siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Mwaliko wa vyama vya siasa Kwenda Ikulu ulikuwa ni mkakati wa kuwagawa wapinzani hasa CHADEMA na ACT-Wazalendo

    Kwa mtazamo wangu,mwaliko wa baadhi ya vyama siasa kwenda Ikulu ulikuwa ni mpango mkakati wa kuwagawa wapinzani na hasa CHADEMA na ACT-Wazalendo lengo likiwa ni kuwafanya wasiaminiane na pia ili waje wagawane kura. ACT wamealikwa sambamba na vyama vingine ambavyo baada ya kikao cha huko Ikulu...
  2. JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa kuhakikiwa nchini kabla ya Uchaguzi Mkuu

    MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amesema watafanya uhakiki wa vyama vya siasa ili kuangalia uhalali wao kabla ya kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Amesema katika uhakiki huo, vyama vya siasa ambayo vitakuwa havijakidhi vigezo na matakwa ya ofisi yake, vitakuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, kikao cha Rais na Wenyeviti wa Vyama vya siasa isipokuwa CHADEMA ni mpango wa kuzigawa kura za Urais za Tundu Lissu?

    Nimesoma mitazamo mbali mbali ya kikao hiki lakini bado sikupata mwanga wa moja kwa moja kuhusu dhumuni kuu la kikao hiki. Lissu ndio mwanasiasa pekee ambae anauzika kwa sasa kuliko wakati wote ule! Kama mbobezi wa sheria,kama mwanasiasa mwenye utashi na uwezo mkubwa wa kujieleza,mwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya anawafundisha vijana wengine nchini kwamba siasa bora ni siasa za kimafia

    Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana. SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana wengine WAKIMWELEWA itakuwa balaa kubwa Sana. Wakati nyerere aliwa groom wanasiasa Bora na kuliachia...
  5. JamiiForums Tanzania GE2010 Precedent ya 2015 haifai 2020? Siasa hazina mvuto?

    Wadau kwa tathmini huru ya mwenendo wa siasa kuanzia 2014 hadi tukielekea 2020 tunaona yafuatayo 1. Wananchi are not elastic towards politics na hii imechangiwa na kazi nyingi -- hapa kazi tu na hivyo kutokuwa na mvuto kwenye siasa. Hii imeathiri sana kuona ushabiki na undakindaki dhidi ya siasa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Munga: Chama cha siasa siyo mali ya mtu binafsi bali ni mali ya umma, Chadema zingatieni hilo

    Ni ushauri murua kabisa uliotolewa na baba askofu Munga kupitia waraka akiwaasa Chadema kwamba chama cha siasa ni mali ya umma. Naomba ushauri huu upokelewe pia na vyama vyote vya Upinzani ambavyo umiliki wao ni kama wa binafsi mfano TLP, ACT wazalendo, UDP, Chauma nk Nimpongeze sana Dr Munga...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanasiasa wengi siasa ni kazi

    Kuna wanasiasa wachache sana kwenye nchi zetu zinazoendelea wanafanya kazi ya siasa kama wanaharakati wa maendeleo. Wengi wa wana siasa wanafanya siasa kama kazi. Nchi zetu hizi ambazo ndiyo zina jitahidi kuanza kuleta maendeleo watu wengi wanaona wanasiasa ndiyo wenye pesa na magari mazuri...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli hii ni kutoelewa lengo kuu la chama cha siasa?

    Mara kadhaa nimewasikia wapinzani wakidai "bila polisi au dola CCM wepesiii tungewapiga mapemaa"!!! Chama chenye kujitambua hushika na kuitumia dola kwa manufaa yake na ya taifa. Sio Jambo Baya ni sifa! Hivi uchaguzi unashiriki ili ushike nini kama sio dola? Na ushike dola ili iweje kama sio...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Huko tuendako kuna tufani linakuja! Hii siasa ya CCM Mpya ya akina Bashiru Ali na Polepole ni dalili tu!

