TTCL shirika linalohujumiwa kiutendaji na siasa

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
Kati ya mashirika yaliyotakiwa kua makubwa ni TTCL lakini unaweza kwenda pale kutaka huduma ukapatiwa huduma baada ya wiki 3 ama mwezi 1.

Shirika limekua likihujumiwa kisiaasa watendaji wanaowekwa pale wako Political Oriented zaidi kuliko Business Oriented.

Tukumbuke ndio shirika lenye mtandao mkubwa wa fiber cable nchini.

Tukumbuke pia ndio lenye mkongo wa mawasiliano ya internet nchini ambapo makampuni mengine yote huchukua kwake.

Kwa pale lilipo si sahihi kuwa vile
 
Back
Top Bottom