siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

    Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
  2. JamiiForums Tanzania TRA hizi namba zenu za huduma kwa wateja hazipatikani

    KWA NINI TAASISI NYINGI ZA SERIKALI ZINAWEKA NAMBA ZA SIMU ZISIZO PATIKANA KABISA KWENYE WEBSITE ZAO ?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za Mbunge kijana na somo kwa vyama vya siasa wakati wa uteuzi majina ya wabunge

    Nimeiangalia video ya Mheshimiwa mbunge wa Arumeru namna alivyopanda juu ya meza yake na kusimama miguu kichwa chini. Siwezi kusema sikushangazwa sana kama wengi walioiona video hiyo kwa mara ya kwanza. Wanaonekana wabunge waliokaa jirani yake wanashangaa wakicheka kwa kustaajabishwa. Hata sauti...
  4. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mrisho Gambo, ufisadi wako tunautambua

    BARUA YA WAZI KWA MRISHO GAMBO Asalaam Aleykum, Mheshimiwa mbunge wangu wa Arusha Mjini, kwanza nikupe pole kwa majukumu ya kututumikia wananchi wa Arusha mjini na pia najua utakua umechoka kwa ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu hapa kwetu Arusha. Mheshimiwa mimi ninayo machache ya kukwambia siku...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Siasa za Afrika na maajabu ya Martha Karua

    Huyu mama ni mgombea mwenza wa Baba Rails Omolo Odinga. 1. Ni mwanasheria kitaaluma. 2. Waziri wa muda mrefu ILA 3. HAAMINI KAMA KUNA MUNGU WALA HAJAWAHI KUKANYAGA MSIKITINI WALA KANISANI. 4. YUPO SINGLE ANAENJOY HAJAWAHI KUOLEWA, HANA MTOTO WA KUWA NA MCHUMBA. YAJAYO YANAFURAHISHA.
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania hatujaielewa siasa?

    "Siasa Ina sura Nyingi, Vijana Tubadilike Tuwe Watu Wa Logic Tukashinde Mihemko Yetu." -ntigahela, Mwanaharakati Huru. Vijana Tumekariri, Tunaendeshwa na Mihemko ya Kisiasa, Yaani Tunaamini Lugha Kali, Uhasama wa Kiitikadi ndio Upinzani Hasa, Kumbe Siasa Yenyewe Inasura nyingi, inarangi nyingi...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Kwenye siasa, ukisaliti lazima utasalitiwa

    Hiyo ni principle. Mrema alikaribishwa NCCR Marando akamwachia kiti Mrema akang’ang’ania Marando akampindua, Mbatia akampindua Marando naye kuna hatihati ya kupinduliwa na kina Selasini. Mrema, Lwamwai waliokuwa NCCR wakakimbilia TLP wakamnyang’anya chama Ngawaiya, Mrema naye akataka...
  8. JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama

    Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza. ======= Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Hosea hali ni ngumu uchaguzi mkuu TLS, ulipaswa kuelewa kazi ya TLS Toka unaingia ofisini; usiwahadae wapiga kura na press release

    Mara kadhaa Prof. Hosea alipokuwa anaulizwa kuhusu msimamo wa TLS issue ya akina Halima Mdee alikataa kutoa msimamo wa chama hicho Cha kitaaluma. Ameona uchaguzi umekaribia na wapinzani wake wameelekea kushinda ameamua kupingana na msimamo wa Bunge, Mahakama na Serikali na kuja na msimamo wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe angekuwa makini angejikita zaidi kwenye kuwaendeleza na kuwapatia elimu ya siasa na uraia wanachama wake vyuoni

    Siasa ya karne hii inahitaji elimu ili uweze kupambanua mambo na kuwa na hoja za msingi. Vijana wa CHADEMA wengi elimu yao ni duni sana na ni watu wa kulalama kwa mkumbo tu bila kutumia akili sababu elimu ni hakuna. Spika amezingatia misingi ya katiba maana hawezi kuenda kinyume na katiba...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Marekani wamekata tamaa na siasa

    Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti wa vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 29 nchini Marekani yaliyotolewa Aprili 25 na Taasisi ya Siasa ya Kennedy ya chuo kikuu cha Harvard HKS, 36% ya waliohojiwa wanaona kuwa "shughuli za kisiasa ni nadra kuzaa matokeo halisi", na 42% ya waliohojiwa walisema kura...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania itapata maendeleo makubwa iwapo fedha nyingi zitawekezwa kwenye tafiti na miradi ya uzalishaji na sio kwenye siasa

    Wakuu! Tumechelewa Sana kupata maendeleo ya kweli nchini tangu tupate uhuru kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa kuliko miradi ya uzalishaji. Nchi yetu iliamua kuwa kupiga domo kwenye siasa NDIO kulipe Sana kuliko utafiti wa mbegu Mpya za kilimo na ufugaji pale SUA. Miradi ya uzalishaji...
  13. JamiiForums Tanzania Halima Mdee na vijana wengine mlio kwenye siasa, kuna maisha nje ya siasa!

    Swala la Halima linasikitisha na kufundisha pia. Halima wengi tunamfahamu kama shabiki kindakindaki wa CHADEMA tangu akiwa university nilipomfahamia Mimi. Wengi tunayafahamu yaliyotokea kwenye uchaguzi 2020. Ni mjingaa pekee anaweza kusema kwamba hawa Covid 19 waliingia bungeni kwa baraka za...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana rasmi na siasa, dini na mapenzi

    Sometimes giving up is the sign of perseverance and not the sign of weakness aliandika mwandishi wa habari mwanamama wa uingereza Reni Eddo-Lodge kwenye kitabu chake cha why i'm no longer talking to white people about race, akiwa anaelezea white supremacy and structual disadvantage of black...
  15. JamiiForums Tanzania Job Ndugai kustaafu siasa ni pigo kubwa kwa CHADEMA - 2025

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu mzee wetu kama ilivyo desturi ya chama chetu. Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA mnawaharibu vijana na uukuzi wao wa kitaaluma kwa kuwadanganya siasa ni taaluma

    Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi waliyopoteza wamama wabunge 19 katika siasa zetu

    Ninasikia kulikua na nguvu kubwa iliyotumika kuwashawishi mama zetu mpaka kufikia kuapishwa kwenye garage kule Dodoma na kuitwa wabunge wa Upinzani bungeni. Hata kama walitishwa kwa mtutu wa bunduki, ile ilikua chance ya 19 kuomba hifadhi ya ukimbizi nchi yeyote ile duniani. Wangeutumia muda...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe ni master wa siasa Tanzania tumpe pongezi

    Wanaukumbi. Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
  19. JamiiForums Tanzania Education is politics

    There is a raging debate on education in Tanzania at the moment. This is as it should be. But there is a lack of clarity on foundational matters. The political elite is blaming curricula for the woes in education. But we are in fact using the same kinds of curricula that are being used in...
  20. JamiiForums Tanzania Suala la mafuta ni siasa na ni janga la dunia nzima, tuvumilie tutavuka tu

    Ni janga la dunia nzima, tutulie tutavuka tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…