    Kwa mtu makini na mwenye uelewa mpana wa siasa au wale wana CCM makini na wenye upeo mkubwa hawawezi kukubali kuwa huku kuhamia kwa wapinzani kwa maana ya Wabunge na Madiwani ni ishara ya kukubalika kwa CCM au kuboreka kwa sera zake, la hasha! Kuna kitu hapa kinasukwa kwa ustadi na " gharama"...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi asie na maarifa ya katika siasa na kuendesha uchumi, ni mzigo mzito kwa chama chake na kwa wananchi wake kwa ujumla

    Kiongozi yoyote wa kisiasa asie na maarifa ya kawaida kabisa katika kuendesha uchumi na kufanya siasa,kiongozi wa aina hiyo ni mzigo kwa chama chake, na pia watu wote aliokabidhiwa jukumu la kuwaongoza. Sometimes ni bora ukamudu/ukafanya vizuri katika uchumi kwani uchumi unaweza kukubeba...
  11. JamiiForums Tanzania Siasa ilivyoathiri ubongo wa vijana wa nchi yangu

    Ni hivi tangu suala la siasa growth basi hata vijana tumepata athari ndani ya ubongo wetu leo, hii baadhi ya vijana na ni wimbi kubwa wa nchini kwetu hatuwezi kukaa na kufikiria au kuchukua hatua juu ya ''mutakabali'' wa maisha yetu hususani kwenye kufanya maendeleo tulichokiweka mbele ni siasa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Wabunge Viti Maalum ni wa kubebwa? Mnaonaje iwe ni awamu moja tuu kisha waendeni jimboni, kupisha wengine, au waendelee kubebwa tu?

    Wanabodi, Kwanza angalieni hii picha More than 60% of Rwanda’s parliamentarians are women. Photo: Sam Ngendahimana Nimesoma kwenye Ripoti ya WB, Bunge la Rwanda ndilo Bunge linaloongoza Dunia kwa gender equality baada ya kuwa na asilimia kubwa ya wabunge wanawake kuliko wanaume, wakati Bara...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mike Pompeo wa USA amaliza ziara yake barani Afrika, akemea viongozi wa vyama vya siasa wanaoongoza kiimla

    Waziri Mike Pompeo wa serikali ya Marekani leo amemaliza ziara yake ya nchi kadhaa barani Afrika huku akiwataka viongozi wa kisiasa barani humu kuacha mara moja tabia ya kuongoza kiimla. Pompeo amezuru nchi za Senegal, Ethiopia, Namibia na Afrika ya Kusini. Chanzo: Star Tv Habari
  14. JamiiForums Tanzania Siasa zilivyomdhulumu mzee Moi mwanamke wa maisha yake

    KILA mwanaume anaweza kupata mwanamke, akawa mpenzi, mke, mama wa watoto wake na wakajenga familia. Hata hivyo, kupata mwanamke wa maisha, inahitaji mwongozo wa Mungu. Kila mwanamke anaweza kupata mwanaume. Atamwita mpenzi, mchumba na hata mume. Mwanamke kumpata mwanaume wa maisha yake, sio...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kwenye siasa hata mpiga kura mmoja ana veto sana, puuzeni tu ya JF

    Nipo kwetu Idukilo, namalizia malizia mapalaghe ya Mwaka jana ili tuanze kumenya viazi vya Mwaka huu. Twala misosi ya asili ndiyo maana Wasukuma tupo rijali sana. Nimekuwa nikifuatilia eti watu wanadharau comments za mitandaoni kwa kuwa wanaona eti watu ni wachache sana mitandaoni. Pamoja na...
  16. JamiiForums Tanzania Amos Makalla atoweka kwenye ulimwengu wa siasa

    Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rapper Rosa Ree atoa Wimbo mpya unaoitwa "Balenciaga

    Rapper ROSA Ree Atoa Wimbo Mpya Unaoitwa "Balenciaga" Tazama VIDEO Hapa Mambo ya Vitamini Uuuuuuuuu
  18. JamiiForums Tanzania Maaskofu na watumishi wa Mungu mjitafakari sana kuhusu siasa za nchi yetu!!

    Wanabodi za asubuhi! Tangu zamani sana nyakati zile za biblia Mungu aliwafunulia waja wake kuhusu hatma yao ya matukio ya mbeleni kwenye maisha kupitia watumishi wa mungu kama manabii na mitume!!Nakumbuka kisa cha nabii Eliya cha kutabiri kutokunyesha mvua miaka mitatu na nusu kutokana na taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020

    TUHUMA kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, zimetolewa bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Naftaha Nachuma, Mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) amedai, baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, wameanzisha...
  20. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mapendekezo ya marekebisho muhimu ya Katiba na Sheria ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 kuwa huru, wa haki na halali

    Tutawaletea Moja kwa Moja Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Wandishi wa Habari wa Tanzania na wakimataifa Kuhusu Mambo mbalimbali ya Nchi Updates ------------ Mbowe atahadharisha hali ya hatari uchaguzi mkuu, Amlima Barua Rais ------------- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…