Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).
Habari wanaJF
Kichwa kimejieleza hapo juu ni jambo serious kwa huyu ndugu yetu kwani siku zote ukweli humweka mtu huru na amethubutu kuniweka wazi.
Ni mjomba wa miaka 36 lakini amejikuta anapitia changamoto nzito sana katika mahusiano yake kisa matatizo yake ya uzazi(ugumba).
Mimi sio...
"Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala (
@mwagala.christina) Afisa Habari wa...
"Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala (
@mwagala.christina) Afisa Habari wa...
Jamaa zangu fulani wanaojiita mamodinyo (modinyo akiwa mmoja) Wana sifa za kipuuzi kweli kweli, zifuatazo ni sifa zao chache:-
1.Wanaweza kukuhukumu kutokana na maneno au malalamiko ya watu hata kama hayana mashiko.
2. Hawataki uzungumzie siasa zinazoikashifu chamantawala.
3. Wanijiona Sana...
Wabongo mnaoishi ulaya acheni sifa za kijinga .
Mkipata wekezeni
Hizo hela mnatuma huku kwa ndugu zenu wanakunywa mapombe kuhonga then mkifia huko majuu maiti zenu zinashindwa kusafirishwa
Watoto wenu mnawaacha katika umasikini.
Mkizeeka pia mnatia aibu.
Kuna mmoja ameona amefia huko majuu...
Kama ulikua hujui MWANAUME ANAEJITAMBUA anatakiwa kuwa na sifa zipi wacha nikufahamishe;-
Wanaume tupo wengi sana hapa duniani,
Lakini wanaume wanaojitambua niwachache sana,
Sasa utajuaje mwanaume fulani anajitambua,
Au utajuaje wewe mwanaume mwenzangu unatambua,
1)...
01.Akikukosea anakuomba msaamaha mara mbili, usipomsamehe anakausha, baadae anakuombia unataka kuombwa msamaha siku tatu kwani wewe umekamilika?
02.Mwanamke Ambae anapigia hesabu pesa ambayo hujaipata, ila kwasababu anajua kwa siku unaingiza shingapi anapiga matumizi kabisa.
03.Mwanamke ambae...
Kwanza mtambue kuwa Haji Manara hajawahi kuwa mwana Yanga SC kutoka Moyoni bali ni mwana Simba SC lia lia aliye Yanga SC kwasababu tu za Maslahi mapana ya Kiuchumi.
Pili alichokifanya Haji Manara ni kutafuta tu Uungwaji mkono wake wa Taasisi yake aliyoizindua kutoka kwa wana Yanga SC na hasa...
Kuna wilaya utasikia inasifika kimapato mpaka kuwa kinara ila yaliyomo ndio unaweza kuangua kicheko.
Mapato yanayo kusanywa tofauti na miundo mbinu iliyopo.
Kuna mada hapa JF imetolewa kuhusu wepo wa viwanda vingi na ufinyu wa barabara.
Viwanda vinaweza kuwa na mapato makubwa ya wilaya lakini...
Habari wanajamvi!
BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos.
Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia...
Bongo watu wanapenda kuamini vitu vya ajabu Sana, huenda ni meneja au mfanyakazi aliyekua na shift night alimwingiza kwa lengo la kupunguza upwiru. lakutokea likatokea akaona kuliko kibarua kiote majani amwangushie huyo mtoto wa watu jumba bovu.
Africa tuna matatizo sana, ukiwaangalia wabunge wengi wa Tanzania wana mivitambi mikubwa, mitumbo mikubwa, tuna wabunge matumbo tumbo.
Fyuu hovyo nimeona video clip ya like libunge la malinyi nilitumbo tumbo tu.
Fyuuu
Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha.
Kwa wingi wa silaha walizonazo wababe wa dunia na mbwembwe walionza nazo kila mmoja alitaraji kumaliza vita baada ya muda mfupi...
Mwanadada akionyesha ,Ulimi wake Ulivyo kuwa Mrefu Sana tofauti na Wana damu wengine
Wanaume Wengi Wana Penda nyash Ila kuna ulimi pia
Hivi Ni Sifa Gani Wanayo wanawake wenye ulimi Mrefu kwenye mapenzi?
Nissan Patrol V8 ni toleo la juu la Nissan Patrol, ambalo linajivunia injinia ya V8 yenye nguvu na uwezo bora wa off-road. Gari hili linatumika sana katika mazingira magumu na linalotambulika kwa uimara, uwezo mkubwa wa kuvuta, na matumizi ya kifahari. Hapa chini ni sifa muhimu za Nissan Patrol...
Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu hiyo imeeleza sababu za kuondoshwa ni kwasababu hakuwa na sifa ya kuwa kocha mkuu wala kocha...
Wanajamvi.. nawasalimia sana. Katika kukabiliana na hali ngumu ya upatikanaji wa wafanyakazi hasa kada isiyo na qualifications maalum, au kwa wafanyakazi kupata kazi katikabsekta isiyo rasmi, tunawaletea app iitwayo servicehands. Hii ni app ambayo unawaunganisha waajiri na wale watafutao kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.