Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
KOMREDI KAWAIDA, ATUMA SALAMU KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI, ASISITIZA KUMLINDA RAIS SAMIA NI JUKUMU LA VIJANA
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) ametuma salamu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini na kumtaka kuwachukulia hatua wale wote...
UTANGULIZI.
Bunge ni miongoni mwa vyombo vinavyounda dola,Bunge ndicho chombo kinacho wakilisha wananchi moja kwa moja kwa kuwa kina wabunge ambao wanapatikana kutokana na kura za wananchi.
Bunge ndilo linalotunga sheria kwa niaba ya wananchi,Bunge ndilo linalopitisha maazimio yote ambayo...
Hadithi mitaani ni kwamba kumbe hata Ngorongoro ilikuwa ni dili la mwarabu! Misitu MWarabu! kila kitu sasa ni mwarabu. Ni maamuzi ya rais Samia. Tuliamini ni rais mwema, CCM iliamini ina kiongozi wa Tz.
Zipo hadithi tofauti juu ya samia kuingia ktk siasa. Yeye mwenyewe alieleza safari yake kwa...
Akihojiwa na chombo kimoja cha habari, Mwanasheria Phillipo Mwakilima anemkosoa vikali Spika Tulia Ackson kwa staili yake ya kujifanya ni mtafsiri sheria na mwalimu wa sheria kila sehemu anayokuwepo.
Wakili Mwakilima, akaponda kauli za spika kuwa eti bungeni walipitisha makubaliano na siyo...
Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa maendeleo endelevu ya Tanzania. Ukosefu wa uwajibikaji na utawala bora umesababisha matatizo kadhaa katika nchi, ikiwa ni pamoja na ufisadi, ubadhirifu wa mali ya umma, na ukosefu wa haki.
Ufisadi ni tatizo kubwa nchini Tanzania. Ufisadi umesababisha...
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema kuna vyama vya siasa vipya vipatavyo 18 vimeomba kusajiliwa.
Je hali hii ni kukomaa kwa demokrasia nchini au ni fujo za kisiasa tutegemee? Je vyama vya siasa takribani 20 vilivyopo havitoshi kukidhi matarajio ya kisiasa kwa wananchi? Je kuna watu...
Majimboni kwao wengi wao hali ya wapiga kula ni ya kutisha na ugumu wa maisha unaowasumbua.
Hakika, matumbo ya wakubwa wale ukiyaona yameshiba na huenda yamebeba na hata kipolo cha kesho!
Fikiria mwananchi wa hali ya chini anavyopambana kupiga magoti na kuchuchumaa kwa kila stairi kuchimbua...
Wakuu,
Ukifanya mipango inabidi ucheze vizuri karata zako usiwe 'too obvious' kama Wazaramo wanavyosema. We ulisikia wapi maadamano ya kusifia juhudi za 'Mama' yanapingwa tena karibia na mikutano/maandamano ya upinzani kupinga mkataba wa DP World?
Ikifika tar. 22 mtaona, wataambiwa hamuwezi...
Naam, nimefuatilia miaka mingi kuona utendaji wa vyama tawala Afrika ni kama vimejisahau vinafanya mambo kijinga kabisa. Hii mara nyingi husababishwa na kutafuta fedha kwaajili ya uchaguzi ili kuhonga wapiga kura. Kilicho fanywa na serikali ya CCM Tanzania ni mfano wa mawazo ya hovyo kabisa...
Afya ni hali ya kujisikia vizuri ki mwili , ki akili ki roho na ki utu, bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote.
Ili mtu aendelee na shughuri zake za kila siku ni lazima awe na afya njema , hii ndio inaleta kichwa Pasipo afya hakuna siasa.
Afya ya mtu inapokuwa dhahifu inabidi apate matibabu ili...
Wazo hili nimelipata baada ya kupata maoni tofauti tofauti kutoka kwa baadhi ya vijana wa kitanzania tena wasomi kuhusu mchango wao katika siasa na hali halisi iliyoko kwa sasa.
Inasikitisha kuona kwamba hata wenye elimu na mwanga hawana muda wala uelewa wowote, wenye chachu na hamasa ya...
Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
Miongoni mwa udhaifu mkubwa wa mfumo wa demokrasia ni nadharia yake ya 'wengi wape'. Nadharia maarufu ya utawala inayotaka kiongozi achaguliwe na kundi kubwa la watu bila kujali wasifu au uwezo wa watu hao kwenye kuchambua ubora wa kiongozi wanayemtaka.
Viongozi wengi wanaofanikiwa kuingia...
Tofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee".
Chama cha siasa husubiri serikali ikosee na kuvuna Kura iwapo serikali itakosea Kwa kutangaza policies tofauti na serikali iliyopo ...vile vile chama cha siasa huwa...
Msingi mkubwa wa kila taifa ni ulinzi na usalama, kuweza kulinda nchi na mipaka yake ili kuhaikisha usalama unakuepo na nchi inapata amani na kuhakikisha shughuhuri zengine zinaendelea mana bila amani hakuna cha mana ivyo basi mataifa mengi duniani hutumia bajeti kubwa katika ulinzi na usalama...
1. Naanza ona mikasa, yawezaleta balaa,
Viongozi wengi tasa, kwa hoja zisizo zaa,
Hasa kwa Wana siasa, wao ni kama tabia,
Wajifanya ni matasa, wafanyacho wakijua.
2. Ni kutafuta majanga, kuvunja mzinga nyuki hi,
Mambo tunayoyalenga, mbele yataleta chuki,
Badala sisi kujenga, wengi twatafuta...
Halafu mkiambiwa mmepungukiwa madini ya akili Vichwani mwenu mnanuna na kukasirika.
CHADEMA iliyokuwa chini ya Dkt. Wilbroad Slaa ilikuwa ya uhakika, yenye Dira, Mikakati, Hamasa, Chachu ya Mabadiliko, tishio kweli kwa CCM na ilipendwa na hata sisi akina GENTAMIYCINE tusio na chama chochote...
Wakuu, Balozi mstaafu Dkt. Willbrod Peter Slaa anazungumza live kwenye Medani za Siasa Star TV.
Sababu ya kuondoka CHADEMA ilikuwa ni kumpokea Edward Lowassa kuwa mgombea Urais wa chama hicho. Dkt. Slaa amesema alizunguka nchi nzima akiutangazia umma kuwa Lowassa ni fisadi, na alimtangaza...
1. Viongozi wote wa tume ya uchaguzi wanatakiwa wachaguliwe na wananchi na wasiwe na chama chochote wala wasihudhurie vikao vya chama chochote wao wafanye kazi yao. Hivyo wajitokeze watu kadhaa kuwania nafasi hizo kisha wapigiwe kura.
2. Spika wa bunge na naibu spika wanatakiwa wachaguliwe na...
Katika quote maarufu za siasa Kuna hii ambayo inatabiri maendeleo ya nchi na watu wake.
Inasema "katika nchi ambayo utajiri wa haraka kabisa ni kuwa MWANASIASA kuliko kufanyabiashara, kulima, na kuwa mwekezaji"
Basi umasikini wa hiyo nchi mkubwa wa kutupwa kwasababu katika hiyo nchi...