Nilipoteza kazi since mwaka jana nipo nyumbani hadi leo hii,
Kuna Ile siku unaamka huna hata shilingi mia yaan hii hii shilingi mia moja ya kitanzaniaππ
Nimepiga interview nyingi then after hapo no feedback
Kuna interview nyingine nilifanya nikaambiwa nitaitwa second interview,hii nilikuwa na...