imeharibika

    Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.😔 Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii series. Glenn alikua mtu mzuri sana kwa kusaidia wenzie hakupaswa kufa kikatili namna hii.
  12. mankachara

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku

  13. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama kumbuka ahadi yako kuhusu pensheni ya PSSSF kwa watumishi siku ya Sabasaba

    Tuna kukumbusha Mhe. Waziri Jenister Mhagama siku ya sabasaba ukiwa na mkurugenzi mtendaji wa PSSSF kwenye banda lao, mlisema kwa sasa mnafanyia kazi marekebisho ya malipo na maelekezo ya Mhe Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwalipa wastaafu. Walio staafu kuanzia mwezi 3 hadi sasa hawajalipwa, je ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kagame hakuja msibani kumzika rais wetu, na alikaa miezi siku nyingi sana kabla hajatupa pole, Rais Samia unakwenda Rwanda kufanya nini?

    Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Zamani Ikulu ilipelekewa orodha ya graduate wote, siku hizi inapelekewa orodha ya Viongozi wa CCM ngazi ya kata hadi Taifa

    Habari! Siku moja nilikuwa na mzee mmoja mstaafu JWTZ aliniambia kuwa Ikulu hupokea taarifa na majina ya wahitimu wa elimu ya chuo kikuu wale wa degree ya awali nakuendelea. Pia hupokea majina ya baadhi ya wahitimu wa elimu ya stashahada na advanced diploma kila mwaka. Rais kwa kutumia team...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama siku zingerudishwa nyuma ungefunga hiyo ndoa?

    Kichwa cha habari chahusika. Kila mtu ajimwage hapa. Endapo tarehe zingerudi nyuma hadi ile siku uliyofanya maamuzi ya kufunga nae ndoa, Je ungebaki ndoani au ungetengua maamuzi?
  17. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

    Awali ilianza kama tetesi hapa JF, soma Rais Samia kufanya safari nchini Rwanda mapema Agosti UPDATE: July 31, 2021 Tanzanian President Samia Suhulu will on Monday arrive in Kigali for her first visit state to Rwanda. During the two-day visit, she is expected to hold private talks with...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteua tarehe 5 Agosti 2021 kuwa siku ya kupinga mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe nchi nzima

    Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anawapumbaza kondoo wake, muda si mrefu atachoma chanjo

    Gwajima leo nimemfatilia nimegundua hapa hakuna mtafiti ni utopolo na ujinga na sifa mdio vinamsumbua Ibada nzima ilikua ni sifa kwa Rais samia tu, means ameshashtuka kuona ibada ilivyopita alimdhihaki sana lakini samia kapiga kimya Mchungaji kaanza kupiga u-turn taratibu, ibada iliyopita...
  20. Keynez

    JamiiForums Tanzania CCM siku zote wanataka kumiliki pande zote mbili za mijadala mizito!

    Embu niwadokezee jambo moja ambalo ningependa mchukue muda wenu mlitafakari. Kwa sisi wakongwe na wafuatiliaji wa mambo ya nchi hii, tumeshuhudia mambo mbalimbali yakitokea na kufanyika nchi hii. Kuna masuala ya muungano, kuna masuala ya mfumo wa vyama vingi, kuna masuala ya mabadiliko ya...
Back
Top Bottom