Kenya 2022 Siasa za Afrika na maajabu ya Martha Karua

Kenya 2022 General Election

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
1,724
4,045
Huyu mama ni mgombea mwenza wa Baba Rails Omolo Odinga.
1. Ni mwanasheria kitaaluma.
2. Waziri wa muda mrefu
ILA
3. HAAMINI KAMA KUNA MUNGU WALA HAJAWAHI KUKANYAGA MSIKITINI WALA KANISANI.
4. YUPO SINGLE ANAENJOY HAJAWAHI KUOLEWA, HANA MTOTO WA KUWA NA MCHUMBA.

YAJAYO YANAFURAHISHA.
 
Jembe hili hapa
FB_IMG_16533952178356861.jpg
 
Kwahio Mababu zetu waliopigana na Kupinga hizi Dini zilizoletwa nao wao walikuwa wanakasoro ?, Imani ya mtu ni ya kwake binafsi Kutaka mtu awe na Imani kama wewe ni kukosa ustaarabu na ndio mwanzo wa mifarakano isiyo na tija...

Au anagombania kuwa Askofu au Sheikh ?
 
Huyu mama ni mgombea mwenza wa Baba Rails Omolo Odinga.
1. Ni mwanasheria kitaaluma.
2. Waziri wa muda mrefu
ILA
3. HAAMINI KAMA KUNA MUNGU WALA HAJAWAHI KUKANYAGA MSIKITINI WALA KANISANI.
4. YUPO SINGLE ANAENJOY HAJAWAHI KUOLEWA, HANA MTOTO WA KUWA NA MCHUMBA.

YAJAYO YANAFURAHISHA.
Martha Karua ana mtoto, ni mcha Mungu ila ni mwanamke kiburi kupitiliza.... sitakaa nimsahau huyu mama nafkiri hata marehemu Mkapa huko aliko hatokaa amsahau.
 
Kwahio Mababu zetu waliopigana na Kupinga hizi Dini zilizoletwa nao wao walikuwa wanakasoro ?, Imani ya mtu ni ya kwake binafsi Kutaka mtu awe na Imani kama wewe ni kukosa ustaarabu na ndio mwanzo wa mifarakano isiyo na tija...
Kama ukweli vile
 
Huyo ndiyo anayetakiwa na globalist nwo, kuna mpango wa kupunguza watu Afrika na Duniani kwa ujumla uko jikoni kama haujaanza bado, huyo ndio raisi ajaye kama hayo ulioyaorodhesha ni ya kweli, …
 
Huyu mama ni mgombea mwenza wa Baba Rails Omolo Odinga.
1. Ni mwanasheria kitaaluma.
2. Waziri wa muda mrefu
ILA
3. HAAMINI KAMA KUNA MUNGU WALA HAJAWAHI KUKANYAGA MSIKITINI WALA KANISANI.
4. YUPO SINGLE ANAENJOY HAJAWAHI KUOLEWA, HANA MTOTO WA KUWA NA MCHUMBA.

YAJAYO YANAFURAHISHA.
Type hii ndo wenye dunia yao uwataka.
Iwe shoga au lesbian wanakupa uongozi.
Yeye na Odinga ndio washika mpini ,kwa mujibu wa siri za duniani.
Trump alipingana na ajenda za mashoga na corona.Wakampa one time president
 
Kkkkk washika mpini. Wazee wa Ulimwengu wa Giza.
 
Ilipotokea Vurugu Kenya kwenye ule uchaguzi Kikwete alimtuma Mkapa kwenda kusuluhisha tukiwemo sie maafisa wa MFA enzi hizo. Huyu mama alimtukana mzee Mkapa matusi ya nguoni.
Duh, hafai kabisa huyo.
 
Huyo ndiyo anayetakiwa na globalist nwo, kuna mpango wa kupunguza watu Afrika na Duniani kwa ujumla uko jikoni kama haujaanza bado, huyo ndio raisi ajaye kama hayo ulioyaorodhesha ni ya kweli, …
Na wenyewe wamesema Omolo atafia madarakani KUISHA Martha ashike usukani. Hatari na nusu.
 
Huyu mama ni mgombea mwenza wa Baba Rails Omolo Odinga.
1. Ni mwanasheria kitaaluma.
2. Waziri wa muda mrefu
ILA
3. HAAMINI KAMA KUNA MUNGU WALA HAJAWAHI KUKANYAGA MSIKITINI WALA KANISANI.
4. YUPO SINGLE ANAENJOY HAJAWAHI KUOLEWA, HANA MTOTO WA KUWA NA MCHUMBA.

YAJAYO YANAFURAHISHA.
Kwani anagombea uaskofu mkuu wa kenya?

Mbona mama yenu anapuyanga bila mume na hamuongelei na mnasema anaupiga mwingi?

Pale Ikulu sio sehemu ya maombi wala mapenzi.

Bali kusimamia na kutekeleza sera za nchi kulingana na ilani yao ya uchaguzi,itakayowaingiza wao madarakani.
 
Back
Top Bottom