shule

  1. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Dar: Vicky Kamata atoa Msaada kwa Shule ya Sekondari Mbwenitete, iliyopo Jimbo la Kawe, Wadau Waombwa kuendelea kusaidia

    Salaam Wakuu, Alfonce Peter Swai, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Serikali ya Mbwenitete iliyopo Mbweni, Kawe Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar Es Salaam, ameomba Wadau wa Elimu kusaidia Shule kwani ina Ufaulu Mzuri pamoja na Changamoto zilizopo. Amesema Komputa ni Somo lipo kwenye Mtaala...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Data Management kwa shule za msingi na sekondari

    .
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Weka taarifa za ada na ubora wa shule hapa ili kusaidia wazazi kufanya uamuzi sahihi

    Katika moja ya mambo ambayo huumiza kichwa ni mzazi kufanya maamuzi ya shule ipi binafsi apeleke mwanae kwa masomo ya O level na A level. Tuweke taarifa au swali kuhusu ada na ubora wa shule na pia michango. Naanza kuuliza shule ya Kaizirege, Cannosa na Marian Boys
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
  5. BrysonM

    JamiiForums Tanzania Canossa (Mshindi wa 5 kitaifa, form IV 2018) kuwa shule ya kuigwa kwenye matumizi ya teknoloja ya ufundishaji

    Canossa kwa wanaoifahamu ni mojawapo ya shule zinazofanya vizuri kitaifa, mwaka 2018 walishika nafasi no 5 kwenye mtihani wa fomu IV. Leo hii ni kati ya shule zinazoongoza kwenye matumizi ya teknolojia ya ufundishaji Tanzania. Kama umeangalia hio video utagundua wanatumia mfumo unaitwa...
  6. itel Mobile Tanzania

    JamiiForums Tanzania Itel Yaanzisha maktaba Shule ya Msingi Ubungo NHC

    Mwishoni mwa juma lililopita tulitembelea shule ya Msingi Ubungo NHC kwaajili ya kuweka nguvu zaidi ya kuendeleza elimu, sote tunafahamu serikali inafanya jitihada kubwa sana kuendeleza miundombinu ya elimu ikiwemo kujenga madarasa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watoto. Hivyo nasi...
  7. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

    Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa. Nayaleta haya kwa kuwa bila ya...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

    "Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule 👇
  9. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Tafakari yetu kwa shule za msingi.

    Wiki hii nilikuwa kwenye matembezi yangu mtaani mzazi fulani akiwa hoi anatoka shamba akakimbiliwa na mwanaye mtoto akamwambia mzazi,kule shule wameagiza traksut mzazi akaonekana kuzidi kuchoka mana hali ngumu ya maisha inampiga na mtoto ndiyo hivyo.Ukimuangalia mtoto kavaa yebo ametoka shule...
  10. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Mtaala mpya wa elimu kufundisha coding katika shule za msingi na sekondari

    Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding. Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu katika teknolojia na startups wanatuzidi. Sisi bado hatuko serious katika mambo mengi hata elimu yetu pia...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ada za shule zapanda sanjari na za kubrashia viatu barabarani

    Wapi pa kukimbilia? Mafuta yameathiri kila mtu. Kwa serikali hii? Kazi kwake mlaji wa mwisho!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Walimu na Wazazi wa Shule za Makongo Juu ( zamani Londa Secondary ) na Tegeta Secondary timizeni Wajibu wenu wa Kimaadili kwa hawa Wanafunzi

    Mabinti wa Shule ya Makongo Juu Secondary ( zamani Londa Secondary ) kama Wewe ni Mzazi au Mdau tu wa Maadili na Maendeleo ya Elimu ukibahatika kukutana Barabarani kuanzia Saa 9 Alasiri wanapotoka unaweza ama ukalia kwa Uchungu au hata Hasira Kukupanda na ukawachapa na Kuwaadhibu vikali...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Day Care na shule za chekechea Arusha zimeshamiri kulikoni?

    Ggg
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afghanstan: Watu sita wauawa baada ya shule ya Abdul Rahim Shahid kukumbwa na milipuko miwili

    Takriban watu sita wakiwemo wanafunzi wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa baada ya milipuko miwili kulenga shule ya wavulana katika kitongoji cha Dasht-e-Barchi katika mji mkuu wa Afghanistan, msemaji wa polisi wa Kabul amesema. Khalid Zadran aliliambia shirika la habari la AFP siku ya Jumanne...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu watajwa kushuka kitaaluma Shule za CCM

    Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) imesema moja ya mambo yaliyosababisha shule inazozimiliki kushuka kitaaluma na baadhi yake kuwa katika hatari ya kufungwa, ni ubadhirifu uliofanywva na baadhi ya viongozi wasiokuwa waaminifu. Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Gilbert Kalima amebainisha...
  16. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Jamii ingechukulia kwenda shule Kama utamaduni mmoja kwa binadamu kamili tusingekuwa na presha kwa kukosa kuajiliwa

    Wazazi waache kuwalaumu watoto wanapofeli shule kwa kigezo Cha kuwa hutofanikiwa. Wazazi wawekeze mda mwingi na watoto juu ya nidham ya fedha ili wao nao waweze kuwafikisha watoto wao mbali kielimu. Shule tungeiona Kama tamaduni yenye kumuimarisha kijana kiakili na kifikra kuwa bora zaid...
  17. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi bora wa shule ya kumpeleka mtoto wako

    Habari wakuu. Leo ningependa tushirikishane jambo moja muhimu hususani kwa wazazi na walezi hasa wanapofanya maamuzi juu ya uchaguzi wa shule ya kumpeleka mwanafunzi au mtoto kwajili ya kupata elimu na maendeleo ya elimu kwa ujumla wa mwanafunzi. Awali ya yote ni kiri au ku declare interest...
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Katavi : Shule ya Msingi ina walimu sita tu, Mawimbi ya Radio hayafiki .

    Shule ya msingi Ilangu. Iliyopo katika kata ya Ilangu wilayani Tanganyika inakabiliwa na upungufu wa walimu pamoja na vyumba vya madarasa. Siyajali Odasi ambae ni Makamu Mwenyekiti wa kijiji hicho amesema kuwa shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya mia tisa (900) iliyopo kijijini kwake ina walimu...
  19. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mwanza jiji: wanafunzi wa shule ya Msingi Kasota wakipata Elimu chini ya Miti

    Wakuu Kwa mujibu wa Mkuu wa Shule hii, Hii Shule ina madarasa ambayo hayakidhi mahitaji kabisa. Shule iko katika manispaa ya jiji la Mwanza, ina eneo kubwa tu ambalo wangeweza kuongeza madarasa matatu ama manne kabisa ambayo yangekidhi mahitaji ya shule.
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi walioandika barua kuacha shule kisa ugumu wa maisha wapata ufadhili

    Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza, ambao kila mmoja aliacha shule ili kufanya shughuli za kujiingizia kipato kusaidia wazazi wao, wamepata ufadhili wa kuendelea na masomo yao katika Shule ya Sekondari ya Ocean iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mtwara. Mmoja kati yao ni Taufiq Hamis...
Back
Top Bottom