siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Ukizielewa Siasa za Tanzania huwezi kupata tabu. Hongera Rais Samia kwa kuzielewa vyema Siasa za Tanzania, nasema kazi iendelee

    Amani iwe nanyi wadau, Kama nilivyosema kwenye kichwa cha mada yangu hapo juu, Ukizielewa vyema Siasa za Tanzania , huwezi kupata tabu, na kwa siku chache alizokaa madarakani, napenda kusema Mama Samia amezielewa siasa za Tanzania vizuri sana, hivyo napenda kusema wazi, inawezekana kwenye...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tanga na siasa za kujipendekeza

    Kule Kigoma kuna kampeni zinaendelea katika majimbo mawili likiwemo jimbo la Buhigwe. Ajabu ya siasa za nchi hii eti watumishi wanatoka kwenda kufanya kampeni huko Kigoma. Eti wametoka watu kazini wakapige kampeni mfano mkuu mmoja wa shule katika jiji la Tanga (jina lake na shule yake kwapani...
  3. JamiiForums Tanzania Maendeleo huletwa na watu, kazi, siasa safi pamoja na Uongozi Bora

    Uongozi wa Serikali ya Awamu ya sita ya mwanamke shupavu Samia Suluhu Hassan umejikita katika kuifanya falsafa ya Mwl. Nyerere ihusuyo maendeleo kukamilika. Falsafa hiyo inazungumzia MAENDELEO / UCHUMI n.k ambapo lazima utengeneze muunganiko imara wa mambo yafuatayo ambayo ndiyo Samia Suluhu...
  4. JamiiForums Tanzania Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

    Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama. Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona...
  5. JamiiForums Tanzania Uhalifu wa chuki za kisiasa waongezeka Nchini Ujerumani

    Takwimu rasmi kuhusu uhalifu unaotokana na siasa nchini Ujerumani zinaonesha kuwa ghasia na uhalifu wa kibaguzi vimeongezeka nchini humu. Waziri wa Mambo ya ndani wa Ujerumani. Horst Seehofer leo amewasilisha takwimu za uhalifu uliotokana na siasa uliofanyika mwaka 2020. Seehofer ameelezea...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu ni Mwanasiasa smart na yuko beyond vyama vya Siasa. Aendelee kusimamia anachokiamini

    Wanabodi kwa muda sasa namfuatilia Mwanasiasa Lazaro Nyalandu. Binafsi namuona kama Mwanasiasa ambaye anaamini katika Utu, Ubinadamu na haki na amesimamia anachokiamini popote alipo. Nimemuona wakati wa Lissu kupigwa Risas na pia wakati wa kifo cha Hayati Magufuli, pia nimemfuatilia wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli Usiosemwa: Hakuna Chama cha siasa wala Mwanasiasa anaeipenda katiba ya Warioba

    Wanasiasa wote nia yao ni moja: Pesa na Madaraka. Kwenye pesa na madaraka kikweli haijalishi ni chama gani, mtauana. Hizi kelele za katiba zinapigwa na watu wasionufaika na katiba iliyopo, ila ikitokea na wao wakapata madaraka ndani ya katiba hii hii, msitegemee tena katiba ya Warioba. Sahauni...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania zinapitia upepo mbaya sana

    Ukiangalia mwenendo wa uchangiaji wa hoja humu ndani ni vigumu sana kupambanua kama mchangiaji ameegemea mrengo gani wa kisiasa yaani kaegemea upinzani ama ccm. Tungekua na magenious ya game za kisiasa basi huu ndio uliokua muda muafaka kujijenga na kutengeneza mkondo mpya. Na nikiri kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mzee Mangula ulichomfanyia Dkt. Kikwete, Mungu anakuona

    Hakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na kalamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi, hakuipata. Kilichotokea ni kuitwa Mizengo Pinda, tena bila ya Mangula kugeuka nyuma akisema kuna mtu...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nini na siri ya vyama vingine vya siasa kuwa dhaifu sana huku vingine vikiwa imara sana?

    Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie kuelewa kwani kila nikitafakari kwa kina sipata jibu linaloniridhisha. Hivi tofauti kubwa sana ya vyama vya siasa iko kwenye Nini? 1.Wanachama na viongozi kwa maana ya hulka za wanaokiunda chama!? 2.Muundo wa chama kwa maana ya jinsi chama...
  11. JamiiForums Tanzania Mdee, Gekul, Silinde, Nassari, Butiku, Bulaya, Katambi, ndio wamenifanya niamini kwamba siasa Tanzania ni kuchumia tumbo tu sio kuwatumikia wananchi

    Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!! Halafu leo utakuja kuniambia kuna...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba anaweza akaongoza Iramba zaidi ya miaka 20, anacheza vizuri na siasa

    Tangu ateuliwe Uwaziri wa Fedha, Dkt Mwigulu Lameck Madelu Nchemba, amekuwa very humble. Amesha-adopt utaratibu na upole wa Mhe. Samia Suluhu Hassan. Juzi alionana na Ndugu yangu ndani ya viunga vya bungeni - kwa kweli Dkt. Mwigula ameshabadilika. Kabadilika faster - tena faster haswa. Kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hoja 5 ambazo viongozi wa vyama vya siasa watazungumza na Rais Samia Hassan

    Bila kuchoshana na maneno mengi, naomba niingie kwenye mada moja kwa moja. Kwa maoni yangu, nadhani hoja zifuatazo ndizo zitakuwa ajenda kuu kipindi viongozi wa vyama vya siasa wakikutana na Rais Samia Hassan ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, kama Rais mwenyewe alivyoahidi kukutana na wanasiasa...
  14. JamiiForums Tanzania Mazungumzo kati ya Rais na Vyama vya siasa , Vyama vyaambiwa vipeleke ajenda zao kwa John Shibuda au kwa Msajili wa Vyama vya siasa Francis Mutungi

    Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi . Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda...
  15. JamiiForums Tanzania Upinzani bila kubadili siasa mtapata hasara kubwa Kwa Samia..

    Hakuna kitu kinaamua siasa kama 'wakati'.. Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo ... Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli...na uongozi wake kiujumla.. Kubanwa Uhuru wa kuongea Kufokewa na kukaripiwa Kutoa matamko Kwa ukali...
  16. JamiiForums Tanzania Twendeni tu tutafika! (Siasa zetu na Hatma ya Tanzania)

    Mzee alituita vijana wake wote pale nyumbani. Akasema anataka tumfuate tuanze safari. Nakumbuka mdogo wangu alimuuliza "mzee mbona hatujajiandaa na pia unataka twende wapi?" Mzee alimkazia macho na kumwambia "tunaanza safari muda huu ni safari ya miaka 5. Tunakoenda tutakujua huko huko mbele'...
  17. JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa mkikutana na Rais Samia mtamwambia nini?

    Sio vema mkazungumze hoja zenu binafsi kama vile nilipigwa, nilivunjwa mkono, biashara yangu ilifungwa, na mambo kama hayo kwa Rais ambae ni mpya na ambae yuko serious kutaka kujaribu kunza ukurasa wake mpya. Kunzia sasa kila chama kirudi kwa wanachama wake wakusanye maoni yao juu ni mambo gani...
  18. JamiiForums Tanzania Siasa za mimi Vs wengine sisi Vs wao na hatma ya nchi yetu

    Ndugu zangu, kuna tatizo lipo lakini ni kama kila mtu anajaribu kulifumbia macho wakati katika hatua yake ya juu kabisa itakuwa ni hasara ya watu wote. Katika mazingira mbali mbali unakuta mtu anatetea kitu si kwa sababu kitu hicho ni sahihi bali kwa sababu kulingana na upande aliopo kwa wakati...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Siasa za Muhindi na maendeleo ya Afrika? Tujiendeleze kikwetu kwetu

    Wazee wa Kwa nini unazani Kwa nini Iddi Amini Dada aliamuru kufukuzwa Kwa wahindi nchini Uganda!? Aliona nini!? Je hizo sababu hazipo Tanzania? Kwenye uongozi wake alipewa sifa duniani. Wahindi Wahindi Wahindi yawezekana mnapenda Sana kutafsiriwa... Wazee wa kutekeleza story mpo. Zilikuwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

    Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote. Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini. Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa. Updates: Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…