shule

  1. JamiiForums Tanzania DED/DEO Magu watoto wako hatarini Magu Shule ya Msingi

    Ujumbe huu uwafikie Mkurugenzi Mtendaji (DED) Bwn. Lutengano Mwalwiba na Afisa Elimu Msingi (DEO) Bi. Glory Mtui; wote wakiwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya MAGU. Kuhusu mada iliyobeba ujumbe huu ni kwamba, watoto wanaosoma Magu Shule ya Msingi iliyoko Magu Mjini wako hatarini tangu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shule nzuri ya Msingi ya Kikristo

    Heshima kwenu wanajamvi. Naomba nwenye kujua shule nzuri ya msingi ya kutwa / day kumwanzisha mtoto darasa la kwanza. Shule iwe Dar Es Salaam maeneo ya Mbezi beach au Goba au maeneo ya jirani, ikiwa ya kikristo itapendeza. Ada isiyozidi milioni 4 kwa mwaka. Shukrani
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataka Polisi kumwachia mmiliki wa shule ya Waislamu Byamungu iliyoungua Kyerwa wakati wakiendelea na upelelezi

    Rais Magufuli amelitaka Jeshi la polisi kumtoa mahabusu mmiliki wa shule ya Waislamu iliyoungua moto huko Kyerwa mkoani Kagera wakati wakiendelea na upelelezi. Rais Magufuli amesema siyo rahisi mzee huyo anayemiliki shule kuwahujumu watoto anaowalea hivyo ni vema uchunguzi wa kina wa tukio hilo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna shule zinazofundisha kichina?

    Wakuu shule zinazofundisha kichina ni zipi?
  5. JamiiForums Tanzania Wazazi/walezi tuna-fail wapi?

    Baada ya ajali ya moto uliochoma shule Kagera jana kuua watoto 10 na kujeruhi 7 wa kati ya miaka 6 - 10 🙁🙁 (May their little souls Rest in Heaven 👼👼) Naomba kuwauliza wanajamii wenzangu, je ni wakati gani kama mzazi/mlezi unaweza sema "It can't be helped. Mtoto NI LAZIMA aende boarding...
  6. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini kufungua shule kuanzia leo, mimba kwa wanafunzi zaongezeka

    Baada ya miezi 6 ya kukaa majumbani, wanafunzi nchini Sudan Kusini wanarejea darasani kuanzia Jumatatu, Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema. Hatua hiyo ya Sudan Kusini inafuatia uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuondoa katazo lililowekwa mwezi Machi na Rais Salva Kiir la kufunga shughuli zote za...
  7. JamiiForums Tanzania Kagera: Watoto 10 wamefariki na 6 kujeruhiwa baada ya shule Msingi Islamic Byamungu kuwaka moto

    Watoto 10 wamefariki na sita kujeruhiwa vibaya kufuatia moto ulioteketeza bweni la wavulana shule ya Msingi Islamic Byamungu iliyopo Kyerwa Mkoani Kagera. Hadi sasa chanzo moto huo hakijajulikana. Watoto waliopoteza maisha ni wa umri wa miaka sita hadi 12. Taarifa zaidi inakuja... ====...
  8. JamiiForums Tanzania IT, ICT, CS students wanaokimbia chuo ili kuwa mabillgates hapa Tanzania hawawi hivyo hata kwa mtaa tu, kwanini?

    Mi nafikiri ni kutopenda kusoma na kutozitambua fursa kijamii, zaidi ya hapo ni kutojua hali ya mtaa kiuhalisia. Je, wewe unasemaje? Tuwasaidie watakao drop baadae😊
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna shule yoyote ya Msingi au Sekondari inayofundisha kwa mfumo wa "Project Based Learning" nchini Tanzania?

