sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ya CCM itambue huu utitiri unaoongezeka kila siku wa magari ya ving'ora na taa za bluu unawaharibia sifa kuwa wanadamu kama Watanzania wote

    Hali inaongezeka kila siku nchini za viongozi wa Tanzania kutaka kujitutumua na kujitofautisha na Watanzania wengine, wananchi wa kawaida. Ile roho chafu ya "unanijua mimi ni nani" inawapa kiburi sana watu wanaojiona wao ni watawala nchini, pamoja na watu wa vyombo vyao vya dola. Angalia kwa...
  2. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Kama una jengo lenye sifa za kuwa kituo cha afya au hospital karibu tufanye biashara

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mimi ni daktari nafanya kazi katika moja ya taasisi hapa nchini Nina uhitaji wa kufungua kituo Cha afya au hospital endapo nitafanikisha kupata jengo lenye sifa zifuatazo 1. Jengo liwe limezungukwa na idadi ya watu wengi 2. Jengo liwe na vyumba vya kutosha walau...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu

    Wakuu, Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu, baba yake mzazi athibitisha hilo. Mhh...... Mungu amlaze pema. Pia soma Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya...
  4. Bueno

    JamiiForums Tanzania Sifa ya Uandishi

    [Chorus] Sifa ya Uandishi Tunga bila Sifa Nikifa na Sifa nzuri Ni Sifa kwa alionisifu Mistari 16 Uvumi unasikika Lini mistari ya Mhuni itakwisha? Tungo zaidi ya Sifa Mdundo wa Kibabe Mikunjo ya Kimista Gumzo za Kipambe Nachana Kisha naepuka lana Kichwani ni mtindo wa Rap Nimeusuka toka zama...
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa Tanzania ni akili timamu na sifa za Wife material ndio vigezo muhimu zaidi za kuchagua mke, Bikra pekee haitoshi

    Haijalishi ni used au bikra Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu. Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
  6. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Sifa za zege zuri kwa kujengea na Eng James

    Sifa za zege zuri kwa kujengea ni pamoja na: 1. Uimara: Zege linapaswa kuwa na nguvu ya kutosha kubeba uzito wa majengo na kuhimili mzigo wa muda mrefu. 2. Upinzani wa Maji: Zege bora huwa na uwezo wa kuzuia maji kuingia, hivyo kupunguza hatari ya kuoza au kuharibika kwa majengo. 3. Uwezo wa...
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania UTHABITI na UJASIRI ni pale utakapopokea kiume UKOSOAJI kwa moyo wote kwa kiasi kile kile unavyopokea SIFA

  8. Knock life

    JamiiForums Tanzania Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

    Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
  9. A

    JamiiForums Tanzania Sifa 10 mabasi mapya ya shabiby, Dar-Tanga

    Zimebaki wiki mbili kufikia Mei ambapo mabasi mapya ya Shabiby Line yataanza safari mpya toka Dar kwenda Tanga na toka Tanga kwenda Dar. 'Mashine' hizo za kisasa zipo Bandari ya Dar zikikamilishiwa utaratibu tayari kwa kuanza safari huku wananchi wakisubiri kwa hamu kubwa ruti hiyo mpya. Kwa...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza umri, sifa ya kupata mikopo ya Asilimia 10 ya Halmashauri

    Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana kutoka miaka 35 hadi 45 ili kuweza kufikia vijana wengi zaidi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo wakati wa akijibu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ila Newcastle united Wana sifa!

  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mpaka soko liitwe soko mjinga linakuwa na sifa gani

    Wahenga walifikiria Nini wakayatungia majina masoko wakayaita soko mjinga na yapo kila mkoa..maana yake Nini kwamba ni soko chafu au dogo au lisilo kuu maana nawaza je soko likiwa mtaani ila safi la kisasa na lenyewe tuliite soko mjinga?
  13. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania CAF walikuwa sahihi, uwanja wa Benjamin Mkapa hauna sifa za kuhodhi mechi za CAF

    Watanzania tumeshazoea siasa kwenye mambo yetu kwahiyo hata inapokuja mambo ya msingi tunataka weka siasa. Huu uwanja wa taifa ni kweli hauna sifa kutumika kwenye mechi kubwa kwa hali uliyonayo. Kwenye hii mechi ya Simba na Masry ukweli kila mmoja anajionea. Uhalisia wa pitch ni tofauti...
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke Mgumba anayejielewa anahitajika awe na sifa hizi

    Habari wanaJF Kichwa kimejieleza hapo juu ni jambo serious kwa huyu ndugu yetu kwani siku zote ukweli humweka mtu huru na amethubutu kuniweka wazi. Ni mjomba wa miaka 36 lakini amejikuta anapitia changamoto nzito sana katika mahusiano yake kisa matatizo yake ya uzazi(ugumba). Mimi sio...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale ambao mnamtetea Ali Kamwe na Utoto, Upuuzi na kutaka Kwake Sifa zinazoenda Kumtokea puani sasa mjibuni huyu Dada kama mna Hoja za maana

    "Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala ( @mwagala.christina) Afisa Habari wa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale ambao mnamtetea Ali Kamwe na Utoto, Upuuzi na kutaka Kwake Sifa zinazoenda Kumtokea puani sasa mjibuni huyu Dada kama mna Hoja za maana

    "Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala ( @mwagala.christina) Afisa Habari wa...
  17. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo sifa za jamaa zangu fulani waitwao mamodinyo

    Jamaa zangu fulani wanaojiita mamodinyo (modinyo akiwa mmoja) Wana sifa za kipuuzi kweli kweli, zifuatazo ni sifa zao chache:- 1.Wanaweza kukuhukumu kutokana na maneno au malalamiko ya watu hata kama hayana mashiko. 2. Hawataki uzungumzie siasa zinazoikashifu chamantawala. 3. Wanijiona Sana...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wabongo mnaoshi ulaya acheni sifa za kijinga

    Wabongo mnaoishi ulaya acheni sifa za kijinga . Mkipata wekezeni Hizo hela mnatuma huku kwa ndugu zenu wanakunywa mapombe kuhonga then mkifia huko majuu maiti zenu zinashindwa kusafirishwa Watoto wenu mnawaacha katika umasikini. Mkizeeka pia mnatia aibu. Kuna mmoja ameona amefia huko majuu...
  19. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Raman ya kuombea vibali vya ujenzi lazima iwe na sifa hizi

    Soma kwenye picha hapo Ukitaka tukuchoree raman ya nyumba 0743257669 au nichek whatsapp au piga sim
  20. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba ya kuombea kibali cha ujenzi inatakiwa kuwa na sifa hizi

Back
Top Bottom