siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Complicator

    Ni wapi kwenye Biblia inataja asili ya mtu mweusi?

    Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
  2. T

    Mohamed Said ana siasa za kulialia

    Nilikuwa nasikiliza kipindi cha maoni kinachorushwa na DW, ndipo nikamsikia huyu mtu anaitwa Mohamed Said akitoa maoni yake kuhusu miaka 60 ya uhuru, ingawa kabla nimewahi kusoma makala zake kadhaa, sikufikiri kwamba kwa ukubwa wa changamoto tulizonazo leo pamoja na mabadiliko makubwa ya kielimu...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Katika maisha yako ya Siasa; Epuka mambo haya

    KATIKA MAISHA YAKO YA SIASA EPUKA MAMBO HAYA; Kwa Mkono wa Robert Heriel. Endapo utapenda uongozi na utawala, mpaka ikakubidi kujiingiza kwenye mapito ya kisiasa, basi nakusihi Epuka mambo haya ili uwe na Amani hata siku ujapoondoka duniani. 1. Epuka kumwaga Damu isiyo na hatia. Fanya...
  4. B

    Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu

    Kuelekea ule mkutano wa vyama vya siasa: 1. Chadema hawa hapa: 2. NCCR nao hawa hapa: Hadi siku ya siku mbona kitaeleweka tu? ZZK na bwana Nondo namna gani pale?
  5. britanicca

    Siamini katika Siasa za unafiki, Polepole unakosea sana we pamoja na kikundi nyuma yako! Tunajua yote haya

    Wanajamvi mnanielewa vema kwenye masuala ya msingi siyumbagi na kuangalia Kama ama Nina rafiki ataonaje msimamo wangu! Polepole na uongo na siasa za ujanja janja Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje...
  6. U

    Siasa pembeni, Polepole Vs Nape? Nani kichwa

    Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo: 1...
  7. Sanyambila

    Madarasa kujengwa ndani ya mwezi mmoja inawezekana au ndo siasa?

    Wadau habari za majukumu Napenda nianze kwa kumpongeza Rais wetu Samia kwa kuona changamoto ya upungufu wa madarasa nchini Na ndiyo maana alipo pata pesa za IMF Kupambana na COVID-19 akazipeleka mashuleni kila wilaya kujenga madarasa mapya sasa maagizo ndo tatizo. Madarasa hayo yameamuriwa...
  8. Suzy Elias

    Chongolo: Popote Duniani muda wa porojo za siasa ni kipindi cha kampeni pekee

    "...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi." "...sasa huu utamaduni wa eti kila wakati wanasiasa wafanye siasa hata huko Duniani haupo na...
  9. Mzalendo Uchwara

    Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

    Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba. Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba. Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
  10. mngony

    Wakongwe wa siasa naomba mtusaidie kuwatambua wanasiasa hawa

    Habari za mwisho wa Juma wakubwa ma wadogo. Waswahili wanasema kuuliza si ujinga, jana kulifanyika kongamano la kumuenzi Mzee Moses Nnauye, Mwanasiasa Mkongwe na pia Brigedia Mstaafu katika safu ya mbele ya wasikilizaji ambao bila shaka ni viongozi wastaafu wako baadhi nimeshindwa kuwatambua...
  11. Baraka Mina

    Chongolo: Kazi ya siasa sio uongo bali ni kuombeana mema

    =AZUUWd1OU7Rl6vvdDQtiwHMSxmWBB8ij45C04oMwTuY3Udqu5PlqIE0kP2mmadVRrgnAYhcXxUHlxET6Hh9KgDEXWLPj4mHzw-2HDXNV4KApOz4YZCdwpuxXNul2E7DX6Xa6OeOddumzlq5XMxB-Jun9&tn=*NK-R']#NUKUU YA WIKI: Kutoka kwa Ndg. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi. "Kazi ya siasa sio uongo, majungu, fitina...
  12. beth

    Jeshi la Sudan lasema litaachana Siasa baada ya Uchaguzi kufanyika mwaka 2023

    Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema Jeshi litaacha kujishughulisha na Siasa baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 2023 Kamati za Upinzani na Vyama vya Siasa vimekuwa vinatoa wito kwa Jeshi kuacha madaraka, na wamekataa maelewano yoyote yakiwemo makubaliano na...
  13. Q

    Rais Samia kuwa mgeni rasmi Mkutano wa Vyama vya Siasa - Desemba 16

    Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa vyama vya siasa pamoja na wadau mbalimbali wa siasa. Mkutano huo ambao awali ulitakiwa kufanyika Oktoba 21, mwaka huu lakini ukahairishwa, imeelezwa kuwa utafanyika Desemba...
  14. T

    Siasa ya Afrika inaongozwa na njaa. Hata wapinzani wanatumwa na njaa

    Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu. Nimejaribu kuangalia mataifa yaliyojaribu kubadili vyama, ukweli ni kwamba hakukuwa na jipya malalamiko ya wananchi yalibaki pale pale...
  15. mgt software

    Moses Machali Mkuu wa Wilaya Kigeugeu asiyetabilika, harakati zake za siasa zinaangalia upepo ulipovumia

    Wana JF Kama ulikuwa hujui watu waliokuwa wanaaminika kwa misimamo dhabiti ni watu wa kigoma, hawa jamaa huko nyuma walikuwa vyuma sana kupinga uthalimu wowote ule uliokuwa unafanywa na serikali, walikuwa wakali wa hoja, waliaminika sana Kupita maelezo, ugonjwa wa usaliti ulioanzishwa na Dr...
  16. mugah di matheo

    Tanzania na kwenye siasa zetu kuna hidden position (vyeo vya kisirisiri)?

    Ukichunguza kiundani zaidi nchini Mwetu utagundua Kuna Vyeo ambavyo havisemwi na havipo kikatiba ila kiutendaji vipo Tuangalie mifano hii Makonda na Unaibu rais Makonda katika ubora wake alikuwa zaidi ya mkuu wa mkoa wa kawaida maana alikuwa na uwezo wa kumfukea hata Pm hivyo alikuwa juu yake...
  17. T

    Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nini wajibu wake?

    Nini majukumu ya kila siku ya Ofisi hii ya msajili wa vyama vya siasa ikiwa vyama havifanyi kazi za siasa Nchini. Inakuwaje Mwenyekiti wa chama kimojawapo anatoa tamko shughuli za siasa hadi apende yeye. Ofisi hii ikaungane na Rita kupunguza matumizi ya fedha.Msajili asiwe mteule wa Rais
  18. I

    Bashiru Ally Kakulwa mwanataaluma ya sayansi ya siasa asiyejua siasa

    Huyu so mwingine ni a Bashiru Ali kakulwa. Huyu bwana Hana kitu kichwani kabisa sijui ile GPA aliipataje labda alivua Pichu au alikalili tu. Yeye anajua kufokafoka tu Hana ushawishi kabisa. Hivi ile shule ya uongozi waliyoianzisha na polepole imeishia wapi, au ndo dhana ile ile kwamba hawana...
  19. Suzy Elias

    Hivi kuna ubaya gani tukifanya siasa za kuvumiliana pasi na kuumizana?

    Kwanini CCM hutumia gharama za aina yeyote ili tu kubakia madarakani kipi wanahofia endapo watapatikana wengine kuongoza nchini? Yanini tunakubali kujiandalia kisasi cha haja kwa mambo ambayo yanaepukika jsmani? Kwani leo akitawala CCM na kesho NCCR keshokutwa Chadema kuna ubaya gani? Hivi...
  20. Baraka21

    Afrika tuige siasa kama hizi

Back
Top Bottom