Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Dereva wa gari la shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi wa shule hiyo Godlight Chisawilo (04) kwa kumgonga na gari la shule hiyo Mjini Shinyanga.
Habari kutoka eneo la tukio zinasema mwanafunzi huyo...
Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha.
Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
Wandugu hivi hii ishu ya kuota mambo ya shule mara kwa mara huwa ina maana gani kiroho?
Nimekua nikiota ndoto kua nipo shule eidha o'level au advance na mara chache primary na chuo ila za o'level na advance ni kama kila siku tu.
Mwanzo nilikua napuuza lakini naona sasa inakua too much, karibu...
Hapa namaanisha shule ambayo wanacover shule ya msingi kwa miaka 6 na kufanya mtihani wa taifa. Au ambayo masomo ya form one hadi form four wanacover kwa miaka mitatu na kufanya mtihani. Inaruhusiwa kuwa na shule ya namna hii?
sababu zangu ni hizi hapa;
1. Kuwapatia staha, waheshimike na kuthaminika katika shule na jamii kwa jumla. Mkuu anayeheshimika atajiamini; mkuu anayejiamini ataongoza taasisi vizuri sana.....kukimbizana kwenye mabodaboda na kuoga mavumbi kwa watu waliopewa dhamana ya kusimamia eneo linaloleta...
Hivi karibuni kumejengeka tabia ya shule nyingi za msingi, hasa za binafsi kuanzisha masomo ya ziada yanayoitwa CRASH PROGRAM.
Programu hii huhusisha masomo ya ziada kwa wanafunzi wa shule za msingi wa darasa la nne na la saba (hata la sita) kwa ajili ya kuwaandaa wanafunzi kwa ajili ya...
wadau naomba kueleweshwa kidogo, hivi sare za kaptula zinamaanisha nini kwa wanafunzi wa shule za msingi, na mashati meupe. Kuna mikoa yenye baridi hivi Kuvaa kaptula haiongezi kiwango cha mwili kupata baridi, Kuna maeneo yenye udongo mwekundu sana shati jeupe haliwezi kubaki na rangi yake, na...
Salaam Wakuu
Kumeibuka tabia za waalimu wa shule za msingi kuwarejesha watoto majumbani kisa hawajatoa michango mbalimbali ikiwamo ya mitihani, ulinzi na michango mingine.
Kutokana na hali hii watoto wamekuwa wakitoka shule wanazunguka mitaani bila kuwa na shughuli maalumu ya kufanya...
Mwalimu wa Shule ya Msingi Global International School iliyopo Mtaa wa Vijana, Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chacha Magere (26), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kubaka, kuwalawiti na kuwashambulia kwa aibu baadhi ya wanafunzi wake anaowafundisha.
Jumla amesomewa...
Marekani imetakiwa kuhakikisha inawezesha kiuchumi suala la ulinzi wa shule za taifa hilo badala ya kutumia fedha nyingi kuisaidia Ukraine katika vita yake dhidi ya Urusi.
Ushauri huo umetolewa na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump baada ya tukio la watoto 19 kuuawa kwa kufyatuliwa risasi...
Nilitembelea ofisi za Elimu mkoa,nilikuta utitiri wa wazazi na watoto wengi wamejazana kilio chao kikiwa ni watoto wao kupangiwa chuo wakati vijana hawa walitamani kwenda kusoma kidato cha tano lengo ambalo pia nilikuwa nalo.
Cha ajabu ni kwamba jibu walilopewa kila mmoja ni nafasi...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) Bi. Catherine Russell amehoji kuwa ni watoto wangapi wanapaswa kufa kabla ya viongozi kuchukua hatua ya kuwaweka salama watoto pamoja na shule.
Akitolea mfano wa vifo vilivyotokea katika shambulizi la risasi...
Kijana mwenye umri wa miaka 18 ameua Wanafunzi 19 kwa kuwafyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb Elementary iliyopo Texas, akifanya tukio hilo kwa kuhama darasa hadi darasa, kabla ya vyombo vya usalama kumthibiti na kufanikiwa kumuua na yeye pia.
Seneta wa Jimbo hilo, Roland Gutierrez...
Ndugu zangu habari za leo!
Mwanangu anapenda kusoma Aircraft Eng, ningependa kupata msaada kama kuna wadau wanaweza kunipa input yeyote kuhusu vyuo vya canada ili niweze kujiandaa na kufikia lengo lake.
Nasubiri msaada wenu!
Mahakama ya Wilaya ya Tarime imemuhukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa mwalimu mkuu shule ya msingi Mwege iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara,Issaya Gwidana kwa makosa 6 ikiwemo la kughushi hundi za shule na kuchukua Sh. milioni 4.965 ambazo ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.