    Salaam wadau, Nimekuwa navutiwa sana na utoaji wa elimu kwa njia ya project-based learning, kwa jinsi inavyoweza kuwajenga watoto kuwa na uelewa wa hali juu ma vitu wanavyojifunza na mazingira yao. Mfano kama hawa 3rd graders Marekani. STEAM + Project-Based Learning: Real Solutions From...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanza: Shule zasitisha masomo, Wanafunzi waambiwa wakampokee na kumsikiliza Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

    Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM. Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali...
  11. JamiiForums Tanzania Takwimu: idadi ya wanafunzi ni kubwa kuliko walimu. Elimu ya bure haiwaandai watoto kuelewa bali kumaliza shule

  12. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Kwa wakazi wa Dodoma jina Martin Luther sio geni unapozungumzia suala zima la elimu. Ni shule iliyopo eneo la kisasa njia ya kuelekea Dar es Salaam. kwa ujumla shule ina mazingira ya kuvutia kwa muonekano wa nje. Kwa upande wa taaluma pia imekuwa miongoni mwa shule bora mkoani Dodoma ikiwa...
  13. JamiiForums Tanzania MAKALA: Malezi ~ Shule ya kwanza ya mtoto ni nyumbani

    Utakubaliana nasi kuwa shule ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani – wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa familia husika. Kupitia mzazi/mlezi mtoto anapata nyenzo zitakazoongoza maisha yake yote – heshima, utii, unyenyekevu na kadhalika. Yaani wema au ubaya wa mtu mara...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Shule ya Mivumoni Islamic iliyoko Kinondoni yateketea kwa moto ikiwa ni mara ya tatu sasa!

    Mivumoni Islamic school iliyopo kwenye msikiti wa mtambani Kinondoni imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo 31/08/2020. Hii ni mara ya tatu ndani ya miezi miwili Shule hiyo kuungua. Source East Africa radio Maendeleo hayana vyama!
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

    Ndugu zangu naomba kuuliza ni kwanini maeneo mengi hasa vijijini wanaipenda sana ccm ilhali maeneo yanayowazunguka ni maskini wa kutupwa mliotembea mikoani nadhani hali halisi mnaijua yaani kuna maeneo kuanzia tuapate uhuru maji ya bomba hawajawahi kuyaona wala kuyanywa umeme ndio kabisaaa...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Tabora ameagiza kushushwa vyeo kwa Walimu Wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika mitihani

    MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Philemon Sengati, ameagiza kushushwa vyeo kwa walimu wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika matokeo ya mitihani. Alitoa kauli wilayani Urambo wakati wa mkutano na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kwenye ziara ya kikazi. Dkt...
  17. JamiiForums Tanzania Jana tumempoteza mwenzetu kwa ujinga wa dereva pikipiki asiye na leseni, wengi hawana

    Kuna vitu tukiiiendeleza tutashia kuzikana kila siku, kuna hili jamboo linakera sanaa sanaa. Kuna asilimia 75% ya madereva wa pikipiki hawana leseni sisemi kuwatisha. Kama hamuamini waanze operesheni wakishirikiana na TAKUKURU na maofisa wa makao makuu muone. Anzeni njia ya Mwenge Kawe, nendeni...
  18. JamiiForums Tanzania Ingekuwa vyema Usalama wa Taifa wenye umri wa 20-35,wakachomekwa kama wanafunzi wa primary na sec kuzuia viboko na uchomaji wa shule...

    Kwakuwa Usalama wa Taifa ni kama kinyonga wanafiti popote,basi wangevaa uniform za shule ya msingi na sekondari na kuingia madarasani kama wanafunzi ilimradi tu wawe wanajulikana na walimu ili wasichapwe kuzuia matukio ya walimu wanaochapa ovyo kwa kuripoti mapema kwa maafisa elimu na kukaa...
  19. JamiiForums Tanzania WHO wazitaka nchi za Afrika kufungua shule

    Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) yamezihimiza nchi za Afrika kufungua shule na kuhakikisha watoto wanakuwa salama dhidi ya virusi vya corona. Mashirika hayo yamesema kuendelea kufunga shule kwa muda mrefu kunahatarisha ustawi...
  20. JamiiForums Tanzania Pwani: Mwalimu wa shule ya msingi Mwendapole anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kumshambulia Mwanafunziwa miaka 12 kwa fimbo

    JESHI la polisi mkoani Pwani, linamshikilia mwalimu Evata Mboya,wa shule ya msingi Mwendapole,Kibaha, kwa kosa linalodaiwa ni kumshambulia kwa fimbo mwanafunzi na kumsababishia maumivu makali ya kichwa. Mwanafunzi huyo wa darasa la tano ,miaka 12 ,walipewa adhabu ya kuchapwa fimbo na wenzake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…