siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Wadau wapendekeza mambo 12 mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi na Vyama vya Siasa

    Kwa kifupi; 1. Matokeo ya urais kuruhusiwa kupingwa mahakamani. 2. Mfumo kuruhusu Mgombea binafsi. 3. Kuwepo kigezo cha 50 + 1 kwa mshindi. 4. Kuwe na uwakilishi sawa wa 50/50 kwa jinsia zote. 5. Jeshi la polisi kutoingilia shughuli za vyama vya siasa kabla, wakati na baada ya uchaguzi. 6...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa kwa maisha ya watu, Rais Samia hajaondoa tatizo la maji Dar na Pwani

    Watanzania tuache siasa za ngiriba ngiba hizi, Hivi mnasema ameondoa tatizo, mnajua kuna sehemu ndani ya wilaya Ubungo tufanye wilaya ya Kinondoni ya zamani hazina maji kabisa? Mfano eneo kama King'azi? Kifuru na Hali ya hewa haya maeneo zamani yalikuwa wilaya ya Kinondoni, kwa ngiriba za...
  3. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anapokea taarifa ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa leo tarehe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo naunga mkono siasa za Msukuma na Kishimba wasomi wa Darasa la Saba, hawa maprofesa wanaliangamiza taifa

    Ni bora akina Msukuma na Kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama Manyele hapa nchini. Elimu zao hazisaidii nchi... Ng'ombe kutoa kinyesi cha kg25 kwa wakati mmoja na mkojo lita 20 ni kioja kingine kwa taifa. Huyu jamaa TAKURURU kwa nchi zinazojielewa wangekuwa washaanza...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kupenyezwa kwa Yanga kwenye siasa ni issue ya GSM na Makonda?!

    Jana tasnia ya soka ilishangazwa na timu ya Yanga kujiingiza kwenye siasa za vyama. Ninajaribu tu kuwaza nje ya box. Wote tumeshuhudia sakata la Makonda na GSM kutapeliana kiwanja. Je,nitakuwa sahihi nikisema GSM ameamua kuitumia Yanga kujipenyeza na kumpigia kampeni mama Samia ili kupata...
  6. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania, propaganda ni kitu cha kawaida sana

    Wanabodi, Kweli tumetimiza mwaka mmoja tangu Rais Samia aingie madarakani. Shangwe na vigelegele kila tunapo kumbushwa kuhusu miradi inayo endelea kusimamiwa na Rais. Mema yamefanyika, tuendelee kusubiria mambo mengine makubwa kutoka kwa serikali ya awamu ya sita. Katika haya yote, kitu...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamezoea harakati zisizo na mashiko ndio aina ya siasa walizozoea

    Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma. Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuliponya Taifa dhidi ya siasa za chuki na roho mbaya

    Alitumbuliwa Marehemu Mwele Malechela kwa kusimamia tu profession yake ikapelekea kutumbuliwa eti ateseke Akatumbuliwa Rawrence Mafuru kwa kusema tu serikali kujiondoa kwenye mfumo wa benki binafsi kungeweka sekta ya fedha matatani. Ingawa aliondolewa Ila maneno yake yalitimia. Kwa miaka 3...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Funzo Siasa ni watu sio Cheo!

    Wakati Mbowe amefutiwa mashitaka, umekutana na Rais, amepata support mpaka za balozi , makanisa na viongozi wengine wa dini. Kwa upande mwingine Ndugai anajificha hata hataki kuonekana, hakuna mtu ana mjali alipo,. Hii ni kutokana na Ndugai kushiba cheo na kujiaminisha kama vile ana nguvu...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa zilenge kusahihisha tulikopita

    Nimesikia Rais ameagiza Waziri kuandaa kanuni za mikutano ya vyama vya siasa na hapa ndipo tunatakiwa kurejea katika historia yetu na kujiuliza tumekuwa na changamoto gani mpaka hapa tulipo na kanuni hizi zilenge kutoa majibu. Tukirudi katika historia tunaambiwa miaka ya 60 na 70 tulikuwa na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uhuru na Siasa Tanzania

