Sifa kuu za wana JamiiForums

1.wote wana magari.
2.Wote wamefika university
3.wote wamekaa ulaya.
4.Wote wanaishi dar.
5.Wote ni piskali mademu
6. Wote ni hendome wanaume.
7. Wote wana hela.

Hao ndio wana jf ongezea yakwako.

Wewe upo kundi gani kati ya hayo uliyotaja, maana nawe ni mwanajf pia!!
 
1.wote wana magari.
2.Wote wamefika university
3.wote wamekaa ulaya.
4.Wote wanaishi dar.
5.Wote ni piskali mademu
6. Wote ni hendome wanaume.
7. Wote wana hela.

Hao ndio wana jf ongezea yakwako.
Kwenye jamii zetu hizi za kimaskini ni KOSA
1.Kusema una gari hata kama unalo
2.kusema Una degree hata kama unayo
3.Kusema Umekaa Ulaya hata kama umekaa huko
4.Kusema unakaa Dar hata kama unakaa Dar
5...
6...
7.Kusema Una hela hata kama unazo

Kwenye jamii hizi inabidi ulie njaa tu ndio mtaenda sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom