siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. P

    JamiiForums Tanzania Je, kuna siasa katika utatutizi wa migogoro ya ardhi unaofanywa na Jerry Silaa?

    Mimi ni muumini wa watu wote wabunifu wanaopanga kutatua kero za wananchi. Waziri Slaa anaonekana kuwa mbunifu baada ya kuja na clinic za kutatua kero za migogoro ya ardhi. Jana akiwa Mbeya alionekana akitoa maamuzi ya mgogoro wa mtu anayeonekana ni Mchina ambaye kwa mujibu wa Waziri watu...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Money is not power in Tanzania ndiyo maana wafanyabiashara wengi huamua kuingia kwenye siasa

    Kwa baadhi ya nchi money can be power ila si Tanzania ukichunguza wafanyabiashara wengi upper mid levels na wakubwa unaona wengi wanaona pesa pekee za biashara haziwapi power. hulazimika aidha kuingia direct kwenye nafasi za siasa hasa upande wa chama tawala au indirectly kujiweka karibu na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukimtoa Mzee Kinana Safu ya Sekretariet haikubaliki na hawaijui siasa za wakati huu

    Ukweli usemwe, Kuanzia katibu mkuu, Naibu, Mwenezi wanaweza kuwa walifanya vizuri kwenye siasa nyakati zao lakini kwa sasa hapana. Historia inajirudia inanikumbusha Sekretarieti ya Katibu Mkuu Mzee Mkama na hii ya sasa wanafanana sana na hawana tofauti. Hadi sasa CCM imeingia choo cha...
  4. JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo aache kuchanganya dini na siasa, anatukera

    Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

    Habari wana-JF Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano ya kisiasa unajua nini kilibadilika baadae? Ni pale ambapo badala ya vyama vya upinzani vijikite...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

    Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote. Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri"...
  7. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Mwanasiasa bora

    Habari Wana JF, Nafahamu kuwa siasa haiangalii elimu uliyo nayo hata Kama we ni darasa la Saba una weza kuingia kwenye siasa. Mimi ni kijana nilie hitimu kidato Cha nne lkn kila siku za maisha yangu nimekuwa nikijiona sehem flan katika hii nchi japo kufikia hatua hizo imekuwa ngumu kwangu...
  8. JamiiForums Tanzania Tusiendekeze nyadhifa(titles) za kifamilia katika siasa na uongozi wa umma

    Kuitana "mama yangu", "baba yangu", "mdogo wangu", "kaka yangu", "dada yangu", "shangazi yangu", "shemeji yangu" na vyeo vingine kama hivyo katika shughuli za siasa na umma ni utamaduni mpya uliovuka mipaka, kushika kasi na sasa unaanza kukomaa. Zamani vyeo vya kifamilia ambavyo nilikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kweli sasa Shilingi yetu inazidi Kushuka thamani yake kama Chama Kimoja Kikongwe cha Siasa kinavyozidi Kushuka thamani Barani Afrika

    Kwa wale tuliosoma au kuishi Uganda miaka ya katikati ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa tulikuwa tukija Uganda na TSHS 200,000 basi huku tukizibadili tunakuwa Matajiri na Kula sana Bata maeneo ya Club Silk na Ange Noir kwani tulikuwa tunapata UGX 400,000...
  10. JamiiForums Tanzania Mo Dewji soka ni siasa na kwa Tanzania ni dini, ondoa Try Again, Mangungu na umuonye Imani. Simba fans tunakusihi kwa sababu wakati ni ukuta...

    MOHAMED DEWJI ADUI ZAKO NI TRY AGAIN NA MANGUNGU SIYO WANACHAMA WALA SI WASHABIKI WA SIMBA, UNAPOTAKA KULA LAZIMA ULIWE , WAWILI HAWA SIYO WALAJI BALI NI WALAFI,WAONDOKE SASA AMA WEWE MWENYEWE UKUBALI KUWAJIBIKA ONCE AND FOR ALL…..WASHAKUWEKA KONANI, SIMBA FANS WANAPUNGUKIWA IMANI NAWE…..EMBU...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iache kuingiza siasa kwenye mengine

    Imekuwa kawaida sasa kwa serikali kuingiza siasa katika jambo linakalibia kufanikiwa au kufikiwa, tena viongozi wa kisiasa ndo wamekuwa mbele kudandia jambo. Mfano, tumeona sekta ya michezo vilabu vyetu pendwa vimevuja jasho mpaka wanafikia hatua fulani ambayo inaweza kuipa mafanikio klabu...
  12. JamiiForums Tanzania Tuhuma za wanaharakati wa CHADEMA kupewa pesa na viongozi wa CCM zinaenda kukizamisha chama, Martin Maranja atajwa

    Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine "….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote. Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ziara ya Dkt. Biteko kituo cha huduma kwa wateja ilikuwa siasa au utendaji?

    Nasema hili kwa maana kwamba tuna tatizo la umeme mwezi mzima eneo letu, hakuna huduma ya umeme, na tushafanya ufuatiliaji wa njia zote pale Mkuranga, majibu ni kuwa tusubiri suala letu liko ngazi ya juu ya ufundi, lakini hawajawarudishia majibu ya nini kifanyike kutatua changamoto hiyo na wala...
  14. JamiiForums Tanzania Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Leo nimeshuhudia watu wakitembea kuwashawishi watu wajiunge na chama chao cha siasa, Watu hao walikuwa wawili walinifuata na mimi wakanambia nijiunge kwenye chama chao ili niwe mwanachama nipate na kadi ya chama chao huku wakinishawishi kuwa siyo gharama kubwa kulipia kadi hiyo kwa mwaka. Jambo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Emanuel Nchimbi put your words into action

    “Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress” In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
  16. JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI za Ualimu na Afya zina ukweli ndani yake au ni siasa?

    Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya. Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
  17. JamiiForums Tanzania Uturuki wajitetea kwamba matamshi yao dhidi ya Israel ilikuwa siasa tu, wasichukuliwe serious

    Kwamba jameni ile ilikua siasa tu, msiwe mnachukulia kila kitu kwa uzito. ============ While Turkish President Recep Tayyip Erdogan has been attacking Israel since the war in Gaza began, he actually wants to improve diplomatic relations with Israel, Maariv reported on Tuesday. Last week, the...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ndio wakati wa Ally Hapi kurudi kwenye ulingo wa siasa?

    Baada ya tengua na teua zilizotolewa usiku huu, je ndo wakati wa kumleta ndugu Ally Hapi kwenye ulingo wa siasa kama ilivyofanyika kwa Makonda? Let's wait and see.
  19. JamiiForums Tanzania Bashe hana jipya zaidi ya Siasa kwenye Wizara muhimu

    Kwanza I have to declare interest mimi ni mkulima wa mazao ya biashara. Na kama mkulima wizara ya kilimo ndio mlezi wangu ila kwa uongozi wa Bashe nachelea kusema tutachelewa sana. Tanzania ilikuja na wazo la kufanya mchikichi kuwa zao la biashara, ilikuwa hatua nzuri kweli na Kigoma...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

    Huyu hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…