sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Unavyopenda sifa za show off ili Ommy tutauliza marekani huko maana sio wageni.

    Marekani sio mbinguni.wana JF tunaomba kujua mke wake.
  2. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Nitajie sifa za watu wa namna hii "Akili battery low ila mdomo full charge

  3. M

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayokeketa mabinti yanajitetea ni kuwatuliza waishi na mwanaume mmoja ila kwa sifa walizonazo huku mitaani ni tofauti kabisa

    Kuna makabila bado yanaendelea na hizi tamaduni za kikatili za kuwakata clitoris mabinti wakiwa na imani kwamba watatulia kwenye ndoa Mfano kuna baadhi ya maeneo ya Singida, Dodoma na Manyara, yamekuwa yakiendelea na huu utamaduni lakini kwa intelejensia zinazokusanywa mitaani imefikia hatua...
  4. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kila la Heri Uganda leo tafadhali tunaomba mtufunge maana vinginevyo Sifa zote zitaenda kwa mama

    Hatutapumua.. Mara mama this mama that.. Uchawa uchawa tu .. Utasikia mama ameiwezesha.. Sijui mama amefanyaje... Uganda please tupo nyuma yenu pigeni hiyo timu ya Sisiemu... Timu ya wauaji.. Watekaji.. Waiba kura.. Uganda ushindi wenu una baraka zote za waliouliwa kinyama tar 29, Ushindi wenu...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Uropokaji Ni Sifa Negative Kwa Kiongozi. Sasa Tuna Mropokaji wa Kutisha

    Haijawahi kutokea nchi kuwa na kiongozi mropokaji kama huyu wa sasa. Huyu mtu ni mropokaji na mwongo wa kutisha. Anawadanganya wajinga eti Tanzania inaongoza kwa uwingi wa uranium. Haelewi hata tofauti ya proved, indicated na proble reserves. Anasema eti Tanzania ina reserve ya tani laki 8! Huo...
  6. ANKO JEI

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Habari wakuu, naombeni msaada wa haraka kwa ufafanuzi au ushauri. Nimekua na passion ya kuja kufundisha vyuo vikuu kwa muda sasa, lakini kuna jambo linanitatiza hapa. Undergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2) Naomba izingatie hii GPA. Kozi hii haikuwa passion yangu, nilisoma...
  7. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Aliona sifa kuvaa nguo ya jeshi wakati wa maadamano

    https://youtube.com/shorts/pPZAeqHderM?si=vw04-V9jiV-rFFY1
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Sifa za Range Rover SUVs za Kisasa zenye Ulinzi Maalum kwa Viongozi wa Kitaifa

    Magari mapya ya VVIP aina ya Range Rover SUVs huja na teknolojia ya kisasa yenye ulinzi wa juu unaojumuisha ballistic protection ya B6+ hadi B7, vioo vinavyostahimili risasi, run-flat tires zinazoruhusu gari kuendelea na safari hata likipigwa risasi, kinga dhidi ya milipuko, pamoja na mfumo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu wa biblia na quran anapewa sifa ambazo hana?

    Ni Mungu mwenye huruma... Ni Mungu mwenye nguvu.... Kweli huyu ni Mungu wa mchongo.
  10. 888I

    JamiiForums Tanzania 🧐Magari ya Rais Samia: Msaada JamiiForums! Hizi Range Rover za Misafara Zina Sifa Gani Hasa?

    Ndugu Zangu Wanajukwaa! Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake. Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Sifa Kuu za Mwanamke Mwema wa Kuolewa kwa Mujibu wa Qur’an na Sunnah

    🕌 MUHTASARI: SIFA ZA MWANAMKE MWEMA KWA AJILI YA NDOA (KWA MUJIBU WA QUR’AN NA SUNNAH) 1. Mwenye Imani na Uchamungu (Taqwa) Qur’an: An-Nur 24:26 — “Wanawake wema ni kwa wanaume wema, na wanaume wema ni kwa wanawake wema...” Al-Baqara 2:221 — “Wala msiwaoe washirikina mpaka waamini; kwa hakika...
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Sifa na kiburi kikizidi

    Wakristo mnasemaje hapo?!
  13. Stability

    JamiiForums Tanzania Ila mafundi wa kihaya mna sifa

  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sifa 22 za kiongozi bora

    SIFA 22 ZA KIONGOZI BORA 1: Kiongozi Ana Hoja sio Haja( Njaa) 2: Kiongozi Anaona Mbali Sio MBELE( Kuona Kwake Sio Mwisho Wa Pua Yake) 3. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga! 4. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuku akipata mjanja ana nafasi nzuri ya kujikwamua kimaisha kupitia wapenda sifa

    Napo viral yake imekuja kipindi tete huku kwa namna fulani ikihusika moja na moja na CCM kupitia uharibufu wa mabango ya mgombea... LAKINI anaingia kwenye list ya Dr. Shaka Majaliwa mvuvi Mandonga nk CCM wangeshapita naye kitambo lakini kuna mambo mawili yanawafanya wasite japo wanamtamani...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kipa wangu wa JKT to Simba Aliy Salum alikuja na sifa hizi hizi kapewa thnkyu..jiandae kisaikolojia

    Leo nimeona thxkyu ya kijana mkoja alietutesa sana tanga Mungu fundi..tukampta bw mmoja toka jkt Bw huyu kuja bw ali saalum amepewa thxkyu Namkumbusha kipa wangu bora kabisa wa ssc uwe makini Hawao viongozi wa simba sawa na wajumbe Wanakusifia wewe ukiitika wanakugeuka kama alkysalum...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

    Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas 1: haikusanyi Kodi 2: inamzigo wa madeni (i.e deni la taifa) 3: inatumwa na wenye mali 4: inawafanyia kazi wenye mali 5: inafukuzana na vijitu...
  18. Room 28

    JamiiForums Tanzania Je, maisha ya wahadzabe ni sifa au aibu kwa nchi?

    Hivi karibuni kumezuka trend ya waandishi na Youtube duniani kote kwenda maeneo ya wahadzabe na kuwashangaa na kuwachukua video kuonesha maisha yao ikiwemo Ulaji wa nyani, uzamani wao, lugha yao isiyotamkika wala kuandikika na vingine vingi ambavyo kwa dunia ya leo ni aibu au ni kushangaa...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Luhaga Mpina hana sifa kikatiba na kikanuni kugombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani 1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4): "Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Faida 50 Unazopata Hapa Duniani Ukiamua kumfwata Yesu Kristo

    1. Anakupa amani ya moyo hata katikati ya changamoto. 2. Anakupa furaha ya kweli isiyoyumba kwa hali za maisha. 3. Anakupa hekima ya kufanya maamuzi sahihi. 4. Anakupa nguvu ya kuvumilia matatizo. 5. Anakufundisha kusamehe na kuishi kwa amani na watu. 6. Anakupa moyo wa upendo unaojenga...
Back
Top Bottom