Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).
Aina 4 Za Wanawake Wanaokimbiwa Zaidi Na Wanaume
1. Controllers
Hawa Ni Wale Wanawake Ambao,
Kwa Sababu Ya Elimu, Vyeo, Umaarufu, Upeo Wa Kufikiri na NGUVU Fulani Waliyonayo,
Huwa Wanataka Kumuweka Mwanaume Under Control.
Wengi Huwa Na Tatizo Linaitwa "Control Freak"
2. Boxing Women
Hawa...
Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia
Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa?
Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu
SIFA KUU TANO ZA MTU MASKINI AU UTAKUWA MASKINI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Umaskini ni kama nguo. Yes ni Vazi ambalo mtu huamua kulivaa au pengine huweza kuvalishwa. Lakini asilimia kubwa ni vazi ambalo MTU huamua mwenyewe kulivaa.
2. Maskini ana sifa zake ambazo humtambulisha na...
Demu atakiwi kujua kila kitu . Sio demu anamjua mpaka komando kipensi.
Inatakiwa ukimuuliza “baby unamjua Lukaku?” akujibu “ni yule rafiki yako wa kijijini?”
Ukimuuliza “baby, Haaland unamjua?” akujibu “si ndo yule mtoto wa mama James?”
Sio demu anajua timu za mpira Bongo mpaka Ulaya, anamjua...
1. mweupe kiasi si michubuko
2. umri kati ya miaka 25 hadi 30
3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6
4. awe tayari kusimamia biashara
5. Asiwe na mtoto
6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili wameelewa
7. Dini( awe na hofu ya mungu)
8. awe anaishi kwao sio gheto
9. mwembamba kidogo
10. urefu 150...
"You deserve to be in the market but don't call yourself I am a certified professional. No, huna cheti, usiseme unacheti. Kama mimi ‘trainers’ wangu wamesafiri hadi Uturuki nagharamika ili niwasomeshe.
Kwanini? Kwasababu mimi I am responsible for afya ya watu, tayari nimeshaingia kwenye kile...
Mbunge machachari Msukuma ana upeo mkubwa wa kuongea na kuongea.
Lakini wakati mwingine kinachomtoka mdomoni ni pumba zisizo ainisha mantiki ya usomi nyuma yake.
Huwa anawa nanga sana wasomi, utaifikiri mikakati ya mwalimu Nyerere kufuta ujinga ilikuwa kupoteza muda na fedha.
Msukuma...
Kwanza kabisa watu wenye group ‘O’ hawalogeki na ukijaribu kuwaloga yanakurudia, ukijitahidi kumloga humuwezi lazima mambo yadunde na mara nyingi wabaya wao wakishindwa huanza kuwapakazia watu hawa mambo ya uongo na kuwachukia bila sababu za msingi hasa baada ya kushindwa kuwaangusha.
Wanapenda...
Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.
Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.
Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba...
Sifa za "Black Sheep" (mwana kondoo mweusi) katika familia/kundi:
1. Hutofautiana na wengine – Ana mtazamo, tabia, au maisha yasiyoendana na ya familia/kundi.
2. Mwenye maamuzi huru – Hufuata njia yake bila kujali matarajio ya wengine.
3. Huonekana kama muasi – Anaweza kukaidi mila, dini, au...
Kuna makabila bado yanaendelea na hizi tamaduni za kikatili za kuwakata clitoris mabinti wakiwa na imani kwamba watatulia kwenye ndoa
Mfano kuna baadhi ya maeneo ya Singida, Dodoma na Manyara, yamekuwa yakiendelea na huu utamaduni lakini kwa intelejensia zinazokusanywa mitaani imefikia hatua...
Hatutapumua..
Mara mama this mama that..
Uchawa uchawa tu ..
Utasikia mama ameiwezesha..
Sijui mama amefanyaje...
Uganda please tupo nyuma yenu pigeni hiyo timu ya Sisiemu...
Timu ya wauaji..
Watekaji..
Waiba kura..
Uganda ushindi wenu una baraka zote za waliouliwa kinyama tar 29,
Ushindi wenu...
Haijawahi kutokea nchi kuwa na kiongozi mropokaji kama huyu wa sasa. Huyu mtu ni mropokaji na mwongo wa kutisha.
Anawadanganya wajinga eti Tanzania inaongoza kwa uwingi wa uranium. Haelewi hata tofauti ya proved, indicated na proble reserves. Anasema eti Tanzania ina reserve ya tani laki 8! Huo...
Habari wakuu, naombeni msaada wa haraka kwa ufafanuzi au ushauri.
Nimekua na passion ya kuja kufundisha vyuo vikuu kwa muda sasa, lakini kuna jambo linanitatiza hapa.
Undergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2) Naomba izingatie hii GPA. Kozi hii haikuwa passion yangu, nilisoma...
Magari mapya ya VVIP aina ya Range Rover SUVs huja na teknolojia ya kisasa yenye ulinzi wa juu unaojumuisha ballistic protection ya B6+ hadi B7, vioo vinavyostahimili risasi, run-flat tires zinazoruhusu gari kuendelea na safari hata likipigwa risasi, kinga dhidi ya milipuko, pamoja na mfumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.