shule

  1. Did you know? Secondary school girls are 3x less likely to become child brides

    Did you know? Girls who complete secondary school are 3x less likely to become child brides. #EachforEqual #IWD2020 #KizaziChenyeUsawa
  2. M

    Dada mwenye uzoefu wa kufanya sales, marketing na customer care anahitaji katika shule ya udereva

    Sifa: 1. Uwezo mzuri sana katika masoko, mauzo na huduma kwa wateja 2. Awe tayari kufika kazini kabla ya saa 12:30 asubuhi na kuondoka saa 12:00 jioni kwa Jumatatu mpaka Ijumaa na kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 12:00 jioni kwa Jumamosi 3. Awe tayari kufanya kazi yenye matokeo chini ya...
  3. Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Wadau natafuta shule ya secondary kwa ajili ya mwanangu, yupo kidato cha kwanza, kwa hapa Dar shule gani nzuri napenda asome day, nipo Kimara ada isizidi 1,400,000
  4. TECNO Yatoa Misaada Ya Shule Kwa Watoto Yatima

    Tukiwa katika mwanzo wa muhula wa kwanza wa masomo, kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Chanika Children Shelter kilichopo Chanika Jijini Dar es Salaam ili kuwawezesha kurudi mashuleni mnamo Tarehe 22.Feb.2020 Msaada huo...
  5. J

    Mwita Waitara aagiza mwenyekiti wa CHADEMA aliyeuza kifisadi uwanja wa shule huko Tarime kukamatwa mara moja

    Naibu waziri Mwita Waitara amewaagiza Polisi kumkamata mara moja Mwenyekiti wa serikali ya mtaa kupitia Chadema aliyeuza uwanja wa shule kifisadi na kinyemela. Waitara amesema mwenyekiti huyo tapeli wa CHADEMA ameitia aibu serikali ya awamu ya tano kwa kitendo hicho cha kiutapeli. Naibu waziri...
  6. J

    Kwa CV hii ya Dkt. Mashinji simuoni wa kumfikia pale Lumumba, jamaa kapiga shule namtabiria uteuzi wa mapema

    Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD. Nimeipitia CV ya Dr. Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema...
  7. Nashauri watoto wa mijini waanze shule wakiwa na miaka mitano

    Watoto wa mijini wanawahi kuelewa mambo mapema. Wanajifunza mambo mengi nyumbani yale ambayo zamani tulijifunzia shule. Nyimbo, kuhesabu, abcd, na a e i o u. Kama haitoshi wanafundishana wenyewe wakiwa wanacheza. Mfano juzi mwanangu wa miaka miwili kaja ananiimbia da de di do du. Amefundishwa...
  8. Ni biashara gani nzuri kufanya maeneo ya shule ya msingi?

    Kwa mwenye uelewa wa biashara ambazo zinafanya vizuri maeneo ya shule ya msingi naomba anifahamishe ni aina gani au bidhaa gani nzuri asante
  9. Naomba ushauri jinsi ya kupata volunteer Pomoja na wafadhili wa kujenga shule

    Wakuu, nipeni uzoefu katika hilo tafadhali. Mimi na rafiki yangu tumepanga nyumba ndogo ambayo tunatumia kama madarasa pamoja na ofisi humo humo, sasa tupo katika mchakato wa kujipanua shule bado ni changa sana na imeanza mwaka huu. Tunatakiwa kujenga vyumba vya madarasa pamoja na ofisi za...
  10. Picha za shule ya msingi Chato; hakika maendeleo hayana chama

    SERIKALI YARIDHISHWA NA MAJENGO YA SHULE YA MSINGI CHATO Serikali imepongeza hatua ya ujenzi na ukarabati wa shule ya msingi Chato kwa kujenga majengo yanayozingatia ubora na thamani halisi ya fedha. Hayo yamesema na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga alipofanya ziara...
  11. S

    Akili ya mababu zetu kuwa mtoto wa kike hastahili kwenda shule, ndio akili ya wale wanaoamini mtoto wa kike akipata ujauzito afukuzwe shule

