siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni master wa siasa Tanzania tumpe pongezi

    Wanaukumbi. Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
  2. Augustine Moshi

    JamiiForums Tanzania Education is politics

    There is a raging debate on education in Tanzania at the moment. This is as it should be. But there is a lack of clarity on foundational matters. The political elite is blaming curricula for the woes in education. But we are in fact using the same kinds of curricula that are being used in...
  3. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Suala la mafuta ni siasa na ni janga la dunia nzima, tuvumilie tutavuka tu

    Ni janga la dunia nzima, tutulie tutavuka tu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania, Shilingi ya Tanzania na Maisha ya Watanzania

    Habari wana JF Nimejaribu kufuatilia kwa undani sana suala la shilingi ya Tanzania ukilinganisha na dollar pendwa ya Kimarekani ,kwanza tumsikilize huyu kiongozi kuhusu shilingi ya Unguja. Kama umsikia kwa Umakini kipindi hicho Shilingi 1 ilikuwa na thamani sana kulinganisha na Sasa, Lakini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usihudhurie Baraza la Iddi ili kukomesha siasa katika dini

    Ndugu Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Zilikuwepo taarifa hapa nchini kuwa Mwezi wa kuhitimisha mfungo mtukufu wa Ramadhani umeonekana katika baadhi ya maeneo nchini (Kagera ni mmojawapo) jioni ya tarehe 1/5/2022, Lakini viongozi wakuu wa BAKWATA hawakuutangazia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM mnapongeza wafanyakazi kuongezwa mishahara kwani imeongezwa tayari? Acheni siasa za kitapeli

    Wewe mwenezi wa CCM taifa unajitambua kweli? Mishahara haijaongezwa maana bado kuna majadiliano wewe unaleta uongo.
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania CCM ifanye siasa za haki

    Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote vinazingatia kuibakiza CCM madarakani watu wapende wasipende, Waichague au waikatae, wanaCCM na...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni. Kipaumbele itakuwa kupambania Katiba mpya na mikutano ya siasa ya hadhara.

    Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva. Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi 👇Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
  9. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kwanini siasa za Tanzania zimeegamia kujadili yaliyopita

    Habari wakuu, Sio lengo langu kufundisha mamlaka husika namna ya utendaji wa majukumu yao wala kuelekeza nini cha kufanya lakini mimi pia sio mwanasiasa, mahusiano yangu na serikali yapo upande wa ulipaji kodi pekee nawapa chao nabaki na changu. Mapema leo nimeona nami nitoe maoni yangu kuhusu...
  10. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Njiapanda kuelekea siasa safi na uongozi bora: Kutoka kutumia 'msuli' hadi siasa za 'ushawishi'.

    Ukweli ni kwamba kwa dunia ya sasa ili kufanikiwa , inatakiwa kutumia akili na ushawishi mwingi huku ukitumia nguvu kidogo sana au usitumie nguvu kabisa. Ukifanya kinyume chake yaani kutumia nguvu za tembo na ushawishi sungura huwezi kuwa na mafanikio ya maana sana. Angalau moja ya mambo ya...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wadau wa Demokrasia: Kikosi Kazi chawaita wenye maoni kuyawasilisha

    Walio na Maoni kuhusu masuala mbalimbali yaliyoainishwa baada ya Mkutano wa Wadau wa Demokrasia uliofunguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Desemba 2021 wametakiwa kuyawasilisha kwa Kikosi Kazi kilichoundwa Masuala makuu 9 yaliyoainishwa na Kikosi hicho ili kuwasilishwa Serikalini na kufanyiwa...
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Suala la Wamachinga halihitaji siasa; Hatua za kuwapanga zilizochukuliwa sasa ni sahihi

    Nimefuatilia mijadala ya Wabunge wiki hii; wengi wa waheshimiwa Wabunge wanatetea hatua zilizochukuliwa ikiwemo kuwaweka MACHINGA kwenye maeneo maalum ya biashara. WENGI wa hawa Waheshimiwa wabunge wanapendekeza machinga waruhusiwe ETI KUWAFUATA WATEJA. Tukiruhusu hiki kinachopendekezwa na...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kufanya siasa yahitaji afya ya akili kubwa, Uongozi wa ACT Wazalendo chini ya Zitto, akili hiyo hawana, ila kutumia frusa wanaweza!

    Wasalaam Mimi si mwandishi mzuri, lakini twende hivi! Mbali na kwamba Chadema siipendi hasa kwa tukio la 2015, lakini hawa jamaa wanauongozi wenye watu waliojaliwa kuwa na akili kubwa sana, Hawa watu, wamepitia mambo magumu mno mbali na kuwa na ushawishi Mkubwa kwa jamii, lakini hakuna...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Siasa; Hakuna Siasa bila uonevu

    Herehoa! Siasa zilianzishwa Kwa maslahi ya viongozi na watu wapendao utawala! Biashara zilianzishwa Kwa maslahi ya wafanyabiashara kujipatia faida! Mtu huanzisha kitu Kwa maslahi yake au kundi litakalomuunga Mkono! Mtu Fulani huweza kuamua kutaka kuongoza wengine na kupigania maslahi ya jamii...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

    Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha Rais bora hakipimwi na wanyonge, Wanyonge hawaelewi chochote kuhusu siasa wala uchumi

    Naona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli Lakini hebu tuwaangalie hawa wanyonge ni watu gani.. Wanyonge wanasemwa kuwa ni watu wa kipato kidogo wasio na ajira rasmi wala elimu kubwa, hata hapa JF...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya siasa na soka, Simba wametukosea sana Watanzania

    Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini. Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi. Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na...
  18. Aaron Arsenal

    JamiiForums Tanzania Siasa na Dini katika moja na kuja kwa Maitreya

    Toka wakati ule wanadamu wameanza kusimika tawala zao duniani siasa na dini ilikuwa katika sarafu moja. Mfalme alikuwa ni mkuu wa serikali na kuhani kwa wakati mmoja, ni katika nchi ya Israeli pekee mfalme hakuruhusiwa kuwa kuhani, na kuhani hakuruhusiwa kuwa mfalme. Hizo nyanja mbili...
  19. Nguruvi3

    JamiiForums Tanzania Siasa: April 2020 imebeba ujumbe mzito!

    Katika aliyofanya Rais SSH tangu achukue madaraka ni 'kuacha watu waonge' . Rais alisema watu wakiongea viongozi wanaelewa nini kinaongelewa. Katika kufungua uhuru wa maoni/habari uliofinyangwa miaka sita amefanya vizuri. Kwa hatua hiyo Rais anapata faida ya ziada ya kuelewa kilichopo akilini...
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania CCM ya Kinana lazima italipa kisasi

    Ni suala la wakati tu. Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu. CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama ilikuwa stahiki yao la mno na hakika ni kwamba iwe kwa kutaka wao ama kwa kulazimishwa na chawa wao...
Back
Top Bottom