    Tanzania bado ina shida kubwa sana katika kipengele cha siasa. Matatizo ya siasa za Tanzania yanasababishwa na Mambo makuu yafuatayo; 1) Katiba yetu imepitwa na wakati 2) Katiba za vyama vya siasa vyote Ni kandamizi kuliko hata Katiba ya nchi 3) Unafiki na ubinafsi 4) Mihemko na uelewa mdogo...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza kuandaliwe Kanuni za Mikutano ya Vyama vya Siasa Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kwa kushirikiana na Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) ameagizwa kuandaa kanuni zitakazoelekeza namna ya kufanya mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa. Rais Samia ameelekeza hayo baada va kupokea...
  13. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya 6 kuanza kuwapa wafungwa mitaji. Hii ndio "legacy" itakayoishi daima

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Kuelekea kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia S. Hassan, nimekutana na hii habari iliyonikosha sana. Kwamba Serikali ya mama itaanza kutoa motisha na mitaji ya fedha na vifaa kwa wafungwa wanaomaliza vifungo vyao. Kwa kuanzia wataanza na gereza kuu la mkoa wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

    Sasa ni rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani. Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kutafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa. Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hali ya ushiriki wa Wanawake katika masuala ya siasa na ngazi za maamuzi Afrika hususan Tanzania

    Muamko wa Wanawake katika siasa na ngazi za kufanya maamuzi umekuwa finyu katika jamii nyingi ulimwenguni. Wanaume kwa idadi kubwa wamekuwa wepesi kushiriki katika kuwania na kutwaa nafasi za uongozi hususani ngazi za kufanya maamuzi. Makala hii fupi iliyotolewa na HakiZetu inajaribu kuangaza...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni hitaji la Wananchi, vyama vya siasa ama?

    Habari zenu wana jukwaa letu pendwa JF. Nimejiuliza swali hili bila kupata jibu la kuridhisha fikra zangu na hivyo ninadhani ni busara kushirikisha wana jukwaa. Madai ya Katiba Mpya ni nani hasa mhusika wake?Je,ni wananchi,vyama vya siasa au? Nauliza kwa kuwa sasa ni dhahiri kuwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wakati mgumu kwa machawa wa siasa

    Kuna viongozi wengi walikuwa wanategemea mgawanyiko na ugomvi wa Magufuli na upinzani. Hawa ni machawa wa usalama, Polisi na wanasiasa wanaotafuta nafasi. Hawa ni wale watu ambao kiundani hawajali Tanzania bali matumbo yao zaidi. Sasa Rais Samia anaongea na upinzani moja kwa moja bila...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Tufungue Ukurasa Mpya: Tujifunze siasa za Kenya. Leo Uhuru anampigia kampeni Odinga

    Kitendo Rais Samia Suluhu kukutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe huenda kikafungua ukurasa mpya katika siasa za Tanzania. Inasemwa kuwa kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu. Tukubali katika eneo la Afrika Mashariki na Kati kisiasa Kenya...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ni Mwanasiasa yupi kati ya hawa Wawili Wewe utampenda, utamheshimu na hata Kumuombea Mema katika Siasa?

    Mwanasiasa A Ambaye amekamatwa, kabambikiwa Kesi mbaya, Kachafuliwa, Kafilisiwa, Kateswa na Kanyanyasika huku akiwa amekaa muda mwingi Jela na akiombwa aombe Radhi ili aachiwe na anakataa mpaka Haki dhidi yake itendeke na ikitendeka akitoka hajipendekezi bali anaendelea Kuuwasha Moto wake ule...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Magufuli muelewe, siasa zenu hazina nafasi tena nchi hii, ila wapinzani nao wana wajibu

    Pamoja na matatizo mengi Tanzania ilyokuwa nayo kabla ya mwaka 2016 lakini ilikuwa katika njia nzuri na ilikuwa inapiga hatua, Then akaingia Magufuli ambaye wengi, ikiwemo mimi nilidhani atatatua matatizo mengi ya nchi yetu kwa kipindi kile Lakini Magufuli alikuja na siasa mpya ambazo...
Back
Top Bottom