Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Habari wakuu, hamjambo?
Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
Uko msamiati miongoni mwa wanazuoni wa Kikoloni kuelezea mtu ambaye kwa juhudi na maarifa yake pekee, bila usaidizi wa mtu ama mifumo au jamii fulani ya watu, huweza kufanikisha ama kufanikiwa kuinua maisha yake kwa viwango vya kushangaza. Hili laweza kuwa katika biashara, siasa na kadhalika, na...
Ikiwa tutaamua kufanya utafiti leo katika mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, TikTok na mingine, utagundua kwamba Siasa za Nchi miongoni mwa vijana zimezimia kama siyo kufa.
Content inayopandishwa mtandaoni kuhusu siasa miongoni mwa vijana hasa kwa vizazi viwili vinavyokaribiana yaani...
Mbunge wa Gairo amesema Viongozi wa Serikal Wana mtindo wa kuajiri walimu na kuwapangia vijijini kisha wanatuma vimemo wahamishiwe Mjini
Shabiby amesema Utaratibu Huu siyo mzuri na ikibidi watatoa Azimio Waziri na Watendaji wake waindolewe na kama Spika ataleta Siasa zake naye Atakaa pembeni...
CCM ndio wenye serikali, ilani ya CCM haikubaliani na matendo ya ubadhirifu. Ni wakati Sasa chama kijibainishe kwamba hao wabadhirifu wanawajibika binafsi, na chama hakikuwatuma, tena karibu wote, si wanachama wa CCM kwa mujibu wa ajira zao.
Kuanzia ngazi ya wilaya, hawa wabadhirifu tuwaandame...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)amebaini kasoro katika vyama vya siasa vikiwamo visivyo na bodi za wadhamini zenye ufanisi.
Vyama hivyo ni pamoja na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Wananchi (CUF) na Democratic Party (DP) na CCM.
Hayo yamo kwenye...
Wadau habari za easter,
Leo naandika kiufupi kabisa kuna siku nitaleta mzigo mzima humu.
Naomba niongee na vijana umri wa miaka 18-30, kundi hili halijachelewa kuamua ni wakati mzuri wa kuwa na tahadhari na lazima mjue siasa za Nchi hii ni gamble mfano wewe kijana uliyehitimu procurement pale...
SHORT COURSE YA SIASA MIEZI MITATU.
Anaandika, Robert Heriel
Mkufunzi
Najua kila mtanzania ni mwanasiasa lakini wengi wenu mnataka muwe certified. Mambo ya makaratasi au sio. Kumiliki gamba ndio Mpango mzima, asije akakudanganya mtu Cheti cha Siasa ni zaidi ya Cheti cha upolopesa.
Acha...
Taifa letu limejaliwa kuwa na wabobezi wengi katika nyanja mbali mbali kama siasa, uchumi n.k.
Nikiri kuwa siasa za nchi hii zinawaharibu wataalamu wetu wengi kwa ambao tumebahatika kumfahamu prof Kabudi kabla ya kuingia katika siasa za CCM watakubaliana na mimi kuwa huyu prof ni smart sana na...
Namkubali sana Ibrahim Rahabi akianza kuchambua sibanduki kwenye tv mpaka nachelewa kazini,,,Dogo Joseph Kenedy nae anatisha yuko full magazine,,Je,Wewe unaonaje!?
Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi
Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama
Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Vyama 6 vya Siasa vyenye Sifa ya kupata Ruzuku ya Serikali vimepokea Jumla ya tsh 17.5 bilioni
Vyama hivyo sita ni Chadema, ACT wazalendo, NCCR mageuzi, CUF, CCM na DP
Chanzo: Swahili Times
Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele!
---
Katika bajeti ya...
Nazungumza na Wana wa CDM, ACT, NCCR, CUF nk pamoja na kwamba mmesajili vyama vyenu ili kuja kukiangusha chama tawala cha CCM lkn uhalisia unaonesha mmeathiliwa sana mifumo ya kikoloni na utumwa.
(a). Kwa nini vyama hamuanzishi miradi mipya ya vitegeuchumi ili pasipo kutegemea ruzuku fedha...
Nimekuwa nikisikia hili jina la utani kwa mwanasiasa fulani. Sijajua kalengwa nani. Namaanisha hili jina la utani kabatizwa nani? Ongea kwa code usitaje jina moja kwa moja.
China ni nchi inayo ongozwa na chama cha kikomunisti.
Chama cha kikomunisti sio chama pekee kilichopo katika nchi ya China bali kuna vyama vingine nane ukiondoa chama cha kikomunisti.
Vyama hivi nane hutambulika kama vyama shauri kwa serikali na vinajumuishwa katika bunge la watu wa China...
Mtu yeyote anaweza kupata fursa nzuri na maendeleo. Zipo familia zilizo bahatika kuishi katika utajiri mkubwa.
Hiyo ni fursa ambayo wamejariwa. Changamoto ni kwamba wapo wanao amini kuwa umaskini walionao umesababishwa na matajiri waliopo.
Ndipo Watu hawa huwa na chuki dhidi ya matajiri. Na...
Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii.
Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi.
Mwanga utajadiliana na giza, na...
Msingi wa vyama vyote siasa Duniani umezaliwa ubavuni mwa vyama vya wafanyakazi. Kwa sababu kundi la vyama vya wafanyakazi wote wanakua wamesoma na werevu, ndio kundi la kwanza kuona ukandamizaji katika jamii, na kuanza kutoa elimu kwa jamii.
Vyama vya wafanyakazi mara nyingi kazi ngumu ya...
Ndio, wachache wanafaidika na siasa ya Tanzania na wengi wakiitumikia kwa hasara,
nayasema haya baada ya kujua wenzangu wanatajirika kupitia siasa bila jasho
kumbe watu mnalipwa kupitiaha agenda za wanasiasa na hamsemi?
Ndio, watu manazoa malaki kwa mamilioni ili kupromo agenda za kisiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.