siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. N

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan inaleta matumaini gani kwa siasa za Tanzania?

    Uhusiano wa utawala na chama tawala kwa upande mmoja na vyama vya upinzani kwa upande mwingne, haukuwa wa kuridhisha ukiringanisha na hali ilivyo hivi sasa chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Haikuwa ni hali ya kawaida kuona viongozi wa juu wa kisiasa wenye itikadi tofauti, kuketi pamoja...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema majibu ya Baraza la Wawakilishi yalimfanya aingie kwenye Siasa. Anayajua majibu ya mawaziri wake Bunge la JMT!

    Rais Samia amesema pamoja na kupewa ushauri na mama Anna Mkapa kuingia kwenye siasa, sababu iliyomfanya kuwania nafasi kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar ambapo ndio safari yake ya kisiasa ilipoanzia ni kukerwa na majibu yaliyokuwa yanatolewa kwenye baraza hilo. Najiuliza anayajua majibu...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ushirikina bado upo sana katika siasa za Tanzania!

  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za kiswahili na kutafuta public sympathy. Mlitaka spika Tulia aongelee nini? Kila kitu kipo wazi Halima na wanzake ni wabunge

    Acheni kuwa mnaongea pumba bana 👇
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naona sasa mmeelewa kuwa siasa sio chuki au papara za mkumbo. Visasi na mihemuko imekuwa inawaghalimu sana nyie.

    Mambo mengi mnafanya kwa mihemuko bila kujua backstage ishu ziko vipi. Ndio maana mwamba analamba asali huku mkibaki mnapiga miayo. Sasa mlidhani mtawakomoa? Subirini mpaka mtapokuwa na akili timamu ndio mtajua siasa sio mihemuko Acheni mihemuko ya kisiasa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti 'wakongwe' vyama vya siasa wanaopigania demokrasia

    Ni katika kutafakari siasa za Tanzania na muelekeo mzima. Nikajikuta nikitafakari muda wote ambao viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakishikilia hatamu za uongozi pasipo kuonyesha kuchoka, na wakiwa wepesi kurusha kila aina ya kashfa kwa chama tawala. Freeman Mbowe aliingia katika uongozi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkulima na CCM nani anastahili ruzuku?

    Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati ruzuku ya pembejeo. Kati ya mkulima na vyama vya siasa nani anastahili ruzuku?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Siasa toeni elimu juu ya maumivu tarajiwa ya bajeti 2022-2023

    Ukifuatilia mitandaoni na kwenye vyombo mbali mbali vya habari utaona watu/waandishi wa habari wengi (wenye weredi mdogo wa uchambuzi wa masuala ya bajeti) wakiandika na kusifia yale mema tu waliyoyaona kwenye bajeti ya mwaka huu (2022) vitu kama kuondoa/kusitisha ada za wanafunzi wa kidato cha...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Siasa isiingilie Uber na Bolt zipunguze gharama kwa wateja

    Tunajua Serikali inataka kupata mapato lakini kuna huduma mhimu kama usafirishaji na nishati nashauri zisingeguswa! Mfano Bolt miezi michache iliyopita mtu ukiwa na 20,000 unaweza kufanya safari 5 au 6 , kwa sasa 20,000 ni safari 1 tu na chenji inabaki kidogo ambayo huwezi itumia kwa safari...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanashangaza Sana; hawataki kujiingiza kwenye Siasa halafu wanalaumu Wanasiasa!

    Kwema Wakuu! Napenda Siasa Kwa sababu ni mchezo wa wenye wajanja. Napenda Biashara Kwa sababu ni mchezo wa wenye bahati, napenda Fasihi na Falsafa Kwa sababu ni uwanja wa Akili na hekima. Napenda sheria Kwa sababu ni mto ubebao Haki na Dhulma. Itoshe! Watanzania wengi ni watu wa ajabu Sana...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mchezo mchafu sana, waachwe wanaoujua Waucheze

    Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :- 1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi, Lissu, Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Siasa na Sarakasi za Jiji la Dar es Salaam zina raha na Hadhi yake. Tunawamiss sana Kandoro, Makonda na Yusuph Makamba

    Kwa kweli Jiji la Dar es Salaam ni jiji kubwa na maarufu sana Duniani, lina hadhi ya kipekee, siasa za kipekee, burudani na sarakasi za kipekee hasa kutoka kwa wakazi na Viongozi wa jiji hilo pamoja na Burudani zilizopo. Kuna Muda una hitajika Ubabe, Kuna muda zinahitajika ucheshi . Kuna muda...
  14. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania kuzielewa ni vigumu sana hasa ktk masuala ya kitaalam

    Tunapozungumzia siasa, tunajumuisha mambo mengi sana. Kijamii, kiuchumi, utamaduni nk. Kwenye suala la uchumi yapo mambo mengine yanaweza kuleta athari kiafya. Kwa mfano wapo wanaosisitiza ufugaji wa kisasa kwa kutumia vyakula vyenye kemikali za ukuzaji. Au kilimo cha kutumia kemikali. Swali...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

    Wanabodi, Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest Utangulizi Kama kawaida, leo tana nimepata tena fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za kuelekea 2025 za Rais Samia. Rais Samia ameonyesha...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vya upinzani jifunzeni njia tofauti za kuomba maji ya kunywa na kupewa

    Unaweza kupewa glasi iliyojaa maji ya kunywa kwa njia tofauti. Unaweza kuomba au kuagiza upewe maji, unaweza kubembeleza au kufoka upatiwe maji ya kunywa ukapewa, na unaweza kuyachukuwa mwenyewe bila kuomba ukayapata. Njia zote hizi zina lengo moja tu la kupata maji glasi moja tu ukate kiu bila...
  17. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa siasa za CCM zimeghubikwa na makundi

    Kwa sasa siasa za CCM zimeghubikwa na makundi makubwa ambapo kundi la serikali ya awamu ya sita hasa vijana wake wanaoamini CCM ni ya kwao akiwemo NAPE MOSSES NNAUYE wanaweza kuligawa taifa kwa maneno yao kila siku kutoa maneno ya dhihaka kwa kiongozi mkubwa aliyeondoka tarehe 17 March 2021...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Unapigaje pesa kutumia siasa/chama cha siasa?

    Kumradhi wadau naomba mwenye uelewa wa kina kuhusu jambo hili anielimishe kidogo. Kwa mtazamo wangu kufanya siasa ni jambo ghali sana, hasa unapofanya siasa ukiwa hauna serikali wala wawakilishi wanaopelekea walau upate ruzuku. Ili ufanye siasa ni lazima uwe na mahali pa kuanzia yaani uwe...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Usajili wa chama cha siasa cha National Economical Reformation Socialist Party -NERP

    Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Siasa mbovu za Tanzania zimewaacha vijana wasomi wamepauka

    Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa Tanzania tuna siasa mbovu ambazo kimsingi zimechangia kuua ndoto za vijana wengi wenye fani na taaluma mbalimbali ambazo wamezihangaikia tangu wakiwa wadogo mpaka wanakuwa watu wazima. Siasa kwetu sio taaluma bali ni ajira ambayo walafi wa madaraka ( power...
Back
Top Bottom