    Unajua sisi Waafrika tuko nyuma kwa mambo mengi ikiwemo kuwa na fikra, imani na mitazamo ambayo ni primitive kabisa. Kwa mfano,waze wetu wametupandikiza imani kuwa bundi akilia nyumbani kwako, basi ujiandae kwa msiba wakati bundi ni kiumbe ambae kwa nature yake, ni active wakati wa usiku...
  12. Vituko ndani ya Marekani, 'Title IX' inaamrisha shule zote ziwe na madawati makubwa kwa ajili ya wanafunzi wajawazito

    'Title IX' ni sheria ya kuwalinda wanafunzi wa shule za primary na Sekondary pindi wapatapo mimba wakiwa shuleni huko Marekani. Kimsingi sheria hii inazuia unyanyapaa wa aina yeyote ile dhidi ya mwanafunzi mjamzito na kuhitaji shuke impe mahitaji yake yote kama mama mjamzito ikiwemo...
  13. Kitendo cha "jinamizi mimba za watoto wa shule" kushika kasi kinatufunza kuwa, viongozi tusiongee kila jambo hadharani

    Wanafunzi wa kike wakishapata mimba walikuwa wanakabiliwa sana na mazingira magumu ya kurudi shule tangia enzi za Kikwete. Na katika kipindi chote hicho hakukuwa na tatizo. Shida ni maneno ya kejeli yaliyotolewa na viongozi wa awamu ya tano juu ya jambo hili. Maneno ambayo hayapaswi kamwe...
  14. Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

    Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
  15. Serikali inapaswa kujitathmini kwenye matokeo ya Kidato cha Nne ya mwaka 2019 kwa kutafuta sababu chanzi "root cause"

    Mara kadhaa sasa tunashuhudia uradidi wa kutafuta chanzo cha tatizo na kimbilio likiwa kwenye sababu zile zile "Walimu hawafundishi vizuri"na tunashuhudia adhabu zikitolewa ikiwemo ile ya kushushwa vyeo. Ni kama tunaamini ukiumwa kichwa tu ni malaria na inatakiwa kumeza dawa ya kutuliza...
  16. Shule ni hatari tupu!

    Mwalimu akiwa anafundisha mara kipepeo anatua ubaoni mwalimu anaamua kuwaambia wanafunzi "aisee vipepeo huwaga na rangi nzuri sana" mwanafunzi mmoja anaropoka "NDO UNAJUA LEO" Ungekuwa mwalimu ungemfanyaje?
  17. Naomba kujuzwa Shule ya sekondari nzuri kwa mtoto wa kike

    Heshima mbele wakuu, Binti yangu yupo darasa la saba kwa sasa. Ninaanza kufanya prior arrangement mapema kutafuta shule nzuri ya sekondari kwa mtoto wa kike Ninachohitaji: 1. Iwe nzuri kitaaluma. 2. Kimazingira. 3. Kimalezi. I prefer shule inayoendeshwa na taasisi ya kikatoliki. Mtoto anasoma...
  18. UN: Watoto milioni 258 duniani hawaendi shule

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuna mgogoro mkubwa wa elimu duniani hivi sasa, na kwamba watoto zaidi ya milioni 258 walio chini ya umri wa miaka 17 hawaendi shule. Amina Mohammed alisema hayo jana Ijumaa katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa Siku ya...
  19. Wanafunzi waliojiunga kidato cha kwanza katika shule za kata za Halmashauri ya Wilaya ya Uyui wanakaa chini (sakafuni), Wadau wa elimu mko wapi?

    Wanabodi za asubuhi Nimepitapita kwenye shule za sekondari za Halmashauri ya wilaya ya Uyui Mkoani Tabora na kushudia Wanafunzi wa kidato cha kwanza wanakaa chini sakafuni hali inayotia simanzi sana kwa vijana hawa wadogo wanaoanza safari ya masomo! Utafiti wangu nimeufanya kwa shule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…