siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi hapa umekosea sana, ‘contractors bashing’ unaifanya sehemu ya siasa

    Nimesikitishwa na kauli za Rais wa Zanzibar juu ya mkandarasi aliyekuwa akijenga jengo la serikali huko Zanzibar. Mwinyi naona kaingiza siasa kwenye kazi za kitaalam isivyo. Kwa muonekano tu Mkandarasi na Consultant wanatoka Bara. Sababu za kuwafuta hiyo contract haziko wazi, lakini tokana na...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu atoa angalizo kwa Mahakimu kutojihusisha na siasa na kuhusu makundi ya WhatsApp

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amewaapisha Mahakimu Wakazi wapya 20 na kuwapa angalizo kuhusu matumizi ya mitandao na marafiki wanaowazunguka Prof. Juma ametoa wito huo leo Jumamosi, tarehe 16 Julai 2022, akiwaapisha mahakimu wakazi wapya 20 Jijini Dar es Salaam. Amesema: “Ni wakati...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hizi ni siasa za kilaghai zisizo na tija kwa taifa letu. Kugawa mitundi ya gesi badala ya kukomaa JNHP ikamilike ni ni kutaka kutafuta kiki zisizofaa

    Unampa mwananchi mtungi wa gesi. Kesho kutwa hana hata pesa ya kujazia gasi huo mtungi ukiisha. Kwa nini msikomae JNHP ikakamilika alafu umeme ukashuka bei na bidhaa kushuka bei na maisha mwananchi yakawa nafuu. 👇Huu ni ulaghai usiofaa.
  4. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kuna siasa au uhalisia kwenye uvaaji wa Barakoa?

    Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua. Je, inamaanisha nini?
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ni kitu gani?

    Eti wakuu. Tunaposema jumuhuri ya Muungano wa Tanzania tunamaanisha nini? Jamhuri inamaanisha nini? Ina sifa gani? Mbali na jamhuri, kuna vitu gani vingine? Natanguliza shukrani.
  6. ward41

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli bara la Afrika lina rasilimali nyingi?

    Nimesikia watu wakisema bara la Africa Lina utajiri mkubwa wa rasilimali. Cha kushangaza ktk somasoma yangu naona kama hatumo kivile. Kwenye mafuta middle east, Canada, Russia, USA, Venezuela wanatamba. Kwenye gas ni haohao. Madini ya chuma naona china, Iran, Chile, USA wanatamba. Kwenye rare...
  7. ward41

    JamiiForums Tanzania Siasa za Uingereza: Kwanini Mawaziri Wakuu hawadumu madarakani?

    Kwa wale wenye ufahamu wa SIASA za uingereza tunaomba mtufahamishe. Ni kwanini mawaziri wakuu wa hii nchi hawadumu madarakani. Utaona muda mfupu wanajiuzulu. Tatizo ni nini? Mfano wa hivi karibuni ni John Major, Tony Blair, Gordon Brown, David Cameroon, Tereza May na Boris Johnson. Wote Hawa...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru, Mzee Bilali Waikela amefariki dunia

    Wanaukumbi. Inna lillahi waina ilayhi rajiuun Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao, Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru aliyemhami Mwalimu Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanzania)...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ni upi mchango wa wanazuoni wetu katika siasa za Tanzania? Je, wanashauri, wanaponda, wanasifia?

    Salaam Ndugu zangu, Nimekuwa nafuatilia mienendo ya wanazuoni wetu wakiwemo walimu na maprofesa wa vyuo vikuu kadhaa nchini kwetu. Nimegundua asilimia chache sana ndo inafanya kazi kwa ufasaha hasa linapokuja suala la mchango wao katika jamii kwa upande wa siasa. Wengi wetu wametekwa na mambo...
  10. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina mfumo wa vyama vingi vya siasa!

    Hivi majuzi nilitakiwa nitoe maoni kuhusu miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania tangu 1992. Ni suala ambalo naulizwa mara nyingi ila majibu yangu hayazingatiwi au hupuuzwa, pamoja na ukweli au uhalisia wa hoja zangu. Uhalisia ni kwamba Tanzania haina mfumo wa vyama vingi vya siasa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan inaleta matumaini gani kwa siasa za Tanzania?

    Uhusiano wa utawala na chama tawala kwa upande mmoja na vyama vya upinzani kwa upande mwingne, haukuwa wa kuridhisha ukiringanisha na hali ilivyo hivi sasa chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Haikuwa ni hali ya kawaida kuona viongozi wa juu wa kisiasa wenye itikadi tofauti, kuketi pamoja...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema majibu ya Baraza la Wawakilishi yalimfanya aingie kwenye Siasa. Anayajua majibu ya mawaziri wake Bunge la JMT!

    Rais Samia amesema pamoja na kupewa ushauri na mama Anna Mkapa kuingia kwenye siasa, sababu iliyomfanya kuwania nafasi kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar ambapo ndio safari yake ya kisiasa ilipoanzia ni kukerwa na majibu yaliyokuwa yanatolewa kwenye baraza hilo. Najiuliza anayajua majibu...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ushirikina bado upo sana katika siasa za Tanzania!

  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za kiswahili na kutafuta public sympathy. Mlitaka spika Tulia aongelee nini? Kila kitu kipo wazi Halima na wanzake ni wabunge

    Acheni kuwa mnaongea pumba bana 👇
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naona sasa mmeelewa kuwa siasa sio chuki au papara za mkumbo. Visasi na mihemuko imekuwa inawaghalimu sana nyie.

    Mambo mengi mnafanya kwa mihemuko bila kujua backstage ishu ziko vipi. Ndio maana mwamba analamba asali huku mkibaki mnapiga miayo. Sasa mlidhani mtawakomoa? Subirini mpaka mtapokuwa na akili timamu ndio mtajua siasa sio mihemuko Acheni mihemuko ya kisiasa
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti 'wakongwe' vyama vya siasa wanaopigania demokrasia

    Ni katika kutafakari siasa za Tanzania na muelekeo mzima. Nikajikuta nikitafakari muda wote ambao viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakishikilia hatamu za uongozi pasipo kuonyesha kuchoka, na wakiwa wepesi kurusha kila aina ya kashfa kwa chama tawala. Freeman Mbowe aliingia katika uongozi...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkulima na CCM nani anastahili ruzuku?

    Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati ruzuku ya pembejeo. Kati ya mkulima na vyama vya siasa nani anastahili ruzuku?
  19. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Siasa toeni elimu juu ya maumivu tarajiwa ya bajeti 2022-2023

    Ukifuatilia mitandaoni na kwenye vyombo mbali mbali vya habari utaona watu/waandishi wa habari wengi (wenye weredi mdogo wa uchambuzi wa masuala ya bajeti) wakiandika na kusifia yale mema tu waliyoyaona kwenye bajeti ya mwaka huu (2022) vitu kama kuondoa/kusitisha ada za wanafunzi wa kidato cha...
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Siasa isiingilie Uber na Bolt zipunguze gharama kwa wateja

    Tunajua Serikali inataka kupata mapato lakini kuna huduma mhimu kama usafirishaji na nishati nashauri zisingeguswa! Mfano Bolt miezi michache iliyopita mtu ukiwa na 20,000 unaweza kufanya safari 5 au 6 , kwa sasa 20,000 ni safari 1 tu na chenji inabaki kidogo ambayo huwezi itumia kwa safari...
Back
Top Bottom